oktoba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Watanzania asilimia kubwa wanaamini mtoto Yule angel aliepigwa risasi oktoba 29 na kufariki Jana muhimbili pengine ameuwawa Je wewe unaamini nini?

    Piga kura hapa kuhusu mtoto angel aliefariki jana
  2. Mtoto Angel alopigwa risasi 29 Oktoba 2025 afanyiwe mazishi ya Kitaifa!

    Kifo cha binti huyu ni cha kusikitisha sana lakini pia chaweza kuwa alama ya MO29 kama vile mauaji ya Sharpville, Soweto Afrika ya Kusini Machi 21, 1960 Mazishi makubwa yaandaliwe na yawe pia alama ya wale ambao hatukuona na kuizika miili yao! Tupo tayari kuchangia!
  3. Muhimbili yazungumzia taarifa ya kifo cha Angel Wariael Noel aliyejeruhiwa kwa risasi Oktoba 29, 2025

    Baada ya kusambaa kwa taarifa ya binti Angel Wariaeli aliyepata majeraha katika tukio la Oktoba 29, 2025, kwamba amefariki Dunia ~ Angel aliyepigwa risasi 29 Oktoba, 2025 afariki dunia, Hospitali ya Taifa Muhimbili imetoa neno kuhusu taarifa hiyo. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa...
  4. PostGE2025 Serikali ambayo inasema watoto wasichapwe viboko ndiyo hiyo hiyo ilishindwa kuwavumilia watoto haohao oktoba 29 ikawachapa risasi za moto

    Unajiuliza kwanini na wao wasinge kaa nao vijana na watoto wale kwa upendo na kuwashauri kwa amani bila risasi ili hao vijana wasifanye fujo? Huo uvumilivu mnao utaka kwa walimu leo dhidi ya kukosa adabu kwa wanafunzi ninyi serikali mlishindwaje kuutumia huo uvumilivu 29 oktoba 2025? Kwa...
  5. M

    Hoja muhimu: Maneno kukinukisha yalitamkwa April 2025 alafu wananchi wakachochewa Oktoba 29 2025?

    Yaani mioyo ya wananchi watanzania ilisubiri miezi sita kupata ghazabu na kuchochewa kisha kukinukisha baada ya miezi sita? Kwa nini hawakukinukusha on the spot. Maana uchochezi ni suala la kuchochea mioyo ya watu na kupata hasira na chuki. Sio suala la kusubiri kama unapika wali na kuku.
  6. PostGE2025 Peter Madereka, fungua kesi ya kikatiba. Kura za wananchi zililindwaje tarehe 29 Oktoba 2025?

    Wakili Peter Madereka, kuna swali ambalo kifungo cha Tundu Lissu hakiwezi kulijibu. Jamhuri iliiambia Mahakama Kuu kwamba kauli za Lissu ziliwashawishi baadhi ya watu kuvuruga uchaguzi. Sasa wananchi wana haki ya kuuliza jambo la msingi. Ni vituo gani viliathirika, wapiga kura gani walipoteza...
  7. BAK Mwabukusi, Mchungaji Msigwa, Masikio ya HECHE yanawahitaji sana hasa katika kipindi hiki ambacho Wauaji wa Oktoba 29 Wanapambana kulikua Chama!!.

    Mnaowajibu Mkubwa sana , nyinyi ninawaelewa vizuri, Ukuu wa Akili zenu ni hazina kwa Chama. Mara chache niliofanikiwa Kuzungumza nanyi kama mdogo wenu, nimegundua Akili zenu ni Uhalisia wa maono na Principles za Mwenyekiti TUNDU LISSU. Ni wakati wa kumkumbatia Mh HECHE, HECHE anahitaji kua...
  8. MWAUWASA: Huduma ya maji imerejea Nyegezi, kulikuwa na changamoto Oktoba 13 hadi 20, 2026

    Baada ya andiko la Mdau aliyeelezea "Hali ya maji katika Jiji la Mwanza inazidi kuwa mbaya! Mfano ni Nyegezi," kupitia andiko hili ~ Mwanza: Kuna kero sugu ya maji. Wananchi tumechoshwa na visingizio, malaka husika imetoa neno. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA)...
  9. PostGE2025 Mfadhili ajitokeza kumsaidia mtoto Angel aliyepigwa risasi Oktoba 29, Manzese

    Mfadhili ajitokeza kumsaidia mtoto Angel aliyepigwa risasi Oktoba 29 Manzese: Kugharamia matibabu Muhimbili, makazi na elimu. Mama wa Angel awashukuru Watanzania, mfadhili na Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa msaada wa hali na mali. Pia soma ~ Mtoto wa miaka 13 aomba msaada wa matibabu kutokana...
  10. Prof Lwaitama: Tume za kuchunguza Oktoba 29 ni janja janja tu

    Mchambuzi wa masuala ya siasa na kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Profesa Azaveli Lwaitama, amezitaja tume zilizoundwa kuchunguza matukio ya Oktoba 29, 2025, kuwa ni “mambo ya ujanja ujanja”, akidai kuwa zina lengo la kupunguza hasira za wananchi na kurejesha matumaini kwa...
  11. 2007 Lucky Dube aliuawa na vibaka kwa dhumuni la kuiba gari yake. Ironically Dube aliuawa na watu wale wale aliowaimbia na kuwashauri dhidi ya uharifu

    https://youtu.be/P0b1Sk7_VFM?is=cLeLJ-QDzigC9brU Mnamo Oktoba 18, 2007, Lucky Dube aliuawa na majambazi wenye silaha huko Rosettenville, kitongoji cha Johannesburg, muda mfupi baada ya kuwaacha watoto wake wawili nyumbani kwa mjomba wao. Dube alikuwa akiendesha gari lake aina ya Chrysler 300C...
  12. PostGE2025 Mwaka mmoja baada ya doa la Oktoba 29: Je,Taifa linaelekea kwenye suluhu?

    Mwaka mmoja baada ya Oktoba 29, Tanzania imepiga hatua gani kutoka katika kutambua yaliyotokea hadi kuweka wazi ukweli, kuwawajibisha wahusika na kutoa haki kwa walioathirika? Ni takribani mwaka mmoja tangu Tanzania ikumbwe na doa kubwa katika historia yake kufuatia uchaguzi mkuu wa Oktoba 29...
  13. Je Mauaji ya Oktoba 29 sasa kuadhimishwa Kila mwaka?

    Watanzania poleni kwa kumbukizi ya mauaji ya maelfu ya ndugu jamaa na marafiki kufuatia ghasia za uchaguzi mkuu wa mwaka jana maarufu kama mauaji ya oktoba 29. Kwa kweli watanzania wameshindwa kusahau na kumove on. Ni mwaka sasa Serikali hii ya CCM ikijitahidi kumaliza mkwamo huu lakini naona...
  14. PostGE2025 Je, mpaka sasa Serikali imewajibika kwa kilichotokea Oktoba 29, 2025?

    Tarehe 14 Novemba 2025, Rais Samia alitangaza kuundwa kwa Tume ya Uchunguzi kuhusu mauaji yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi. Tume hiyo iliyoongozwa na Jaji Mkuu mstaafu Mohamed Chande Othman ilibaini kuwa watu 518 walipoteza maisha, wengi wao kwa majeraha ya risasi. Mwenyekiti wa Tume hio...
  15. M

    PostGE2025 Askofu Rweyongeza: Kuwaombea Marehemu wa Oktoba 29, 2025, Si kuvuruga amani

    Almachius Vincent Rweyongeza, Askofu wa Jimbo Katoliki la Kayanga, Kagera Na kutukana vikali kwamba maskofu wanavuruga amani ya nchi kwa kufukua makaburi. Basi ukaanza kujiuliza hapa wito ni matamuko hilo? Ni kufukua makaburi? Ukimia unayoga wa wananchi ni amani hiyo? Sasa naomba niwasomee...
  16. PostGE2025 Oktoba 29, 2025 ilivyonibadilisha

    Kwangu leo ni siku yenye maumivu mengi sana na siku ya huzuni nzito. Nahisi kama vile nina PTSD. Sijui Kiswahili chake ni nini. Mnaojua saidieni. Oktoba 29 imenifanya niwe mtu katili dhidi ya wale wote waliohusika na kuwaua Watanzania na wale ambao wanawaunga mkono hao wauaji. Sikuwahi kuwaza...
  17. R

    PostGE2025 Asha-Rose Migiro: Vyombo vya Ulinzi vilifanya 'kazi ya kutukuka' Oktoba 29 kwa Taifa letu

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, akifanya mahojiano na Salim Kikeke, Crown Media Asha-Rose Migiro: "...kuhusu vyombo vya ulinzi na usalama. Ndugu Kikeke, unafahamu kwamba katika nchi yoyote na Tanzania haina tofauti, vyombo vya ulinzi na usalama...
  18. M

    Shtuka, Kuachiwa kwa picha za Nchimbi ni Kiki ya kuzima vuguvugu la Oktoba 29 pamoja na Kutekwa Twaha Mwaipaya

    Kuna picha za Nchimbi zimeachiwa kuwa ameonekana Dubai mapumzikoni, tambueni kuwa picha hizo haziko kwa bahati mbaya ila zinatumika kuhamisha upepo mbaki kubishana juu ya uhalisia wa wapi alipo Nchimbi na msahau kutekwa kwa Twaha Mwaipaya pamoja na Vuguvugu la Maandano. CCM wana kila mbinu ya...
  19. CCM na serikali yake inataka kutuaminisha walioratibu maandamano ya Oktoba 29 ni wanaharakati wa CHADEMA waliokuwa Nairobi?

    Inasemekana Pambalu alikamatwa akitokea Nairobi Kenya. Alipoingia nchini mkoani Arusha akakamatwa na sasa ameshitakiwa kwa uhaini. Mwenzake nasikia ametekwa jana. Waliomteka inasadikiwa ni Wanausalama wa kitanzania. Je, hawa wanaharakati waliokuwa wameweka kambi hapo Nairobi ndio walipanga huo...
  20. Kuelekea 29 Oktoba 2026: Mbona serikali inaogopa TEC kuwaombea wauaji?

    Mapadre wawili, Stanslaus Muyebe na Alex Muyebe (2001), katika kitabu chao kiitwacho “The African Bishops on Human Rights: A REsource Book,” wanafafanua misimamo thabiti ya Maaskofu Kuhusu wajibu wetu wa kukuza na kuhami haki za binadamu, zikiwemo haki za kidini. Kuhusu haki za kidini, Muyebe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…