nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hotuba yako imejitoshela ila naomba nikosoe maeneo mawili Kwa kesho nzuri ya Tanzania

    Naomba kukupongeza Kwa hotuba nzuri inayoeleza kinaga ubaga umefanini na unategemea kufanya Nini huku ukiweka wazi vyanzo vyote vya fedha Kwa Kila mradi, nimependa umekuwa wazi kuonyesha namna tunavyohitaji mahusiano yakimataita kujenga uchumi Pamoja na hotuba nzuri nimejisikia vibaya kusikia...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa wale wasiojua umuhimu wa Katiba nzuri

    Bado nashikilia nadharia kuwa ni bora zaidi, hasa kwa nchi isiyo na uwezo mkubwa, kuvifanyia marekebisho vipee vibovu vya Katika (Constitutional ammendment) badala ya kuandika upya Katiba nzima. Nilitoa sababu tano za na hoja za kupendelea zaidi (Constitutional Ammendment). Leo nataka tu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania USHAURI-MABARA NZURI YA KUPIMA AFYA

    Wadau naomba ushauri maabara bora ya kupima afya maeneo ya Bunju, Tegeta na hata Mbezi Beach. Iwe maabara tu sio hospital. Ahsante
  4. JamiiForums Tanzania Music Production Thread: Karibuni tubadilishane mawazo kuhusu, mixing trips and tricks na plugins zenye sounds nzuri.

    Habari wanajukwaa, kwa wale wapenzi wa music production tupeane mawazo mapya kwenye utengenezaji muziki, kuanzia utengenezaji wa melodies, drumkits na sounds nzuri zaidi. Vilevile sound engineers kama wapo wanakaribishwa. Sina uhakika kama thread ya aina hii imeshatengenezwa, lakini itasaidia...
  5. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop aina mbalimbali zinauzwa

    HP MIN LAPTOP 300,000/= TU INa RAM 2 GB HDD 160 SCREEN SIZE 10.1 Refuerbished Ina Kaa na charge Masaa 10 Call Me 0716889489
  6. JamiiForums Tanzania Party animals: Jiji lipi lina night life amazing na usalama kwenye nchi zinazotuzunguka

    Nchi zinazotuzunguka - Kenya, Uganda, Rwanda, Congo, Zambia, Malawi, Mozambique. Wengine tukisafiri nje basi nightlife huwa inapewa uzito sana. Tukifika kwenye miji ya watu huwa tunapenda kufanya upopo. Unatoka club A unaingia club B, Totoz kama zote zinamulika. Ukija kucheki muda unakuta...
  7. JamiiForums Tanzania Njia nzuri ya ku move on baada ya kuachana na umpendaye

    Wakuu habarini za wakati na poleni kwa majukumu ya kila siku, Iko hivi suala la break ups, usaliti na maumivu ya kimapenzi limekua suala linalosumbua takriban watu wengi sana katika mahusiano now days. Watu ku move on toka kwenye mahusiano yanayotatiza pia limekua kipengele kigumu sana kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Je, ni rangi gani nzuri ya kupaka kati ya hizi?

    Wadau kwemaa! Tukiwa tunaelekea kufunga mwaka naomba kuuliza je NI rangi gani nzuri ambayo haipauki unapo paka ktk kuta za nyumba yako Coral Plastcon Billion Binafsi hi billion sioni Kama no nzuri milipakaa ktk Fisher body aiseee hata miezi Saba haina Lin ishaanza kubabuka. Wadau naomba...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Tanzania maambukizi yafikia watu 47 toka 14 kwa siku

    WAZIRI DK DOROTHY GWAJIMA AZINDUA MPANGO WA JAMII HARAKISHI NA SHIRIKISHI WA CHANJO YA COVID -19 AWAMU YA PILI === Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amezindua Kampeni Harakishi na Shirikishi kwa Jamii awamu ya pili na kusema, changamoto za...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Samsung Galaxy S22 Ultra inasemekana kuja kua na picha nzuri kuliko S21 Ultra

    GsmArena wamasema wamepata taarifa kwamba kampuni ya Samsung inayotarajiwa kuachia simu yake ya mwaka ama Flagship Phone ya S22 Ultra ambayo inatarajiwa kua na picha kali zaidi kuliko S21 Ultra ya mwaka huu. Binafsi nasubiri S22 Ultra ikiwa kweli ina picha kali nafanya trade off faster na hii...
  11. JamiiForums Tanzania Sehemu gani nzuri ya starehe Mwanza?

    Nimefika Mwanza jioni hii nikitokea Arusha. Kwa wale wenyeji wa hili jiji la miamba ni sehemu gani nzuri naweza kwenda kupata moja moto moja baridi na totozi nzuri za kutosha?
  12. JamiiForums Tanzania Kampuni gani nzuri ya tiles kati ya hizi?

    1. Goodone 2. Goodwill 3. Twyfod
  13. JamiiForums Tanzania Brand gani nzuri ya vyoo?

    Wadau wenye experience ya brand nzuri ya vyoo, masinki ya jikoni na chooni please naomba msaada kunijuza. Hata Kama unafahamu maduka yanayo uza vifaa ivyo vyenye ubora.
  14. JamiiForums Tanzania Wanachadema Katiba Mpya sio kigezo cha kufanya mkubalike kwa wananchi. Sera na itikadi nzuri ndio mtaji wa kisiasa

    Hata kama taifa letu lipate katiba mpya, lakini kama chama cha siasa kinakuwa na sera na itikadi mbaya hakuna mwananchi atakiunga mkono. Nashangaa sana wanaCHADEMA kushupaza shingo wakidhania kuwa tukipata katiba mpya basi wataungwa mkono na wananchi. Wanadhania katiba mpya ndio tikti ya...
  15. JamiiForums Tanzania Waache watoto wako katika hali nzuri (kifedha) kuliko kuwaacha katika ufukara

    Watoto wana haki ya kulishwa, kuvikwa, na kulindwa hadi wafikie utu uzima. Ni lazima watoto wawe na heshima, ili kufurahia upendo na shauku kutoka kwa wazazi wao. Watoto wana haki ya kutendewa kwa usawa, dhidi ya ndugu zao katika masuala ya zawadi za kifedha. Imam Ahmad bin Hanbal alisema...
  16. JamiiForums Tanzania Hongereni JWTZ na Watanzania kwa kuwa na 'Ndege Vita' nzuri zilizokuwa 'zinazurula' tu Anga la Tanzania leo Mchana

    Ni 'Ndege Vita' nzuri sana tena za Kisasa kabisa Rangi ya Udongo ambazo zitasaidia mno Tanzania kuwa juu Kiuchumi, Maji kutopungua Mto Ruvu na hata Umeme kutokatika hovyo Tanzania. Pia ni 'Ndege Vita' nzuri mno ambazo nina uhakika nchi kama Kenya, Uganda, Rwanda, Zambia, Malawi na Msumbiji...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna mji wenye usafiri mzuri wa daladala na elimu nzuri kuliko Mbeya?

    Hakika sijaona mji wenye system nzuri ya daladala kama Mbeya. Stendi kubwa zipo tatu kuna ya mjini ambayo ni stendi kuu ya zamani na ni kubwa kiasi kwajili ya mabasi ya mikoani na daladala, kuna stendi kabwe hii ni kwajili ya daladala na bajaji na pia utaikuta stendi kuu ya nane nane...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso fanya maamuzi haya ili ubaki kwa kumbukumbu nzuri

    Pamoja na baadhi ya Watanzania kuona kuna madudu yanafanyika pmus kuwanyonya kutokana na baadhi ya viongozi kuingia kwenye siasa kwa mgongo wa wazee wao, bado mnaweza kuwaachia watanzania legacy ya kuwakumbuka hata msipokuwepo. MAJI; Nchi yetu imekuwa na janga la uhaba wa maji kwa miongo kadhaa...
  19. JamiiForums Tanzania Lodge / Hotel nzuri Mwanza

    Wadau wa JF naomba kuhulizia Lodge / Gest house nzuri ambayo inapatikana Maeneo ya Nyegezi au karibia hayo maeneo ni ipi?? Ambayo bei zake ni nafuu Msaada tafadhali itapendeza ukinitajia jina na mawasiliano tafadhali.
  20. JamiiForums Tanzania Maafisa Uhamiaji wa kike huongoza kutoa huduma nzuri zaidi ya Wanaume kwanini?

    Maafisa Uhamiaji wakike huongoza kutoa huduma nzuri zaidi ya Wanaume kwanini. Hili nimelionana nimeshuhudia Ma ofisini, Mipakani na Airports pia nimewasikiliza wenzangu wakizungumza pia kwamba wanawake ma Afisa uhamiaji ni wakarimu sana na wanakupokea vizuri mnazungumza kama kuna kitu hakija kaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…