nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Faida nzuri ya kilimo utaipata ukitoa bidhaa badala ya malighafi

    Nimeangalia documentary nyingi za kilimo kutoka Australia mpaka Brazil hata Italy, Ghana na South Africa. Kilimo kina faida baada ya uwekezaji mkubwa. Kwanza kilimo chenye faida kina anzia heka 20+. Kupata ukubwa huu wa shamba uweze kulima kwa trekta kutoka kwenye pori si kazi ya mwaka mmoja...
  2. Tanzania Oxygen walalamikia Serikali kutotengeneza barabara nzuri kwenda kwenye visima vyao vya gesi

    Msimu huu ea mvua madereva wa malori ya TOL wamelalamika kuhusu kuisahau barabara ya kutoka Katumba kwenda Mwakaleli ambako huko.kuna visima vyao vya gesi. Wanasema mtwara kwenye gesi wameoeleka barabara nzuri ambako gesi imegunduliwa juzi tu lakini kule kwenye visima vyao serikali haitaki...
  3. Aina gani ya friji ni nzuri?

    Habari zenu wana Jamvi, naombeni ushauri juu ya hizi fridge zilizopo madukani, ni aina gani ya fridge ni nzuri na inayodum mda mrefu, na ni kitu gani cha kuzingatia wakati wa kununua hizi fridge, maana nmeona kampuni nyingi sana kwa sasa zikiwa zinauza hizi bidhaa. Mfano, jana nmetaka kununua...
  4. Pikipiki gani ya kichina ni nzuri kati ya hizi?

    Ninataka kutafuta pikipiki kwa ajili ya bodaboda na kutembelea pia.Ninataka kufahamu je ni pikipiki gani ya kichina ambayo angalau ina ubora kiasi kati ya hizi Fekon SanLG King Lion T better
  5. Natafuta IST iliyo kwenye hali nzuri

    Natafuta IST iliyo kwenye hali nzuri, iwe haijawahi pata ajali, haijarudiwa rangi no D. Offer yangu ni milioni 7. Mawasiliano ni 0766049522.
  6. S

    Ushauri wangu kwa Wanasiasa wanaotaka kuacha legacy nzuri na ya kudumu

    Wanasiasa, na hata Wanaharakati wengi duniani, wakiwemo wa nchi hii (including the late Magufuli) wanaonekana kupenda sana kuja kukumbukwa baadae hata na vizazi vijavyo, ila hawaelewi wafanye nini waache legacy na hata historia imeshindwa kuwasaidia ni namna gani wanaweza kuacha legacy. In...
  7. Nahitaji laptop sharti iwe kwenye hali nzuri

    Naomba kuuliza mwenye laptop anauza. RAM iwe kuanzia 3GB na kuendelea. Hard disc kuanzia 200 na kuendelea. Ikae na charge kuanzia masaa mawili na kuendelea. Bei isizidi laki tatu Kama unayo comments chini nikufate au njoo pm. NB: Nipo Dodoma
  8. Ni pikipiki gani nzuri kwa bodaboda?

    Habari zenu wakuu, Naomba kujua pikipiki nzuri kwa ajili ya boda boda nahitaji kununua pikipiki used nijaribu biashara ya bodaboda
  9. Mazao jamii ya maharage ni fursa nzuri ya biashara

    Mazao jamii ya maharage ni maharage, kunde, choroko, mbaazi, njugumawe nk. Kutokana na idadi ya wasio kula nyama duniani kuongezeka soko la mazao haya limeongezeka sana. Mazao haya hutumiwa na watu wa dini na race zote. Licha ya mabara mengi kuwa watumiaji wazuri wa mazao haya, Afrika ya...
  10. M

    Biashara United FC 'Akhsanteni' kwa kufanya 'Biashara' nzuri sana na Yanga Hersi GSM FC

    Nipo katika Mpira wa 'Bongo' na bahati nzuri hata Michezo yote ya 'Kimjini Mjini' naijua na hata Kushiriki nimeshiriki pia hivyo nasubiri leo Biashara United FC afungwe Magoli 4 au 7 aliyofanya 'Biashara' ili nije 'nifunguke' kila Kitu hapa. Na mtaniambia kwanini Viongozi wa Biashara United FC...
  11. Nina milioni 25, naweza kuwekeza kwenye nini ili nipate pesa nzuri kwa muda mfupi?

    Nina milioni 25, naweza wekeza kwenye nini ili nipate pesa nzuri kwa muda mfupi? Wadau mawazo yenu Tafadhali. Mchango wa mdau Pia soma: Biashara gani zinazoingiza mamilioni kwa muda mfupi?
  12. F

    INAUZWA Wanaouguza wazee na vijana, ninauza wheelchair nzuri za mtumba kwa bei nafuu

    Habari wadau.. Nauza wheel chair za mtumba.. nzuri kabisa zipo mbili.. Yenye draft draft bei yake ni Tsh. 200,000. na nyingine nyeusi bei yake ni Tsh 150,000. Namba ya simu ni 0692 275 229
  13. J

    Makamba: Kurekebisha alichofanya Hayati Magufuli sio usaliti. Dalili nilizoanza kuziona si nzuri

    Mbunge wa Bumbuli, January Makamba amesema kifo cha Magufuli kimeleta kipindi cha mpito chenye wasiwasi ila Rais Samia Suluhu ameanza vizuri kuendeleza yale aliyoacha Rais na kufanya marekebisho na mashahihisho pale panapostahili Makamba ameongea kauli za kutiliana shaka, utengano, kuhukumiana...
  14. Konde (Harmonize) acha kutumia "sembe" inakuharibia career yako ya muziki

    Kwa mapenzi mema namshauri Konde boy aache kutumia poda, ajifunze kwa kaka zake waliopotea kwa kuendekeza poda. Management yake msimuogope boss wenu msaidieni kabla gari haijawaka, ikiwaka hakuna sober house itayomsaidia. Haya mengine mengi mnayoyasikia ni matokeo ya stress na kuchanganywa na...
  15. Mwenye kujua browser nzuri yenye kudownload kama torch (altenative ya torch browser)

    Waungwana naombeni msaada tutani. Nilikuwa natumia Torch broswer kushusha nyimbo na movies, sasa naona kwenye local internet yangu imepigwa burn. Naombeni mwenye kujua altenative ya hii kitu tafadhari. Nashukuru kwa msaada. Annny
  16. C

    Kufuatia nguvu inayotumika kuua sifa nzuri za Magufuli, tutgemee nini Watanzania?

    Ninapata wasiwasi mkubwa sana kuelewa agenda iliyochini ya carpet kutokana na nguvu kubwa ya ghafla inayotumika kuua sifa za magufuli. Kuwa brainswash Watanzania ili waone Magufuli was wrong and really a bad person, kunalenga kuwafanya waamini kinyume cha mema ya magufli. Magufli amefanya...
  17. M

    INAUZWA Nauza Bajaji ipo kwenye hali nzuri kabisa kwa Tsh 2,200,000 tu

    Habari za leo wakuu, Nauza
  18. House4Rent Nyumba Nzuri ya Ghorofa Inakodishwa Bahari Zoo Tegeta

    In Vyumba sita vya kulala Vyumba vitatu ni self contained vikiwemo Master na Chumba special cha wageni Ukumbi/sebule (Living room) Jiko Ukumbi wa kulia (Dining room) Store Sehemu Ya kuogea (Jumla) Choo (Jumla) Ukubwa. Uwanja mkubwa karibu heka 1 wenye miti ya kuvuli. Kwa habari Zaidi kuhusu Kodi...
  19. Biashara nzuri Dodoma

    Habari Great thinkers Nina idea ya kufungua duka la vifaa vya umeme (wiring, bulbs etc) Naomba kujua gharama za kuanzisha duka Dodoma mjini, changamoto zake Au kama kuna fursa nyingine nzuri tujuzane. Asanteni
  20. Dua: Mungu ifanye siku yangu ya leo iwe ya nzuri na furaha

    Ewe Mungu uliye Mkuu, Mungu wa mbingu na ardhi ifanye siku yangu ya leo iwe siku ya furaha, Mungu uliye mwingi wa rehema tunayekuabudu rehema zisizo na kifani na zisizo Kwisha.....Nineemeshe na kunibariki. Amin
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…