Habari wana jamvi poleni kwa miangaiko na kwa yanayoendelea nchini.
Bila ya kuwachosha niende moja kwa moja kwenye point.
Naombeni wadau wa taaram wa mambo ya tehama kuanzia mfumo mpaka vifaa nisaidieni ni wireless access point ipi nzuri ambayo ni kiifunga kwenye point inaweza kusukuma mawimbi...