PAUL CHACHA, CCM ILISHAMFUKUZA NCHIMBI, KWA NINI BADO UNAMFUATAFUATA?
Nimemsikia Paul Chacha jana akisema kwamba nilipokuwa CCM, kazi yangu ilikuwa kushika simu za Dkt. Emmanuel Nchimbi.
Nataka kuweka mambo mawili wazi.
Kwanza, sijawahi kuwa mbeba simu za Dkt. Emmanuel Nchimbi. Huo si ukweli...