out

  1. Simba yauza tiketi zote za Simba Day leo Agosti 3, 2023, zaidi ya saa 48 kabla ya siku yenyewe

    Historia mpya imeandikwa kwa tiketi zote kununuliwa siku tatu kabla ya SIMBA DAY. Shukrani kwa mashabiki wote ambao wamenunua tiketi
  2. Naomba nikutoe "OUT" Mrembo Joannah

    Hii ni kwa ajili yako mtoto mzuri Joannah ,Kiukweli wewe ni mwanamke uliyeko moyoni mwangu,kuanzia huo unywele wako mrefu,lips,kiuno hadi guu la byeeeri. Nimeandaa fungu zito kwa ajili yako mrembo na mtoko huu utakuwa ni kwa wiki nzima na kwakuwa ni mtoko mfupi basi tutaelekea pale hifadhi ya...
  3. Kwanini unaogopa kupanga vyumba vya laki moja kuendelea au nyumba nzima?

    Salaam.... Ni vijana wengi sana wamepanga lakini wanakaa vijistoo yaani wanashindwa kupanga vyumba vya hadhi yao au nyumba nzima. Kwa mimi binafsi yangu napendekeza kijana atoke kukaa kwenye chumba kimoja kwani atachelewa sana kwenye mafanikio na fikira za kimaisha. Wewe ni Graduate au...
  4. Extraction 2 is out now

    After barely surviving his previous mission, Tyler Rake retires from mercenary work to a cabin in Austria, where he is approached by a stranger and asked to rescue his ex-wife Mia's sister Ketevan and her two children Sandro and Nina. They are currently imprisoned along with Ketevan's gangster...
  5. Je ukitoka out unavaa saa gani?

    Binafsi, je naenda kukutana na nani? Hilò ndio swali namba 1. Swali namba mbili huwa je anajua nini kwenye mitindo na fashion? Basi napenda vitu unique, yaani niwe wa kipekee ndio maana nagharamìa. Hii ndio saa yangu. Usiulize gharama . Nguruwe hawajuagi madini etii!!!!!!
  6. Kanye West: He thinks out of the box or not?

    Baada ya Adidas kusitisha kufanya kazi na yeezy inayomilikiwa na mkali wa miondoko ya Hiphop Kanye West, Ina ripotiwa Adidas wamepoteza takribani USD million 540. Sasa basi Kanye West kaamua kufanya kazi za masuala ya fashion kivyake vyake. Siku chache zilizopita ametoa new outfit tofauti...
  7. TBT: Tujikumbushe filamu hii ya Baby's Day Out iliyopata umaarufu mkubwa sana kwenye deki za mikanda enzi hizo

    Najua hapo zamani lugha zilikuwa zinapiga chenga na hata wanaotafisir nao saa nyingine wanaongeza chumvi kwa lugha kupiga chenga, hapa kuna subtitles kabisa zenye tafsiri sahihi. Kila siku ntakuwa naweka kipengere hadi imalizike. ITAENDELEA!!
  8. Tetesi: Baraza la Mawaziri kufanyiwa mabadiliko karibuni

    Kuna source yangu Muhimu huenda nami nashiriki, niiweke ilivyo Mama Samia ambaye ni Rais wa Tanzania atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na cha kufurahisha kuna sekta kazigusa Zaidi ya Mawaziri 5 watabadilishwa, Makatibu wakuu 7 watabadilishwa Na wakurugenzi mbalimbali Je, BASHIRU...
  9. Tujenge utamaduni wa kupendeza (kujipenda), kutoka out na kula vizuri

    Heri ya Pasaka. Iko hivi, imekuwa kama tamaduni kwetu kuwa siku za sikukuu ndio mtu atavaa vizuri, atakula vizuri na atatoka out. Jana wakati natoka kwenye mishe zangu nikamuita boda wangu anipeleke home nikaangalie chama langu Liverpool likimenyana na Arsenal. Jamaa kafika asee alikuwa...
  10. Wife katoka out bila kunijulisha

    Niko mjini Dublin-Ireland kikazi, so hii sikukuu ya pasaka haijanikutia huko bongo. Juzi ijumaa tuliongea kwa kirefu tu na wife aliyeko huko bongo na nikawatumia kama pound 1000 hivi kwa ajili ya sikukuu coz aliniambia kuna wageni wake wangemtembelea. Leo siku nzima hajanitafuta, jioni hii kwa...
  11. "Work Better Without Getting Tired: The Surprising Impact of Cutting Out Sugar"

    Sugar is a common ingredient in many of the foods we consume on a daily basis. It is often used to enhance the taste of our meals and satisfy our sweet cravings. However, research has shown that excessive sugar consumption can have negative effects on our health and well-being, including causing...
  12. Msaada: Course Outline ya Foundation kwa Open University

    Habari guys, Naomba msaada wa course outline ya foundation course idara ya elimu sayansi Kwa walio wahi/ wanao soma Open university of Tanzania (OUT)
  13. Makao Makuu ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kuhamia Dodoma

    Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Prof. Elifas Tozo Bisanda, ametanabaisha ya kwamba makao makuu ya OUT yanatarajiwa kuhamia jijini Dodoma baada ya kupata eneo na fedha kutoka serikalini kupitia mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET). Prof. Bisanda, ametanabaisha...
  14. Central Bank Digital Currency (CBDC) is the endgame. But do you know the implications to humanity? Read more here

    “Let me issue and control a nation’s money and I care not who writes the laws.” - Mayer Amschel Rothschild Central Bank Digital Currency (CBDC) will end human freedom. Don’t fall for the assurances of safeguards, the promises of anonymity and of data protection. They are all deceptions and...
  15. Stock market losses wipe out $9 trillion from Americans' wealth.

    Falling stock markets have wiped out more than $9 trillion in wealth from U.S. households, putting more pressure on family balance sheets and spending. Americans' holdings of corporate equities and mutual fund shares fell to $33 trillion at the end of the second quarter, down from $42 trillion...
  16. Mwigulu soon out

    Mwigulu soon ataondoka hapo alipo na mwingine atachukua nafasi. Ni mzigo sana
  17. Mnapojidai kutembea na wake zao wao wanatoka na watoto wenu na ndugu zenu wa damu hata mama zenu wanaopatikana nchi nzima. Watch out! karma is real.

    Hello, Story kwa ufupi, duniani hakuna mjanja aloshindikana, kila penye nyumba na nyufa ipo. Katika hali iliozoeleka inaonekana kutoka na mke au mume wa mtu ni ushujaa sana mithili ya kubeba kombe la Dunia. Kwa taarifa yenu hao mnaowaibia wake au waume zao ndio wanaotoka na watoto zenu, dada...
  18. Bishoo wenu nje

    Naamini kuanzia leo tutasikia kelele za FAIR PLAY baada ya kuchezewa rafu ya kawaida mcheza rafu Maarufu INONGA. Nawakumbusha tu Watu wenu wanapenda mpira wa kimama mama. Tukiwaambia hamna fitness couch mnaona tunapiga kelele. Sasa tunaenda kuelewana,Huyo mwamba wenu nae ni suala la muda tu...
  19. Russia says the U.S. is moving bioweapons research facilities out of Ukraine to other countries including Kenya

    Wednesday, December 28.2022 For people who are confused about why U.S. politicians and the West, in general, are so hell-bent on helping Ukraine beat back Russia’s invasion and are convinced that it is something more than just to hide Biden family corruption in the country, Russian officials...
  20. Msemo “kujiajiri“ kutoka kwa Wanasiasa ni Ushahidi tosha out of touch na Low IQ!

    Kila siku utasikia hakuna ajira na watu wajiajiri, sasa wajiajiri ili wamuuzie nani na nini? Tanzania ni nchi masikini tena sana sasa kila mtu akijiari hiyo biashara nani atanunua na kwa kipato gani? Kwangu mimi Mwanasiasa anayewaambia watu wajiajiri wakati per capital income ya Tanzania ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…