Huduma ya Kisaikolojia (Huduma ya Kiroho)
NYUMBA ZA IBADA NI HOSPITALI ZA KIROHO
Watu wengi hupitia msongo wa mawazo (stress),WAMEJAZA MAUCHUNGU MENGI MOYONI, majonzi, au matatizo ya kifamilia. Viongozi wengi wa dini hufanya jukumu la kutoa nasaha (counseling) zinazowapa watu faraja na...