Hayati Privatus Mutekanga Karugendo: 1956-2021
Tangu mwaka 1990 nilipokuwa kidato cha tatu katika Seminari ya Katoke (Biharamulo) hadi leo nimemfahamu Hayati Privatus Mutekanga Karugendo (65) chini ya kofia tofauti.
Nimemfahamu kama mwanateolojia, mwanafalsafa, mchambuzi wa masuala mtambuka...