nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Jana nilikuwa maeneo ya Black and White pale Moro Town. Kuna hii bar ina nyama choma nzuri sana

    Jana nilikuwa maeneo fulani pale black and white (Moro Town) hii bar ina nyama choma nzuri sana. Napenda kukaa konani sana Mara pah wakaja wadada wawili wakaka pale mezani, simu yangu ikaita kuna mtu alinipigia simu alikuwa na changamoto yake ila huwa sipendi kuongea na mtu mazingira yasiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Nauza Magauni ya mtumba, jumla 2500 hadi 3000. Unapata gauni kali

    Hellow wapendwa nauza nguo za mtumba kali Magauni na tops kali pia. -Magauni jumla utapata kuanzia sh 2000, 2500 tu hadi 3000 guys vigauni vizuri mnoo ambayo ukienda kuuza unapata faida kama unataka kuanza biashara karibu Nauza magauni kwa reja reja pia kuanzia sh elfu 7000 hadi 15000...
  3. JamiiForums Tanzania Vipi kuhusu ufanisi na uimara wa Nissan X-trail (Hybrid)

    Wataalamu, Kuna hizi gari NISSAN XTRAIL-HYBRID zimeongezeka sana hapa mjini. ni gari SUV nzuri sana kwa kuzitazama lakini vipi kuhusu ufanisi na uimara wake ukilinganisha na SUV zingine?
  4. JamiiForums Tanzania Nyumba nzuri sana, ambazo ujenzi wake hutumia kontena

    Ni nyumba nzuri zinazoweza kujengwa popote pale, lakini zinapendeza zaidi zikijengwa katika mazingira pembeni mwa Miji bushes.
  5. JamiiForums Tanzania Mzazi mwenzangu hataki mtoto apate Elimu nzuri, nadhani hajui elimu ni kwa faida ya mtoto sio mimi wala yeye

    Habarini ndugu Mimi na mzazi mwenzangu bado hatuna ndoa, ila tumebahatika kupata mtoto mmoja, kwa sasa wamerudi mkoani baada ya kuja na kukaa nyumbani kwetu kwa lengo la kumleta mtoto familia yangu imtambue. Baada ya mtoto kufikisha miaka mitatu na nusu, nikamwambia mama yake itabidi mtoto...
  6. W

    JamiiForums Tanzania TUNUNUA MATAIRI MABOVU YA MABASI NA SCANIA KWA BEI NZURI!

    Tunatafuta matairi yaliyotumika ya mabasi makubwa na Scania. 💸 Tunatoa TZS 3,000 kwa kila tairi moja! ✅ Kiasi kinachohitajika: Tunapokea matairi kuanzia 50 au zaidi. 📍 Eneo: Upo Dar es Salaam? Tutakuja moja kwa moja hadi eneo lako!
  7. O

    JamiiForums Tanzania Tujuzane printer nzuri kwa ajili ya kazi tofauti tofauti

    Katika Uzi huu tujadili printer nzuri za kuprint kwa level za stationery mpaka viwanda vidogo Vidogo au kampuni za kufanya printing. Tujadili na kuuliza maswali kuhusu aina ya printer, ubora , changamoto na bei zake kulingana kazi atakayotaja mtu yoyote, tunaweza kuanzia printer ndogo kabisa...
  8. JamiiForums Tanzania Wakuu natafuta mbegu ya nguruwe nzuri (durec)

    Kama kichwa kinavojidadavua hapo juu, mimi ni kijana wa makamo naishi Dare es Salaam, Nafanya kazi kwenye government company hapahapa mjini kwa muda kidogo najihusisha na kilimo cha bustani (hortculture) Kijiji kimoja huko Kilosa Morogoro. Sasa kutokana na kazi za watu ,Imekua ngumu sana...
  9. JamiiForums Tanzania Sehemu Nzuri Kando ya Ziwa Victoria

    Wakuu Habari, Nahitaji Sehemu Nzuri Kando ya Ziwa Victoria ambapo Nitapata Vinywaji na Chakula kwa Affordable Prices NB: Yasiwe Mahoteli Makubwa Makubwa
  10. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tafsiri yangu uchaguzi serikali za mitaa: Huo wingi wa watu wanaogombea kuwapigia kura wana CCM ni ishara nzuri kwa 2025. Mtaji huo utunzwe!

    Hii ni ishara tosha kwamba CCM ni maisha yetu, sawa na maji. Watu wako tayari kukesha, hata kuchapana makonde ili waipigie kura CCM. Nadhani makao makuu au ofisi za mikoa na wilaya, zitupie jicho la karibu chaguzi hizi ili anayeshinda au kushidwa, yeye na wafuasi wake wabaki CCM ili 2025 mtu...
  11. JamiiForums Tanzania Hotel/Lodge nzuri Bagamoyo

    Habari wakuu. Natarajia kuwa na likizo fupi ya mapumziko na nina hitaji mahali ambapo nitatulia na mama watoto wangu kwa hyo wiki moja kuanzia tarehe 22 Octoba Niko hapa kuwaomba kama kuna mdau anaweza kufahamu hotel/ Lodge nzuri ya bei za kitanzania kuanzia 50,000/= mpaka 80,000/= Nitafurahi...
  12. JamiiForums Tanzania Nauliza dawa nzuri na sahihi Kwa ajili ya kuuwa nyasi kwenye shamba lakahawa

    Salaam wanajamvi,mm nauliza dawa nzuri yakuua nyasi kwenye shamba la kahawa bila kuathiri Miche ya kahawa.naomba kwa walionauzoefu au utaalam juu ya hili suala wanisaidie.nawasilisha
  13. JamiiForums Tanzania Poda nzuri Kwa mtoto mchanga

    Masaada wakuu Mtoto n mchanga WA week 1 Na anaswet shingoni ukimpanguza Anakua kama anababuka Naomba kujua poda nzuri Kwa Mtoto Na ametokwa na vipele Ambavyo vnakaa kama uzaraha Ila ukivitumbua vitoka majimaji Na vinakauka Msaada wa dawa dafadhali
  14. JamiiForums Tanzania Kampuni ipi ya solar nzuri zaidi kwa malipo ya awamu

    Habari wakuu Nahitaji solar panel na TV yake, inayofanywa malipo kwa awamu. Nyumba ya Vyumba vitatu piga 0713 039 875
  15. JamiiForums Tanzania Cozi ngapi za tofari zinafaa kusama kabla ya rinta kwa standard nzuri ya ujenzi!

    Habari za leo wajenzi na wajuzi, ningependa kujua hili katika ujenzi ni cozi ngapi za tofari zinafaa kusimama kabla ya ya rinta je cozi 10 au 11 ipi nzuri hasa kiujenzi. Pia ni size gani ya madirisha huwa ni nzuri na inayopendeza kwenye nyumba ya kawaida tu ya kuishi!. (yaani madirisha yawe na...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Napendaa mambo ya modeling sana na natamani nifike mbali lakini bado sijapata connection nzuri ili niweze kutimiza ndoto zangu

    Hello naitwa Jenipha napenda sana mambo ya modeling lakini Bado sijapata connection au njia rasmi ya kuweza kutimiza ndoto zangu nahitaji msaada wenu. 0713776534
  17. JamiiForums Tanzania Msaada wa shule nzuri ya boarding kwa mtoto wa kike

    Habari, kama kichwa cha habari. Msaada wa shule nzuri kwa mtoto wa kike boarding O level. Nataman sana za kikatoliki kwa anaejua. Pia na connection naomba tafadhali. Asante.
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Hotel mpya na nzuri Dar es Salaam

    Naombeni kunitajia hotel nzurii na mpya za hivi karibuni hapa Dar es Salaam bei iwe affordable na sehemu iwe imetulia nawakilisha.
  19. D

    JamiiForums Tanzania Ni Vpn ipi nzuri kwa kupata free internet?

    Nilikua naomba kuuliza ni Vpn gani nzuri ambayo watu hutumia kupata free internet?
  20. JamiiForums Tanzania Hotel au Lodge nzuri Mbagala Dare es salaam

    Husika na kichwa hapo juu! Kwa wenyeji wa Mbagala Dare es salaam. Naomba msaada wa kupata huduma tajwa hapo juu ya kulala kwa gharama ya chini ya 100,000 kwa siku, isizidi 100,000/= location ilipo na mawasiliano ni muhimu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…