nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri je kwa kwa matokeo aya anaweza kusoma kozi gani nzuri

    Wadau naomba ushauri huyu mjukuu wangu he kwa matokeo aya anaweza kwenda kusoma kozi gani au chuo gani General study E History E Geography E English D Ana dv 3 ya 14
  2. JamiiForums Tanzania The Sea Beast ni animation nzuri sana. Nimependa wametumia mtoto mweusi.

    Nafikiri kati ya animations bora kutoka mwaka hii, hii namba moja. Story yake, waigiza sauti na action zote ni za kiwango cha juu. Kitendo cha kumtumia binti mweusi ni safi sana. Hizi vitu huwa zinachangia sana kujenga watoto kujithamini nk. Hii nafikiri itasumbua kwenye Oscar za 2022.
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri wa biashara: Duka la rasta, stationery na duka la dawa muhimu

    Naomba kunishauri, biashara gani kati ya hizo haina complication Nahitaji kufungua biashara, akili yangu inawaza biashara tatu lakini moja tu ndo inabidi nichague kati ya hizo.
  4. JamiiForums Tanzania Nahitaji simu nzuri upande wa camera, Processor na storage(ROM) kuanzia 64GB Ila isiyo Apple

    Jamaan wadau wa humu JF jukwaa la matangazo madogo madogo habari za muda huu Kiufupi ni kwamba nahitaji simu nzuri upande wa camera, processor na storage kuanzia 64GB na pia iwe ina betri lenye uwezo wa kukaa na chaji muda mrefu yaani haiishi chaji kwa haraka angalau kuanzia...
  5. JamiiForums Tanzania Kazi nzuri sana mkuu wa wilaya ya Temeke

    Nimeona uchapakazi wako japo unaonekana una uchovu fulani (lakini ni wa baraka) Unapambana kweli kweli hongera sana kwa uchapa kazi. Mabilioni yamemwagwa Temeke DC wa Temeke Jokate Mwegelo akiwa na waziri Bashungwa kwenye kuchapa kazi Mabadiliko ni muhimu. Hongera sana Pascal Mayalla aone...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Ni antivirus ipi ni nzuri na inaweza kuweka ulinzi mzuri dhidi ya virus na harkers ikiwezekana?

    Sokoni kuna antivirus nyingi na kila moja inajinasibu kuwa ni nzuri. Kwa yule mwenye uzoefu na antivirus mbalimbali naomba ushauri nitumie antivirus vipi kwenye laptop yangu?
  7. JamiiForums Tanzania NECTA ACSEE RESULTS: Shule zilizoongoza kwa kila mkoa, wazazi mjue shule nzuri sasa

    NECTA ACSEE RESULTS: SHULE ZILIZOONGOZA KWA KILA MKOA 1.MWANZA- SUMVE SECONDARY SCHOOL 2.TABORA-TABORA BOYS 3.SIMIYU-MKULA SECONDARY 4.KILIMANJARO-USANGI DAY 5.Morogoro-MZUMBE SECONDARY 6.KAGERA- KEMEBOS 7.ARUSHA -KISIMIRI 8.Manyara-Dareda secondary 9.Tanga-mkindi secondary...
  8. JamiiForums Tanzania Nasikia kwenye kupambana na foleni Round about ni nzuri kuliko mataa ya barabarani ni kweli?

    Nimesikia ikisemwa kuwa round about ni nzuri kupambana na foleni sababu magari yanakuwa kwenye mwendo muda wote. wataalamu, Hili lina ukweli wowote?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Maombi ya ushauri wa kufanya field ipi ni nzuri?

    Wakubwa m ni mwanafunzi wa chuo mwaka kwanza.NAWAOMBENI mnishauri nipigi field kipi ambacho kinasoko la ajira au naweza jiajiri binafsi 1. Software developer 2. Database administator 3.Network engineering 4.security analyst 5. Programing Yeyote yule anaweza nisaidia ushauri
  10. M

    JamiiForums Tanzania Maombi ya ushauri field ipi ni nzuri?

    Wakubwa m ni mwanafunzi wa chuo mwaka kwanza.NAWAOMBENI mnishauri nipigi field kipi ambacho kinasoko la ajira au naweza jiajiri binafsi 1. Software developer 2. Database administator 3.Network engineering 4.security analyst 5. Programing Yeyote yule anaweza nisaidia ushauri
  11. JamiiForums Tanzania Hongereni sana Kitengo cha CMI JWTZ na wale TISS mliokuwa 'penetrated' JWTZ kwa Kazi nzuri ya CDF mpya Jenerali Mkunda

    Kitengo alichotoka akiwa Meja Jenerali halina ubishi kuwa anafaa na anastahili kuwa Mkuu mpya wa Majeshi nchini Tanzania. Na hata Kimuonekano tu anaonekana ni Mtu wa Kazi Kweli na nasikia ( naendelea Kuthibitisha bado ) kuwa anatoka katika Kikosi Maalum 'Wazee wa Sanga Sanga ' hali iliyonifanya...
  12. JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza nguo aina ya tshirts bell, truck suit nzuri sana. Karibu dukani

    Kwa mahitaji ya tshirt kali na Truck suits za kijanja. Karibu sana kwenye duka letu linalopatikana MTAA WA CONGO NA MARUNG’OMBE. Kwa bei nafuu kabisa. Tshirts 16,000/- Trucksuits 28,000/- Pensi 18,000/- Pia tunauza kwa bei ya JUMLA. Wasiiana nasi whatsapp au piga simu 0719 100 591. Asante kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza Quality SIMU kwa bei nzuri

    Tuanze na IPHONE 7 32 GB USED BEI : SOLD SOLD LOCATION : DAR ES SALAAM CONTACT : 0764081567 - Call and Whatsapp
  14. B

    JamiiForums Tanzania Battery ipi ni nzuri kwa N60 ya IST

    Wadau napenda kujua battery nzuri ya gari. Nilinunua TOP POWER hata miezi 7 haijafika inazingua mara asbh igome kuwasha gari. Msaada kwenye tuta
  15. JamiiForums Tanzania Napenda kujua app ipi nzuri ya kudowload video hatamkama mtandao uko weak!

    Waungwana hebu mnijuze app ya kudowload video youtube kwenye pc hatakama mtandao uliosetiwa hauna nguvu....
  16. JamiiForums Tanzania Ni Taarifa gani nzuri au kitu kizuri ulishawahi kuipata/kupata ukamshukuru Mungu/Mwenyezi Mungu?

    Hello wakuu, Habari ya weekend, hivi ni taarifa gani nzuri ulishawahi kupata ukaishia kumshukuru Muumba, Mimi nakumbuka kwenye matokeo ya std 7 st Kayumba, nilichaguliwa kidato cha kwanza kwenda boarding school, na mtaani kwetu ilikua ukifaulia mbali kidogo au boarding unaonekana noma,sasa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Pump Attendants wana nafasi nzuri ya kuwaelimisha madereva

    Naenda moja kwa moja kwenye mada. Jana nimepita kujaza mafuta kwenye kituo kimoja sitakitaja nimefurahishwa sana na uelewa aliokuwa nao pump attendant aliyekuwa ananihudumia, ni hivi nilipofika pale nimesimamisha gari akaniamrisha nizime gari nikazima lakini nikasema ngoja nimhoji ni kwanini...
  18. JamiiForums Tanzania Hakuna watu wenye roho nzuri kama walevi

    Wakuu kwanza mimi siyo mlevi, Ila Hakuna watu wenye ubinadamu kama walevi. Anzia wachungaji, maaskof mpaka polisi. Ukipata shida fulani watafute kwanza walevi. Walevi wa pombe, bangi n.k Hawa watu wakisaidia wanasaidia kweli kweli bila kinyongo. Hongereni sana walevi.
  19. JamiiForums Tanzania Bajeti ya 10M nitapata Premio au Runx nzuri?

    Habari ndugu zangu! Kijana wenu ninahitaji gari kwa kumvua mtu. Je kwa budget tajwa hapo juu ya 10M ninaweza kupata toyota Premio iliyo kwenye condition nzuri au Runx? Mwenye uzoefu msaada wa mawazo tafadhali.
  20. JamiiForums Tanzania Shule nzuri ya serikali mixture

    Habarini....nilikua naomba kuulizia shule nzuri ya serikali ambayo ni mixture a level PCB combination.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…