nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Anayejua base speaker nzuri asisaidie

    Habar za humu watu wa Mungu. Aulizae hapotei! Nahitaji taarifa za kiteknolojia kuhusu speaker kubwa ya bass kuunga nguvu na vifaa vingine nikivyonavyo kwa mziki wa ukumbi. Mziki mkubwa. Nimeshauriwa fed ex bila maelezo ya kiulinganifu. Nitashukuru kwa wataalam na wajuvi wa hili kama ambavyo...
  2. Shikamoo Harmonize, (Konde boy) kwa show yako nzuri

    Nakupongeza kijana mwenzangu kwa kutupa burudani ya hadhi ya juu usiku wa kuamkia leo, kiukweli mashabiki wako hatukudai kitu kwa mwaka huu Mungu akulinde umalize mwaka salama na uendelee kutupa nyimba zingine nzuri hapo mwakani, Khoho khoho khoho khoho
  3. B

    Course ya Sheria ni nzuri kwa aliyepata div 1 point 6 HKL?

    Na ndugu yangu kapata 1 .6, amesoma taasusi ya HKL, ana mpango wa kusoma UDS sheria. Naomba ushauri wakuu, halafu ukicheki ana aibu sana.
  4. Sehemu gani kwa DSM wanauza kitimoto rosti nzuri bila kuiba? Nataka niende na shemeji yenu

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi Don Pdidy kwa heshima na t aadhima nilipenda kutoka na shemeji yenu siku ya christmass. Kwa bahati nzuri hana ghara ma shuhuli iko kwenye ngrooongroo anapenda iliostaraabika (haiibiwi). Na iliorostiwa standard. Tafadhali kwa maeneo ya dar aaepajua...
  5. Tunataka kuishitaki wizara ya afya, nisaidieni kujua kampuni nzuri ya mawakili

    Ni watanzania takribani 100 tumejichanga kutafuta haki yetu ambayo wizara afya imetunyima kwanjia ya mazungumzo. Tunatafuta kampuni nzuri ya uwakili ambayo inaweza kutusaidia swala letu kupata haki. Fedha ya consultation na kuendesha kesi tayari tunayo . Tunaomba kusadiwa wawasiliano ya...
  6. Nauza nyanya nzuri na tamu

    Karibuni nyanya, fresh from shamba Crate 45,000/- Ndoo ndogo 10,000/- Ndoo kubwa 17,000/- Tupo Dsm, Mbezi ya kimara Karibuni saaana. Msimu huu wa sikukuu. Kwa bei Che. 0752850081 0783985530 0719100591
  7. Msaada wa lodge nzuri hapa Kongwa

    Habari zenu wakuu, naombeni kwa wakazi na waliowahi kifika kongwa mnisaidie lodge nzuri. Budget yangu ni elf 20, ikizidi sana 25
  8. Waziri Mkuu Majaliwa anafanya kazi nzuri sana. Sasa Wakuu wa Mikoa na Wilaya wanafanyaga kazi gani?

    Hii kazi anafanya Waziri Mkuu Majaliwa ya kudeal na wabadhirifu ni nzuri sana. Ingefanywa kwa ukubwa zaidi na ingekuwa endelevu ingetufaa sana. Ila najiuliza, madudu yote hayo wakuu wa mikoa huwa wanakuwa wapi? Na wenyewe wanahusika na huo ubadhirifu au ni mamna gani? Wanafaida gani kama kuna...
  9. D

    Computer4Sale Laptop nzuri yenye uwezo, inauzwa

    IMEUZWA
  10. Mwigulu Nchemba: Kuwa na uwezo wa Kukopesheka ni sifa nzuri kwa Taifa

    Waziri wa Fedha na mipango Dr. Mwigulu Nchemba akizungumza na Clouds 360 asubuhi hii kuhusu Deni la Taifa amesema Tanzania ni nchi iliyo na sifa nzuri kimataifa, ikiwemo kuwa na uwezo wa kukopesheka pasipo vikwazo. Akijibu swali la Mwandishi wa habari aliyetaka kujua kwanini anajisifu kuwa na...
  11. Toyota Rav 4 Miss TZ moja ya Karata nzuri walizocheza Toyota

    . Rav 4 hii ni generation ya 3 kwa Rav 4 ambayo ina generation 5, Rav 4 Miss Tz Coded XA Imeanza 2005-2012. Na naweza sema ni moya ya gari ambayo imefanikiwa kuwapa watu feeling kama wanaendesha big SUV.. . Kama ile old gari ni ngumu na himilivu aisee ndo maana wakaiita Land Cruiser mtoto na...
  12. Naomba kujuzwa mahali pazuri pa kufikia Zanzibar

    Wakuu nimepata ka-trip kuelekea Zanzibar, katika kutembea kwang kote, sijawahi fika Zanzibar, hii ni mara ya kwanza, sasa naomba kujuzwa mahali pazuri pa kufikia (pasiwe gharama sana) sehemu za kwenda kupata kilaji na ku enjoy na totoz, kwa anayefahamu please ningeomba ange-share hapa nipate...
  13. K

    Je, Rais Samia atakumbukwa maisha kwa ushindi wa 55% au atasahaulika kwa ushindi wa 80% mwaka 2025?

    Hilo ndilo swali la msingi 1. Je Raisi anataka kukumbukwa maisha kwa kujenga mifumo na kutupa katiba bora Tanzania 2. Atasahaulika kwa kuiba kura na kugushi uchaguzi na kujipa 80% ya ushindi ambayo ni fake? Haya ni maamuzi yake. Mafisadi wote wanataka achague namba 2 kwani wanajali matumbo tu...
  14. A

    Ipi ni biashara nzuri?

    Naomba ushauri kutoka kwenu, jambo lipi linalipa kwa haraka na kwa mtaji mdogo nijenge vyumba vinne vya kulala kisha nipangishe au nijenge fremu nne kisha nipangishe kwa ajili ya biashara .Naomba ushauri wenu
  15. Car4Sale Gari zuri Toyota Crown namba D inauzwa

    Gari nzuri ipo mwanza mjini ni Toyota crown namba D..rangi ya silver ipo katika hali nzuri bei ni millioni 10 japo maongezi yapo..0769344686 nipigie tuzungumze.
  16. House4Sale Nyumba nzuri zinauzwa maeneo mbalimbali jijini Mwanza

    Ni nyumba nzuri kwa ajili ya matumizi ya familia ipo jijini Mwanza, bei yake ni shilingi milioni 37 japo maongezi yapo. Wewe njoo na pesa yako tuongee, hiyo bei wala isikutishe, miliki na wewe nyumba yako jijini Mwanza. Kwani wao waweze wana nini na wewe ushinde una nini? 0769344686
  17. Sidhani kama Kuna Mtanzania aliezidiwa na Maisha Rais wetu anafanya kazi nzuri

    Humlipii mtoto ada, kuanzia darasa la kwanza hadi kidato Cha sita hizo hela ulizotakiwa kulipa ada unazifanyia nini? Rais amedhibiti kwa kiasi kikubwa Mfumuko wa bei za bidhaa, tunaona kushuka Kwa bei za Mafuta, pembejeo za kilimo n.k. Hizo hela zinazobaki baada ya punguzo mnazifanyia nini...
  18. Hotel nzuri Ruaha National Park ni ipi?

    Wakuu, Msaada wenu naomba kujua hotel nzuri yenye view Kali, yenye kila kitu naweza nipate namba za Simu jina na maelezo ya ziada nahitaji kwenda kuanzia Dec 15 mpk 20 kabla ya kwenda kuhesabiwa Asante.
  19. N

    Je, Rais Samia ana sifa nzuri au mbaya katika uongozi wake?

    Moja ya sifa za Rais Samia Suluhu Hassan ni muumini mzuri wa mageuzi yenye lengo la kubadili fikra, dhana na mitizamo ambayo imekuwa kikwazo kwa jitihada za vijana katika kufikia mafanikio katika nyanja za biashara na uchumi. Sifa nyingine ya Mama ni usikivu, mrahisi kufikika, mfariji na...
  20. Formula gani nzuri kwa ajili ya kuku wa nyama?

    Wakuu naombeni muongozo katika hili, nahitaji kujua jinsi ya kutengeneza chakula cha kuku wa nyama (broiler). Vyakula vya kuku wa nyama Vimepanda maradufu halafu soko la Kuku hilo pia linasumbua. Tafadhali mwenye kujua formula ya utengenezaji wa chakula hicho na kuku akakua vizuri. Na kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…