Habari wanajamvi?
Ni matumaini yangu kwamba mpo salama na mnaelendea vyema na mishe zenu za kimaisha.Moja kwa Moja acha niingie kwenye mada husika.
Kuna jamaa mmoja alikuwa na mke wake na walikuwa wanapendana sana, kipindi hicho ndoa yao ilikuwa changa Sana kwahyo hawakuwa wamejaliwa na...