TANZANIA BARA, ZANZIBAR KUTEKELEZA KWA PAMOJA ANWANI ZA MAKAZI
Utekelezaji Tanzania Bara wafikia 3% na Zanzibar 7%
Ifikapo Mwezi Mei, 2022 utekelezaji unahitajika ufike 100%
Anwani kupatikana kwenye programu tumizi maalum ya TEHAMA ya NaPA
Kutekelezwa kwa Shilingi Bilioni 28...