nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta ramani nzuri ya kizungu

    Wakuu wapi nitapata ramani ya nyumba za kizungu. Nataka kujenga nyumba very simple lakini unique yenye muonekano wa kizungu. Kama una picha yoyote nisaidie au kama kuna sehemu naweza kuziona nisaidie nikazione either website au page ya insta
  2. JamiiForums Tanzania Nataka kuandika kitabu nikipeleke kampuni ipi nzuri kwajili ya uchapishaji na usambazaji? Malipo yapo vipi? Kuna uaminifu katika kunipa mgao wangu?

    Habari zenu wana Jamii forums. Jumapili hii tulivu ya leo nimechekecha kichwa kidogo nimepata wazo la kuandika kitabu kisha nikipeleke kampuni ya ucapishaji na usambazaji kiwe kinnapatikana kwenye stationary na naduka ya vitabu. Kabla sijaanza kukiandika nimeona ni vema niyajue kwanza...
  3. JamiiForums Tanzania Nataka kuandika kitabu, nikipeleke kwenye kampuni ipi nzuri kwajili ya uchapishaji na usambazaji ? malipo yapo vp ? kuna janja janja zipi za kukwepa ?

    moved
  4. D

    JamiiForums Tanzania Bus gan nzuri la kutoka iringa kwenda mwanza.

    Wakuu nauliza bus gan Zur linalotoka iringa asubuh kuelekea mwanza.nataka linaloanzia iringa mjini.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ardhi nzuri yenye rutuba kwa ajili ya kilimo

    Habari zenu mabibi na mabwana. Kama kichwa cha uzi huu kinavyojieleza, Nahitaji ardhi yenye rutuba hata kama ina mapori. Ikiwa na channel ya umwagiliaji au kua karibu na mto ntashukuru zaidi. Napendelea maeneo ya bushi kidogo kwani sina ela ya kupgana vikumbo na matari mijini. Nahitaji kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Nini kitaleta bahati nzuri au jinsi ya kujua nambari yako ya bahati?

    Tangu nyakati za zamani, watu wametumia uchawi wa nambari. Wanasaikolojia wanasema kwamba kwa kila mtu Duniani kuna ishara ya kichawi ya nambari. Nambari zitakusaidia kupata utajiri, kuwa na mafanikio zaidi na kuvutia. Kwa tarehe ya kuzaliwa Tatu - furaha kwa mtu aliyezaliwa siku hii. 1 -...
  7. JamiiForums Tanzania Internet za post paid ni bei chee lakini hakikisha ukiacha kuitumia unatuma barua ya kusitisha lasivyo utadaiwa pesa kwa miezi ambayo hukulipia

    Prepaid ni hizi huduma zilizozoeleka kama vifurushi hivi tulivyozoea kuvinunua unanunua kwanza ndio unalipia Post paid unatumia ndio unalipia mnaingia mkataba kabisa. Mfano Tigo wana post paid yao unapewa GB 100 kwa elf 75, Vodacom nao wana huduma yao wanakufungia antenna unalipia speed na sio...
  8. JamiiForums Tanzania Nyimbo gani ya kitambo inakubamba sana ukisikia?

    Niaje wana hivi ni nyimbo gani nzuri ya zamani kuanzia miaka ya 2000hadi 2009. Ambayo ukiisikiliza unaona utofauti mkubwa ukilinganisha nailivyo sasa. Mi naanza na hizi: TID -zeze Profesa Jay ft Lady Jaydee - Hivi Kwanini Sugu ft Stara Thomas - Kiburi Nipe zako
  9. JamiiForums Tanzania Wahudumu wa Baa wanahitajika Moshi

    Wahudum wa bar wanahitajika haraka umri miaka 18-30 awe na uzoefu na kazi tajwa msafi na mwenye kauli nzuri kwa wateja. Location Moshi Njia Panda. Kwa wahitaji piga 0685940663
  10. JamiiForums Tanzania Nitajieni fast charger nzuri ya kuchaji simu ijae full chini ya dakika 40

    Natumia smartphone yenye technology ya 15W fast charging, techie hii inasapoti kuchaji simu ijae ndani ya dakika 20, nafikiri inasapoti mpaka chini ya hapo. Nitajieni wadau, nimechoka kuchaji simu masaa mawili mazima.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Shughuli yote nzuri ya kilele Cha Simba day imetiwa dosari na uletaji wa jeneza uwanjani

    Wasaniii walioingia uwanjani wangeweza kufikisha ujumbe vizuri na kuleta shangwe hata bila kubeba jeneza, vitendo hivi kwa Karne hii hatupaswi kuvichekea tu maana vinatupa aibu site Tena kufanywa na klabu kubwa hapa Afrika Kama Simba, ambayo unafuatilia na wapenzi wa kandanda kila pembe ya...
  12. JamiiForums Tanzania Timu ipi ina Jersey nzuri msimu huu 2022/2023?

    Kati ya Simba, Yanga na Azam
  13. JamiiForums Tanzania Usifunge biashara, ukiona hali sio nzuri tuwasiliane kwanza

    Naendelea kuwakumbusha wapambanaji kwenye uwanja wa biashara. Usifunge biashara. Ukiona hali ni tete tuwasiliane kwanza kwenye email: dodomadaressalaam@gmail.com Pia, wale wenye ujuzi uliotukuka kuhusu masuala ya biashara bado tunaendelea kujenga Team zetu ili tuendelee kucheza kwa ufanisi...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Madereva na Makondakta wawe na kauli nzuri kwa abiria wao

    Nalia na madereva pamoja na makondakta wao kwa kauli zao zinazokera wanazozitumia kwa abiria wao. Imekuwa ni changamoto kubwa hususani kwa makondakta wa daladala zinazoelekea maeneo yenye watu wengi maarufu kama ''Uswahilini'' kama vile Manzese, Mbagala, na sehemu nyingine. ''Ungekuwa na haraka...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ofisi gani nzuri lakini ina vyoo vibovu?

    Poleni na Tozo mbali mbali ma bibi na mabwana. Katika harakati za kila siku, unaweza jikuta upo katika ofisi, Eneo la Kazi ,au Eneo la biashara fulani. Basi ukajikuta umebanwa na haja either ndogo au kubwa na ukaomba uende maliwatoni. Ghafla baada ya kufika OFISI KUU hio ukakuta hadhi ya jina...
  16. JamiiForums Tanzania INAUZWA Meza nzuri ya kusomea inauzwa

    Nauza meza ya kusomea/kuandikia bei chee - Temeke, Dar es salaam. Bei: 60,000/-
  17. R

    JamiiForums Tanzania Tuition centre ipi hapa Dar es Salaam ni nzuri kwa Masomo ya science O level?

    Wakuu naomba msaada wenu. Nataka niwapeleke watoto wangu wawili kwenye tuition centre nzuri hapa Dar wakati wa likizo hii ya summer, kwa Masomo ya science: physics. Chemistry, maths na biology. O level form 3 Naomba ni fahamu bei yake ya kila somo pia. Natanguliza shukran
  18. JamiiForums Tanzania Template nzuri ya CV

    Hi guys, naomba mwenye sample ya CV nzuri anisaidie. Nachohitaji ni ile format/template nzuri nimejaribu kugoogle ila sipati kile kitu nahitaji. Unaweza nitumia kwa email stevhinoz@gmail.com
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nitapata Wapi Riwaya Nzuri za Zamani

    Naweza nikapata wapi riwaya ya "Mambo ya ajabu yaliyompata Allan Quatermain na wenzake?" Riwaya zingine nzuri ni kama gani? Kufahamu vitabu vingi vilivyoandikwa na waandishi wa kitanzania angalia uzi huu Vitabu vilivyoandikwa na Waandishi wa Tanzania
  20. JamiiForums Tanzania Ni namna gani nzuri ya kutumia laptop kitandani na kuzuia isichemke sana?

    Binafsi mara kwa mara huwa napenda kutumia laprop kitandani, sasa unakuta latptop inakuwa yamoto si mchezo kwenye upande wa feni na hii huwa naona kabisa ni tatizo kwa laptop. Tunawezaje kutatua hili tatizo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…