nywele

  1. TAFITI: Wanawake weusi wana uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya matiti kutokana na kutumia madawa ya nywele

    Wanasayansi wamegundua mahusiano ya kutatanisha kati ya saratani ya matiti na madawa ya nywele na kemikali ambazo hujulikana kama relaxers. Utafiti mpya unaonesha kuwa wanawake ambao walitumia bidhaa hizi walikuwa na uwezekano wa kupata saratani ya matiti kuliko wanawake wengine ambao...
  2. M

    Utunzaji wa nywele za asili

    Kwa wale ambao tuna nywele asilia a.k.a natural hair, tayari tunafahamu changamoto kadhaa tunazokumbana nazo. Kwa wale mnaofikiria kuanza kuwa na nywele asilia, karibuni sana tuendelee kujuzana namna ya kutunza nywele zetu kama tulivyopewa na Mungu Katika mada ya leo,nitakwenda kuzungumzia vitu...
  3. kwa nini nywele hutoa cheche pale tunapochana

    Kuna muda unaweza kuchana nywele alafu ukashangaa vitu kama cheche za moto/umeme zinaonekana kwa mbali. Jaribu mida ya usiku/gizani uone. hii inasababisha na nini wataalam?
  4. Vinasaba kwenye nywele, uhai wake na malighafi bora ya wachawi

    Nywele mojawapo ya 'viungo' vya mwili ama mazao ya mwili ni mojawapo ya malighafi muhimu kiroho na kimwili pia.... Nywele hizi za kichwani huota toka kwenye ngozi ya kichwa ambapo ndani yake ndio kumebeba software ya ufahamu na utambuzi wa kiumbehai... Nywele nyingine zimeota juu ya ngozi ambayo...
  5. Nywele zinavyohusishwa na roho na mapepo

    Kuna mambo ya kushangaza ambayo kwasababu ileile ya kimapokeo na mazoea huwa hatuyahoji au hatuna muda wa kufuatilia na pengine tunaridhika tu na hivyo yalivyo. Nywele hizi zetu za kichwani zinabeba siri kubwa ambayo ina mawasiliano ya moja kwa moja na kuzimu au na roho zinazotangatanga. Hebu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…