odinga

Odinga is a surname. Notable people with the surname include:

Jaramogi Oginga Odinga (1911–1994), Kenya's first vice-president and later opposition leader.
Raila Odinga (born 1945), Former Prime Minister of Kenya, son of Jaramogi Oginga Odinga
Ida Odinga (born 1950), Kenyan businesswoman, activist and educator, wife of Raila Odinga
Oburu Odinga (born 1943), MP, son of Jaramogi Oginga Odinga
Norman Odinga (born 1963), Canadian association football player
Sekou Odinga, American activist from the Black Liberation Army

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Odinga atangaza maandamano ya kishindo ya kuwang'oa majaji wa mahakama kuu asema mahakama ilifanya ujambazi na ujinga

    Aliyekuwa mgombea urais wa Kenya Raila Odinga amerejea nchini humo akitokea Zanzibar Raila amesema hakubaliani na uamuzi wa mahakama kushikilia ushindi wa Ruto na kusema mahakama ilifanya ujambazi na uamuzi wa kijinga Amesema watafanya maandamano ya watu milioni kuelekea mahakama kuu kuwaondoa...
  2. JamiiForums Tanzania Raila Odinga: Nilikwenda Zanzibar kuondoa mshtuko wa kupoteza Uchaguzi

    Aliyekuwa Mgombea Urais wa Azimio la Umoja Raila Odinga alieleza kwamba alisafiri kwenda Zanzibar pamoja na familia yake yote ili kupata nafuu baada ya kushindwa Uchaguzi wa Agosti 9, 2022. Waziri Mkuu huyo wa zamani alibainisha kuwa safari ya nje ya nchi ilikuwa muhimu kuwezesha familia yake...
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ogingas Stand on Communism

    I came across this video between oginga odinga and the british journalist. communism may be the reason why he was denied a chance to be a president
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ruto: Maamuzi ya mahakama tunamuachia Mungu

    "Sisi ni watu ambao tunamtambua Mungu, maamuzi yatakayoenda kutolewa kesho tumemuachia Mungu na viongozi wa mahakamani waamue na kenya iweze kwenda mbele". "Mimi naomba kwa heshima kubwa mumuombee Kenyatta hasa katika kipindi hiki cha transition, Mungu amsaidie ampatie hekima, kuwe na...
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aisee kumbe Mawakili wa Raila Odinga ni vilaza kiasi hiki?

    Kuna wakili wa Odinga anaitwa Julie Soweto, huyu wakili tangia siku ya kwanza ya kesi alikuwa akitoa data za hatari bila woga ambapo kwa mtu wa kawaida ukimsikiliza bila ku fact check madai yake basi utaamini uchaguzi uliibiwa waziwazi Leo tena huyu wakili kaja na kituko kingine, kwenye...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Tume ya Uchaguzi IEBC yamshutumu Raila Odinga kughushi nyaraka za ushahidi

    Wakili wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Mahat Somane, amesema kiongozi wa Azimio, Raila Odinga ameghushi nyaraka za ushahidi alizowasilisha mbele ya Mahakama Kuu katika ombi lake la Kupinga Matokeo ya Urais Katika mawasilisho yake leo Septemba 1,2022 Wakili Somane aliitaka Mahakama Kuu...
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Jaji amuumbua Raila Odinga kwa swali gumu

    Kwa mnaofuatilia mnakumbuka wale makamishna 4 wa IEBC walivyotoka saa ya mwisho matokeo yakitaka kutangazwa na kusema hawayatambui Jaji anawauliza mawakili wa Odinga kwa nini muda wote walikuwepo na kuonekana kusoma matokeo kwenye Tv ila baada ya kuona Raila anashindwa wakasema hawayatambui?
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Maswali na Majibu yote kutoka Mahakama Kuu kuhusu Pingamizi la Matokeo ya Urais

    Githu Muigai: Waangalizi wote walirudi na hitimisho moja. Huu ulikuwa uchaguzi wa wazi na wazi. Githu Muigai: Ningekuhimiza uwaulize mawakili ikiwa wanafurahia uchaguzi wao wenyewe. Ikiwa wamefurahi, basi inakuwaje uchaguzi huu una dosari? Githu Muigai: Katika mahakama hii, kuna magavana...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Mahakama Kuu yamruhusu Odinga kukagua mifumo ya kuhifadhi taarifa za Uchaguzi ya IEBC

    Mahakama Kuu imeamuru Tume ya Uchaguzi IEBC kumpa Mgombea Urais Raila Odinga idhini ya kuzipitia na kuangalia Server zote za Kituo cha Taifa cha Kujumlisha Kura za Uchaguzi Mkuu. Pia Mahakama iliagiza Tume kumpa masanduku ya Kura kutoka vituo mbalimbali yafunguliwe kwa ajili ya ukaguzi...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Mapingamizi ya uchaguzi wa Rais Kenya: Yanayoendelea Mahakama ya Juu

    Ratiba kamili ni hii hapa chini, ikionesha jinsi mtiririko wa matukio ulivyokuwa, kuanzia kupeleka malalamiko mpaka usikilizwaji wa kesi yenyewe. Leo tarehe 30/8/2022 tukio linalofanyika ni mkutano wa uwasilishaji malalamiko kabla ya kesi (pre trial). Kesho tarehe 31/08/2022 ndipo kesi itaanza...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga aahidi kuheshimu uamuzi wa Mahakama juu ya Matokeo ya Urais

    Raila Odinga amesema ana ushahidi thabiti kwamba alishinda katika kura za Urais na ana imani kwamba Mahakama ya Juu itakubali ombi lake la kutengua matokeo ya uchaguzi wa Agosti 9, ambapo William Ruto alitangazwa Mshindi kwa Kura 50.5% dhidi ya 48.8% Ameongeza kuwa ataheshimu matokeo ya uamuzi...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mwanasheria Mkuu asema hapingani na Pingamizi la Raila Odinga

    Paul Kihara Kariuki amewasilisha andiko hilo Mahakama Kuu akionesha kwamba hatosimama kupinga na maombi 8 ya Pingamizi lililowekwa na Raila Odinga la kutaka kubatilishwa Matokeo wa Urais. Wakili Mkuu, Kennedy Ogeto, akizungumza kwa niaba ya Mwanasheria Mkuu, alithibitisha hatua hiyo katika...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kushindwa Kwa Raila Odinga ni pigo kubwa kwa Kenyatta, labda Mahakama itamnusuru na aibu

    Huyu jamaa kwa sasa usingizi wake ni mbaya, siku zote aliyemadarakani ndie hulalamikiwa Kwa kuiba kura lakini Kwa Kenya imekuwa tofauti aliyepo madarakani ndie analalamika kuibiwa. Kama ruto ataapishwa na kuwa Rais wa Kenya ,basi ujue ati uhuru atajipata mpweke sana. Na sio tu kuwa mpweke Bali...
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga anatapatapa: Ameibuka na hoja tofauti, sasa anadai Ruto hakufikisha kura 50% + 1

    Ruto did not attain 50+1 threshold, Azimio says in court papers! Matokeo ni haya hapa: Last updated: 15/08/2022, 18:59:28 local time (GMT+3) Final results from IEBC Candidates Vote William Ruto 50% 50.5% 7,176,141 Raila Odinga 48.8% 6,942,930 Other Candidates 0.6% 93,956...
  15. JamiiForums Tanzania Haya hapa Mambo 14 anayotaka Raila Odinga kwenye Pingamizi la Urais

    Mgombea Urais wa Muungano wa Azimio la Umoja One Raila Odinga na Mgombea Mwenza Martha Karua leo Agosti 22, 2022 waliwasilisha ombi katika Mahakama ya Juu, wakitaka kupinga matokeo ya Uchaguzi wa Urais wa 2022. Katika ombi lao, Raila Odinga (mlalamikaji wa kwanza) na Martha Karua (mlalamikaji...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kinachofuata baada ya Raila Odinga kufungua Pingamizi la Urais

    Ndani ya saa 24 baada ya jibu la ombi kuwasilishwa, kiambatanisho kitawasilishwa na kutolewa uamuzi, ambapo upande wa Mawakili wa Rais Mteule William Ruto utakuwa na siku 4 kuwasilisha na kutoa majibu kufuatia ombi hilo. Mkutano wa kabla ya kesi utafanyika ndani ya Mahakama Kuu kwa siku 8...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga afungua kesi Mahakama ya Juu Kupinga matokeo ya Urais

    Akiongea na vituo vya KTN na Al Jazeera, mwanasheria wa kambi ya Odinga, Wakili Daniel Maanzo, amesema tayari leo asubuhi wamekwisha fungua kesi ktk Mahakama ya Juu 'Supreme Court' kwa njia ya ki electronic, na wapinzani wao, tume ya uchaguzi pamoja na bw. Ruto mwenyewe wana siku 4 za kujibu...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga: Tulieni, tunafungua kesi kupinga Matokeo ya Urais

    Raila Odinga amewataka wafuasi wake kuwa na amani wakati chama hicho kikijiandaa kuwasilisha Mahakama Kuu ombi la kupinga matokeo ya Uchaguzi wa Urais uliofanyika Agosti 9 Akizungumza kwenye makazi yake huko Karen leo baada ya kutembelewa na viongozi wa kidini, Odinga ameshikilia msimamo wake...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utelezi wa vita ya Ukraine umemwangusha Kenyatta na Raila Odinga Kenya

    Maisha yamepanda, maisha ni magumu na hali ni mbaya sana kwa watawala katika kipindi hiki. Ni vigumu kuwashawishi wapigakura kuwa hali hii nguvu ni kwasababu ya vita ya Ukraine na Russia na sio uzembe na ufujaji wa viongozi wao. Kilichomwangusha Raila kwenye sanduku la kura ni kuungwa mkono na...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga akataa kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa Rais

    Aliyekuwa Mgombea wa Kiti cha Urais nchini Kenya na kiongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja, Raila Odinga anatarajiwa kuzungumza na Wakenya kupitia vyombo vya habari leo Jumanne, Agosti 16, 2022. Taarifa hiyo iliyotolewa na Dennis Onsarigo ambaye amekuwa msimamizi wa mawasiliano katika kampeni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…