password

  1. Kwa hapa Tanzania, Hakuna sehemu inawaka Jua kali kama kwetu Makanya, Same, Mkoa wa Kilimanjaro

    KWA HAPA TANZANIA, HAKUNA SEHEMU INAWAKA JUA KALI KAMA KWETU MAKANYA SAME, MKOA WA KILIMANJARO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nimesikia watu wakilia na kupiga mayowe. Oooh! Jua kali. Oooh! Siku za mwisho. Oooh! El nino! Yaani kilio wakilalama hali ya hewa kuwa mbaya kutokana na kile...
  2. H

    Simu zetu zina password, lakini maisha yetu yote yapo kwenye status!

    Je, bado tunaelewa maana ya privacy?
  3. Mabinti wa kipare wana Password (video)

    Kijana Pata password upewe kazi
  4. F

    Swali je kuna mganga wa kienyeji mkali ambaye dawa na mizimu yake inaweza kumfanya aweze kufungua password ama pattern ya simu ya mtu mwingine ?

    nimekutana na hii post sehemu, nikajiuliza nami , je kuna mganga wa kienyeji mwenye huo uwezo?
  5. Wicknell chivayo kaenda na Password ya mabilioni!

    Abarikiwe mzungu aliyegundua mitandao. Ukweli sasa huwezi uficha uvunguni. Twaona salamu za rambirambi zikimiminika kwenda kwa msiba huu kwa mtu ambaye miradi yake humu nchini wala hatuifahamu. Wicknell Chivayo si mplipa kodi Tanzania au Kenya. Kazi yake sasa iko wazi.
  6. Nawezaje kubadili jina Kwenye micro tik router ingawa user name na password nimesahau?

    Habari wakuu natamani nibadili jina Kwenye micro tik router lakini user name na password nimesahau , maana alienisetia mara ya kwanza yupo mbali na mtandao alipo ni haupatakan .....Nawasilisha
  7. PASSWORD moja una login account zote za META

    META password moja kwa account zote. Yaani unaingia Facebook, Instagram, WhatsApp na apps zingine za meta kwa password moja . Sasa vip mtu akidaka password yako ana access kote daah. Hii imekaaje wakuu. Again; Username in WhatsApp na sio number tenaa coming soon!
  8. Kutusomea Password ya WiFi kwenye mabasi; wabongo tunapenda kujipa kazi

    Wabongo tunapenda sana kujipa vitengo na hekaheka zisizo na msingi. Imagine mwanadada anajipa kazi ya kutusomea password halafu abiria tunaacha kila kitu tunabaki kusikilizia kwa makani Password. Ya nini yote hayo?! Si angebandika tu hiyo password kwenye maeneo kadhaa kwenye kuta za basi...
  9. Je, Ni Lazima Mpenzi Ajue Password ya Simu Yako?

    Wapo wanaosema kwamba mpenzi anapaswa kujua password ya simu ya mwenzake kwa sababu mahusiano yanajengwa juu ya uwazi na uaminifu. Kwa mtazamo wao, mtu asiye na jambo la kuficha hana sababu ya kukataa kushiriki password yake. Lakini wapo wanaopinga hoja hiyo wakiamini kuwa kuwa kwenye mahusiano...
  10. W

    Mdada wako wa kazi umempa password ya WIFI? Vipi kazi zinafanyika?

    Kwa mimi Nilijuta. Nilimpenda so nikampa smartphone WiFi iko home 24/7. Show niliona .. ndo alipoanza kubadilika.. kulala saa nane usiku, kuamka mpaka umwamshe. Vyombo unarudi unavikuta. inshort, kazi mpaka umwambie hivi hivi hagusi.. nashukuru Mungu aliondoka ila siwezi rudia makosa. Sasa huyu...
  11. Serikali mmeweka WIFI masokoni na stendi ila mmezipiga pin( password)

    Serikali mmefanya jambo zuri kuweka kufunga public WIFI masoko makuu na stendi lakini cha ajabu mmeweka password , lengo lenu kuweka ilikuwa ni nini kufunga WIFI kwa matumizi yenu binafsi? Kama mmeamua kuweka free Internet basi tueni password ili abiria waweze kutumia huduma ya Internet na sio...
  12. T

    Utatuzi changamoto za ajira portal nk kama kusahau password, kusahau email nk

    personally kama una changamoto tuwasiliane kupitia 0792715343
  13. Kimara: Polisi wanakagua simu kabla ya kupanda mwendokasi. Wanalazimisha utoe password

    Kutokana na maandamano yaliyofanyika Jijini Dar Es Salaam kupinga Samia kuteka na kuua watu, Polisi bado hawajapoa. Ukienda kituo cha Basi au Daladala, wanakuambia utoa password waangalie kama hauna picha za maandamano. Kama unazo wanakulazimisha uzifute. Wanalazishi hata zile picha za Watu...
  14. Yericko Nyerere: Godbless Lema ametoweka na password za akaunti ya fedha ya tonetone

    Hii ni habari mpya mjini, Mangi kasepa na mzigo wote wa tone tone. Yericko Nyerere aliyekua kada wa CHADEMA kabla ya kuhamia CHAUMMA, kupitia ukurasa wake wa X-Twitter ameandika haya...
  15. Dhibiti wanaotumia Wi-Fi yako bila ridhaa yako, usitegemee password, siku hizi wanascan QR na kujoin wifi yako bila hata kuwa na password 😂

    Kwa wote wanaomiliki wi-fi router au wanaotegemea kuwa nayo badae, ni muhimu sana kufahamu kua ukiset password ili mtu asiye na password asiweze kutumia wi-fi yako ujue umejipotezea tu mda mana bado unaweza kukuta watu wanajiunga na wifi yako kiulaini kabisa na hivyo kama umeweka kibiashara...
  16. BADILI PASSORD ZAKO SASA HIVI: Password bilioni 16 zimedukuuliwa katika uvujaji wa data uliovunja rekodi, Facebook, Google, Apple,

    Data kadhaa za ID vya kuingia hufichua mojawapo ya ukiukaji mkubwa zaidi wa data katika historia, ukiwa na jumla ya ID cha kuingia cha bilioni 16 kilichofichuliwa. Data ina uwezekano mkubwa zaidi kutoka kwa watoa taarifa mbalimbali. HaBARI hii, kulingana na matokeo ya kipekee ya Cybernews na...
  17. N

    Changamoto ya kubadili password ajira portal

    Nimekumbana na changamoto ya kubadili password yangu kwenye account yangu ya Ajira portal ambapo kila nikitaka kubadili kupitia ile njia ya forgot password inaniambia niingize email kisha na tarakimu za siri ila niki submit inaniandikia unable to change password nimejaribu kuwapigia wahusika...
  18. Jinsi ya kufungua simu uliyosahau password

    SOMO LA LEO ♌️: JINSI YA KUFUNGUA SIMU ULIYOSAHAU PASSWORD KWA KUTUMIA KOMPYUTA 💻📱 Kama umesahau password yako (Pattern, PIN, Fingerprint) usikimbilie Kariakoo unaweza kuweka sawa mwenyewe kwa kutumia kompyuta 🧰 VIFAA VINAVYOHITAJIKA 1📍Kompyuta yenye internet 2📍USB cable 3📍Simu iliyo-lock...
  19. Hashcat – Password Auditing

    Kuna hii tool hasa kwa watumiaji wa linux system Ni moja kati ya software bora sana kwenye password cracking Kama inatumia computer yenye GPU jaribu ku run test uone inavyokua rahisi ku break complicated password kulinganisha na CPU
  20. Msaada nimeisahau password ya kuingia ajira portal

    Wadau naomba maelekezo nimeisahau password ya kuingia ajira portal maelekezo tafadhali
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…