odinga

Odinga is a surname. Notable people with the surname include:

Jaramogi Oginga Odinga (1911–1994), Kenya's first vice-president and later opposition leader.
Raila Odinga (born 1945), Former Prime Minister of Kenya, son of Jaramogi Oginga Odinga
Ida Odinga (born 1950), Kenyan businesswoman, activist and educator, wife of Raila Odinga
Oburu Odinga (born 1943), MP, son of Jaramogi Oginga Odinga
Norman Odinga (born 1963), Canadian association football player
Sekou Odinga, American activist from the Black Liberation Army

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tumwelewe Raila Odinga: Anachokifanya ni kujaribu kufunika aibu ya kushindwa katika mazingira aliyoandaliwa kushinda

    Aibu yake kubwa ni mbele ya Uhuru Kenyatta. Uhuru Kenyatta amembeba sana, serikali ya Kenyatta imembeba sana!! Ruto akapakwa matope hadharani na mkuu wa nchi kuwa hawezi na hana jipya maana alipewa nafasi ya kuwa makamu wa rais lakini hakufanya chochote!!. Ukizingatia kuwa Kenyatta yuko nyuma ya...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ruto Ameshinda, Je, ni kweli Rais Uhuru Kenyatta Ameshindwa? Au Odinga kachezewa Mchezo?

    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka Kenya (IEBC), jana ilimtangaza Ndugu, William Samoei Arap Ruto kuwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Kenya. Ruto ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kenya, na amehudumu chini ya Rais Uhuru Kenyatta kwa takribani miaka 10 sasa. Pamoja na urafiki wa muda...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 IEBC: William Ruto ameshinda Urais kwa 50.4% dhidi ya 48.8% za Raila Odinga

    Tume ya Uchaguzi Huru na Mipaka (IEBC) imemtangaza aliyekuwa Naibu Rais, William Ruto (55) kuwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano kwa tiketi ya Chama cha UDA kufuatia Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti 9, 2022 Tume imesema Ruto amepata Kura 7,176,141 sawa na asilimia 50.49 huku akifuatiwa na Raila...
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Madai ya Odinga kuhusu Ruto kuchakachua matokeo ni ya kijinga sana kwa sababu hizi

    Hawa jamaa wa Raila ni wajinga kwelikweli, eti team ya Ruto wali hack matokeo? Ni uongo kwa sababu hizi Matokeo yote kutoka vituo vya kupigia kura ambayo yanajazwa kwenye fomu ziitwazo fomu 34A yote yalisainiwa na mawakala wa kila upande kabla ya kuwekwa kwenye mtandao wa IEBC Kisha hizo fomu...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga agoma kushiriki hafla ya IEBC kutangaza matokeo ya Urais kabla hajayaona na kujiridhisha

    Raila Odinga kwa sasa ndiye anasubiriwa kwenye ukumbi wa IEBC yatakapotangazwa matokeo ya mshindi wa Urais kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Ikiwa Mgombea wa Kenya Kwanza Coalition, Willium Ruto ameshawasili zaidi ya saa moja iliyopita, hali ni tofauti kwa mpinzani wake mkuu Raila Odinga ambaye...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Odinga adhibitiwe, ataleta vurugu

    Huyu mwamba Hana cha kupoteza, asipodhibitiwa tutaanza kutafuta wasuluhishi wa kimataifa kusuluhisha Mgogoro. Awekwe chini ya ulinzi mkali akubali kushindwa na kumpongeza Mheshimiwa Dr. Ruto (PhD) kisha aachiwe baada ya Rais mpya kuapishwa. Pia, Wasisahau kuzima internet mwezi mzima
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Vurugu zanukia Kenya, mawakala wa Odinga waishtumu tume kufanya uhalifu

    Mzee Odinga sijui kanusa kushindwa sijui Mawakala wake wamekuwa wakilalamikiwa na Tume kuzua vurugu kila mara kwenye ukumbi wa kuhesabia kura Bomas Wakala Mkuu wa odinga anasema Bomas imekuwa chumba cha uhalifu akimaanisha haamini mchakato wa uhakiki
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga ni chaguo la Mbinguni. Chebukatii amtangaze kuwa Rais

    Nilikuwa Kenya wakati ule, kulikuwa na kampeni na mimi nilikuwa Nairobi, nadhani just for a day and a night. Kulikuwa na some complaints kuhusu Raila, complaints in the media,na mimi nilikuwa very dejected,natafakari hayo mambo as I was falling asleep. Nilikuwa katika guest house. Nikaamka...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga apindua matokeo mchana huu Ruto aporomoka

    Mgombea Urais kupitia Azimio, Raila Odinga amefanikiwa kumpita William Ruto kwa idadi ya Kura baada ya kuwa nyuma kwa masaa kadhaa Hadi kufikia leo saa 6:30 mchana Odinga alikua na kura 6,431,752 (49.46) akifuatiwa na William Ruto mwenye Kura 6,389,957 (49.14%) Prof. Wajackoyah Kura 56,430...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lipumba: Odinga ananipa moyo kurudi ulingoni 2025

    "Mimi na Odinga tunafanana Sana kwenye historia ya maisha yetu ya siasa. Nilikuwa na mpango wa kutokugombea uchaguzi ujao lakini kwa jinsi ninavyoona matokeo ya urais nchini Kenya na jinsi Odinga anavyokimbiza, Nina kila sababu ya kurudi ulingoni kwenye uchaguzi wa 2025". Maneno ya Prof Ibrahim...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga: King'ang'anizi katika kuutaka urais wa Kenya, uchaguzi huu anagombea kwa mara ya tano (5)

    Raila Odinga alijiapiza kuwa lazima awe rais wa kenya kabla hajafa!! Leo anagombea kwa mara ya tano akiwa na miaka 77. Na jamaa huyu hujaribu bahati yake kupitia vyama mbali mbali, na mwaka huu anagombea kupitia umoja wa vyama uitwao AZIMIA LA UMOJA. Swali, je akiangukia pua mwaka huu ataweza...
  12. JamiiForums Tanzania Huyu ndiyo Kikwete ambaye 'comfortably' ameweza kuwakutanisha 'mahasimu' Odinga na Ruto, ila mwaka 2020 alishindwa kuwakutanisha Magufuli na Lissu

    Halafu wenye akili kuwazidi tukiwa tunasema hapa hamna mtu bali kuna Profesa wa unafiki Tanzania nzima mnasema tuna chuki nae binafsi, tunatumika au ni wadini na wakabila. Mliokuwa wavivu wa kufikiri na mnaompenda mnamuita mwamba wa siasa na diplomasia. Hivi inaingia akili mwamba na bingwa wa...
  13. JamiiForums Tanzania Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo na Wagombea Urais William Ruto kutokea Umoja wa Vyama vya Kenya na Raila Odinga

    Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akiwa Kiongozi ya Timu ya Uangalizi ya Uchaguzi wa Kenya, ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, kwa nyakati tofauti, amekutana na kufanya mazungumzo na Wagombea Urais William Ruto kutokea Umoja wa Vyama vya Kenya Kwanza, na Raila Odinga wa Umoja wa Vyama vya...
  14. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz kutumbuiza mkutano wa Raila Odinga

    Msanii Diamond Platnumz yupo nchini Kenya na anatarajiwa kutumbuiza katika mkutano wa mwisho wa kampeni wa azimio la umoja wa Raila Odinga. Source:bbc swahili
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Namtakia Raila Odinga ushindi mwema na wa uhakika.

    Ni wazi Raia Odinga 'Baba' atashinda uchaguzi mkuu utakaofanyika huko Kenya hivi karibuni. Raila amepigana hiyo vita toka enzi za baba yake Oginga Odinga, na sasa inafika hitimisho. Nampongeza na Uhuru kwa kufanya uteuzi wa mgombea ulio sahihi kwa Kenya. Miaka 10-20 ijayo sifa hii iatwabeba...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Mdahalo wa Urais: Ruto amkaanga Odinga, asema hana la kuwaambia Wakenya

    William Ruto amekosoa uamuzi wa Mpinzani wake, Raila Odinga kutoshiriki Mdahalo wa Wagombea Urais katika Uchaguzi wa Agosti akisema kitendo hicho ni kuepuka Uwajibikaji Amesema Raila si Mgombea halisi na hajashiriki Mdahalo kwasababu anaepuka Maswali magumu. Ruto amedai Mpinzani wake hana...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kalonzo Musyoka arejea Azimio, akubali kumuunga mkono Odinga

    Kiongozi wa Chama cha Wiper Democratic Movement, Kalonzo Musyoka amerejea katika Umoja wa Azimio ikiwa ni wiki mbili tu tangu alipotangaz akujiondoa na kusema kuwa yupo tayati kumuunga mkono, Martha Karua aliyeteuliwa kuwa Mgombea Mwenza wa Raila Odinga Aliondoka katika umoja huo baada ya...
  18. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti wa Raila Odinga, Rosemary ni mfano wa kuigwa

    Rosemary ni Binti mkubwa wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mhesh Raila Odinga Ni mfano wa kuigwa kwa namna anavyojishughulisha kiuchumi bila kujali nafasi kubwa ya Babake anayeongoza kwa kura za maoni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Kenya Agosti 2022. Hongera Kwake
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga amzidi William Ruto kwa umaarufu kuelekea uchaguzi mkuu

    Umaarufu wa Mgombea Urais Nchini Kenya anayewakilisha Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga, umeongezeka mara baada ya kumchagua Martha Karua kuwa mgombea Mwenza. Odinga amepata kura 39% wakati mpinzani wake katika uchaguzi huo William Ruto ambaye alimtaja Rigathi Gachagua kuwa Mgombea...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga Names His 'Dream Team'

    Azimio La Umoja coalition leader Raila Odinga has announced a list of nominees who will be part of his Cabinet if he ascends into power in the August General Election. He was speaking on Monday at the Kenyatta International Conference Center (KICC) as he unveiled his presidential running mate...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…