Mahakama ya Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro imemhukumu Athumani Issa Rashid, (47), kifungo cha miaka 20 jela baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kupatikana na nyara za Serikali, zikiwemo nyama za wanyamapori wawili aina ya digidigi, huku pikipiki moja aliyokuwa akitumia ikitaifishwa na...