panya

Panya (Russian: Панья) is a rural locality (a village) in Leninskoye Rural Settlement, Kudymkarsky District, Perm Krai, Russia. The population was 11 as of 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    DOKEZO Panya road wavamia Jitegemee, Mabibo

    Usiku wa jana kuamkia leo 7/10 saa nane, wakazi wa Mabibo mtaa wa Jitegemee walivamiwa na panya road, bado hakuna taarifa rasmi kwa upotevu wa mali na majeruhi. Baada ya taarifa kuwa polisi wanawashugulikia panya road na baadhi wakionekana kukamtwa, imekuaje wakaibuka tena?
  2. P

    Panya road wanauawa kwa risas. Je, wezi wa mabilioni ya kodi za Watanzania wanabakije salama?

    Kundi la vijana wanaojulikana kama Panya road' limekuwa ni tishio kwa wananchi kwa siku za hivi karibuni! Vijana hawa wamekuwa wakitishia usalama wa jamii na hata kufanya mauwaji mbalimbali kwa lengo LA kuiba na kupora kila kilicho mbele ya macho yao! Tunapenda kulishukuru Jeshi la police kwa...
  3. DC Jokate: Zaeni watoto mtakaomudu kuwalea ili kupunguza watoto wa mtaani wakiwemo Panya Road

    Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo, amewataka wananchi hasa wazazi kuhakikisha wanazaa watoto ambao watawamudu kuwalea ili kuepusha nchi kuwa na idadi kubwa ya watoto wa mitaani ambao wengine wanaamua kujiingiza kwenye vitendo vya uhalifu ikiwemo panya road. DC Jokate ametoa kauli hiyo...
  4. Ushauri kwa Rais Samia kuhusu panya road

    Rais hao panya road wakikamatwa wasiuliwe bali wapelekwe Chunya gereza la Ngwala wakalime na kujifunza mambo mbalimbali yatakaowasaidia katika maisha yao. Gereza la Ngwala halina fence yoyote na wafungwa wanaishi kindugu na kufanya shughuli mbalimbali za uzalishaji. Kwanini gereza halina...
  5. Polisi watangaza kuwakamata wahalifu 167 wa Panya Road wakiwemo wanaonunua mali za uhalifu

    Polisi inawashikilia watuhumiwa hao wa uhalifu ambao wamekutwa na TV 23, Redio 2, kompyuta 2, spika 2 na silaha za jadi kadhaa zinazotumika kufanya uhalifu. Pia magari matatu aina ya Toyota Carina na Toyota Noah mbili na pikipiki tano zimeshikiliwa zikidaiwa kutumika katika matukio ya kihalifu...
  6. Miaka 20, Panya Road ni wale wale

    Ni jioni yapata saa 1:00 jioni, wakazi wa Tabata wanakimbia huku na huko kwa hofu ya kushambuliwa na kuporwa na vijana wadogo wanaosemekana wana visu na mapanga. Baadhi ya watu wanakodisha bodaboda kwenda mbele zaidi ya walipo. Kadri muda unavyokwenda ndivyo utulivu unavyorejea. Kadri utulivu...
  7. C

    Na nyie mnaamini wazazi ni chanzo kikuu cha panya road?

    Ni moja ya sababu lakini sababu kubwa ya kuwepo kwa panya road ni hali ngumu ya maisha, mfumuko wa bei, kukosa ajira na kunyimwa mazingira ya kujiajiri hasa 'umachinga'. Wanaokamatwa sasa hivi siyo watoto ni vijana wakubwa na wengine ni wababa kabisa, bado tu kuna sababu ya kuwatupia lawama...
  8. Onyo na ushauri wa bure kwa Panya Road, ndugu na wazazi wao

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu zangu nimepata taarifa kutoka kwa baadhi ya ma homeboyz kwamba kuna baadhi ya vijana wa panya road wako katika process za kutaka kuikimbia nchi ili waje Kaburu kwa lengo la kukwepa mkono wa...
  9. Huyuk kiongozi wa Chadema ndio kusema hataki panya road kudhibiwa? Au ndio kupingapinga tu. ? Mkimbizi ni mkimbizi tu.

    Tungesikia malalamiko ya ndugu za marehemu kuwa haki haikufanyika sawa. Sasa hawa analalama nini?
  10. Polisi watangaza kuwaua Panya Road sita Dar e Salaam waliokuwa wanatumia Noah

    Jeshi la Polisi limetangaza kuuawa kwa watuhumiwa sita wa vitendo vya unyan’ganyi wa kutumia silaha za jadi ikiwemo mapanga, visu na nondo ambao ni maarufu kwa jina la Panya Road, eneo la Makongo Area Four, Dar es Salaam. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne amesema...
  11. Hii nchi tushukuru mchina laasivo Panya Road wangekua mara 7 ya waliopo sasa hivi

    Kilichoandikwa hapa ni mawazo binafsi haina uhusiano na siasa wala haiwakilishi upande wowote/kundi la watu! Tanzania tunaelekea milioni 60 kwa makadilio (sensa itajibu ufasaha). Lakini katika miaka yote zaidi ya 50 na kenda ni kama serikali au nchi haikujipanga na ongezeko hili la watu. Mwaka...
  12. L

    Barua ya Wazi kwa Mkuu wa Mkoa Amos Makala juu ya Panya Road na namna ya kuwatokomezaa pasipo kujirudia

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwanza nikupe Hongera ya kuendelea kuaminiwa kuendelea kuwa RC wa DSM, Ni heshima kubwa kwako kwa kuwa Mkuu wa mkoa wa jiji la kwanza kiuchumi na kibiashara, kiuwekezaji na hata mchango wake katika Pato la Taifa, Ni mkoa ambao ndio Tanzania yenyewe ambapo hata...
  13. Panya Road achomwa moto Manzese

    Habari za Jioni, Kuna jambo la kusikitisha sana ambalo limenifanya niwaze sana mda huu. Jioni hii saa moja kuna kijana ambaye ni panya road amechomwa moto barabara ya kutokea sweet corner kuelekea Manzese darajani (karibu na machine za kusaga). Kijana huyo ambaye alimpora mtu kwa kutumia silaha...
  14. Panya Road: Matokeo ya maamuzi mabovu ya viongozi

    Wakati wa utawala wa Awamu ya Tano tulishuhudia kupungua kwa wimbi la uhalifu nchini lakini pia tuliona ongezeko la vijana kwenye sekta ya ujasiriamali na shughuli halali za kujiingizia kipato. Baada ya kuanza kwa Awamu ya Sita, kipaumbele cha kwanza kilikuwa ni kuwazuia na kuwaondoa...
  15. Panya road 100 wakamatwa Temeke

    Mkuu wa wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo amesema ndani ya siku mbili zaidi ya wahalifu 100 wamekamatwa wakiwemo vijana wanaojiita ‘panya road’ ambao wamekuwa wakijihusisha na vitendo mbalimbali vya uhalifu wa kuvamia nyumba na kupora mali pamoja na kuwajeruhi watu Source: #EastAfricaRadio MY...
  16. Panya road ni hatari ila kauli za viongozi juu ya panya road ni hatari zaidi

    Hivi karibuni kumekuwa na matukio mengi sana ya uhalifu yakihusiana na makundi ya vijana jiji Dar Es Salaam . makundi ayo maarufu kwa jina la PANYA ROAD . Matukio yamezidi kuwa mengi na athari ya matukio hayo ya uhalifu yamepelekea mpaka wanajamii kupata ulemavu , kubakia na majeraha na wengine...
  17. Kutokomeza Panya road na Watoto wa mitaani, serikali ianzishe operation ya "Kamata jiunge JKT"!

    Hao vijana Wana nguvu za kutosha zilizokosa mpenyo ndio maana wanatusumbua mtaani! Nchi yetu ina ardhi ya kutosha sana ya kuendesha kilimo na ufugaji,kamata vijana Hawa peleka jkt wakalijenge Taifa letu kuliko kuwa wakabaji! Operation "Kamata jiunge jkt tumikia Taifa lako"inawafaa Sana Hawa...
  18. Ngumu sana kwa vikundi kama Panya Road kushamiri kwenye tawala za Mkono wa chuma

    Kwema Wakuu! Kutawala Kwa Mkono wa chuma Kwa faida na hasara zake. Moja ya faida ya kutawala Kwa Mkono wa chuma ni nadra Sana kusikia vikundi vya kipuuzi kama sijui panyaroad sijui nini. Ni ngumu Sana! Watu wenye akili za kimabavu kikawaida hawapendi kushughulika na ishu ndogondogo Kama hizo...
  19. Panya Road waua mtu mmoja Kawe na kujeruhi wengine watatu

    Kundi la Vijana wanaojihusisha na Uhalifu Maarufu kama 'Panya road' wamevamia nyumba moja Kawe mtaa wa Mzimuni usiku wa kuamkia leo Septemba 14, 2022 na kujeruhi watu watano na Kumsababishia kifo Binti aliyetambulishwa kama Maria paschal Basso mwenye umri wa miaka 24. Eneo la tukio na...
  20. Spika Tulia Ackson akataa kuahirisha Bunge ili kujadili Panya Road

    Akijibu hoja ya Wabunge Bahati Ndingo na Bonnah Kamoli, waliosimama kutaka Shughuli za Bunge ziahirishwe ilikujadili uhalifu wa vikundi hivyo kwa dharula, Spika wa Bunge amesema Kanuni za Bunge haziruhusu. Dkt. Tulia amesema kwa mujibu wa masharti ya Kanuni ya 55 ya Bunge suala hilo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…