nyani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Yanga yapigwa faini ya Tsh. Milioni 345 kutoka FIFA, yatakiwa kumlipa Kocha Luc Eymael

    Naam, Njaakalihatari nakuletea habari mpasuko kwamba Young Africa ya Jangwani na Salamander imepigwa faini ya USD 148,000 kwa kumuachisha kazi Kocha Luc Eymael bila kufata taratibu. Faini hiyo inatakiwa ilipwe siku 45 kuanzia leo la sivyo watafungiwa kusajili kwa misimu 3! Yanga instructed...
  2. WHO: Hatushangai kuona maambukizi ya kwanza ya homa ya nyani (Monkeypox) kutoka kwa binadamu kwenda kwa mbwa

    Shirika la Afya Ulimwenguni limesema kuwa halijashangazwa na ripoti ya kwanza iliyotolewa hivi karibuni inayoonesha kuwa mbwa ameambukizwa ugonjwa wa homa ya nyani kutoka kwa binadamu aliyekuwa anaishi naye. Kwa mujibu wa Dr. Rosamund Lewis, kiongozi wa jopo linalofuatilia kwa ukaribu ugonjwa...
  3. Mganga Mkuu wa Serikali: Hakuna mgonjwa wa Homa ya Nyani nchini

    Serikali kupitia Wizara ya afya imesema kuwa Mpaka sasa hakuna mgonjwa aliyetambulika na kuthibitika kuwa na ugonjwa homa ya nyani (Monkeypox) hapa nchini. Kauli hiyo imebainishwa na Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichalwe leo Mkoani Manyara wakati akitoa taarfa kuhusu Ugonjwa wa Homa ya...
  4. J

    Nyani wamnyakua mtoto mikononi mwa mama yake, afariki dunia

    Kigoma. Kundi la nyani wa hifadhi ya Gombe iliyopo kijiji cha Mwamgongo wilayani Kigoma, limevamia nyumba ya Shayima Faya (20) na kumpokonya mtoto mchanga wakati akimnyonyesha na kutokomea naye porini ambapo baadaye mtoto huyo alifariki dunia. Akizungumza leo Jumatatu Juni 20, 2022 Kamanda wa...
  5. Mlima nyani uko katika milima ya Usambara

    Milima nyani
  6. Car4Sale Harrier new model (tako la nyani) kwa 21mil only

    Jichukulie Hii Gari kwa Bei ya January Gari ni 6 cylinder Year of made: 2006 Mahali iliko: Dar Mileage: 120,000km haizidi hapo Bei: 21 Mil Negotiable (inazungumzika) Inahitaji Marekebisho kidogo MAREKEBISHO YENYEWE Bushes Baadhi. Steering Rack ibadilishwe. Shoch up za nyuma...
  7. Kupiga & kugombeza watoto kwasababu ya uwezo shuleni ni ujinga

    A. KUPIGA & KUGOMBEZA WATOTO KWASABABU YA UWEZO SHULENI NI UJINGA Unakuta mtoto kila siku anaenda shuleni, anahudhuria kila kipindi, anafanya home work, n.k. ya nini kumchapa au kumgombeza huyu pale anaposhika namba za kawaida au chini darasani. nimesema namba kwasababu ndicho kigezo ambacho...
  8. Je, nyani jike au sokwe jike wanapata hedhi?

    Naomba nifahamishwe Kama Kuna anayejua jibu la swali langu maana nyani jike au sokwe wapo Kama sisi.
  9. Jeshi la Polisi kujipa jukumu la kuchunguza mauaji ya askari, ni sawaswa na kesi ya nyani kumpa ngedere

    Jeshi la Polisi nchini limejipa jukumu la kuchunguza mauaji yaliyotokea kwenye daraja la selander, ambapo mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Hamza, aliwafyatulia risasi askari watatu na mlinzi mmoja wa kampuni ya SGA na kuwaua wote na askari wengine kadhaa kujeruhiwa na hatimaye yeye mwenyewe...
  10. Siku isiyo ya kufa nyani wala miti haitelezi

    Siku moja nilituma text kwa njia ya kawaida nilikuwa namtumia mshkaji wangu wa kike. Msg ilikuwa mbaya yaani kiufupi haikuwa na heshima. Bahati mbaya sana ile text ilienda kwa Wife na si unajua kwenye text kawaida hakuna "Delete for everyone" [emoji3] Basi bhana baada ya kuona tu kuwa nimesha...
  11. M

    Ukicheka na Nyani utavuna mabua

    Nimefuatilia yanayoendelea katika taifa letu kwa sasa naona kila siku zanavyosonga mbele matumaini yanazidi kupotea. Kimsingi kuna ombwe la uongozi katika taifa letu kwa sasa linaloonyesha kuwa viongozi wetu hawa wameshindwa ku-perfom na sasa wamebaki kuhangaika na Chadema. Ukiona kiongozi...
  12. Rais Samia usicheke na nyani

    Kwa matukio ya hivi karibuni na dhahiri kuna wanaotaka kum upstage mama Samia. Wito wangu ni mmoja tu, mama usicheke na nyani, utakula mabua. Na wahenga walisema kikulacho ki nguoni mwako. UPDATE Tulisema na yameshaanza kutokea -Gwajima anamtunishia msuli Mwenyekiti wake wa CCM -Pole pole na...
  13. Rais Samia, chukua tahadhari kuwa "Ukicheka na nyani utavuna mabua"

    Usipende sana mama kufanya jambo ili kuwafurahisha hawa jamaa utaambulia failure. Tangu kuwekwa misingi ya ulimwengu ndani yao hakuna nia njema. Baba yao ni baba wa uongo kama inavyojulikana. Lengo ni kuangusha state kwa gharama yoyote. Alitokea nabii mmoja katika roho ya Elia, huyo alikuwa...
  14. Mama ua nyani usiangalie usoni

    Asaalam Mama. Mama kuna watu tulisema tangu mwanzo sio wakuwabeba lakini ume wabeba ukasema mkubwa hakosei. Tena ukampa mkoba akushikie na akupangie matumizi, mtu carwad asiyeeleweka msimamo wake, Wala taaluma yake. Mama Leo umeona alivyomtukana mtangulizi wako na kukukebehi hadharani kabisa...
  15. J

    Simba imefanikiwa kupata nyani (seng'wa) mwenye vidole 5 mguu wa kulia na 4 mguu wa kushoto milima ya Uluguru, Simba 5 Kaizer Chiefs 0!

    Game imeisha Simba inaelekea nusu fainali kwa mbinu ile ile waliyoitumia kuwatoa Mufulira Wonders ya Zambia kwenye mtanange unaofanana kwa 100% na huu. Hatimaye Simba wamempata nyani kama yule wa wakati ule aliyefanikisha ushindi ule. Safari hii shukrani za pekee zimwendee babu tale wa...
  16. M

    Janja ya nyani: Tuoleane, Ukioa kwangu sitakutoza mahari! Huku nikijua kabisa sina mabinti wa kutosha kuozesha maana wengi walishaolewa

    Haya makubaliano ya kuoleana baina ya jamii mbili bila kutozana mahari tuyamulike! Jamii moja mabinti zake wengi walishaolewa tayari! Ndiyo inakuwa ya kwanza kupendekeza mambo ya kuoleana bila kulipishana mahari! Jamii nyingine bado ina mabinti wengi ambao hawajaolewa. Japo kila jamii inapewa...
  17. Mbowe akubaliana na Nyani Ngabu?

    Hey, ni mimi na si mwingine ambaye nishasema mara nyingi sana humu kuwa, ingekuwa ni juu yangu mimi basi nisingeshiriki chaguzi zozote zile zifanyikazo Tanzania chini ya usimamizi na uendeshwaji wa tume ya taifa ya uchaguzi yenye muundo iliyonayo sasa hivi ambapo kimsingi huwa inaundwa na...
  18. Pendekezo: Dkt. Hassan Abassi afukuzwe kazi kwa kiburi cha kukataa amri halali ya Rais wa Nchi

    Hakuna ambaye hajamsikia Rais Samia Suluhu leo alipoagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki vifunguliwe , huyu Hassan Abbass ni nani katika nchi hii hadi amlishe maneno Mh Rais kwamba Kilichoagizwa kufunguliwa ni Televisheni za mitandaoni , liko wapi andiko alilopewa na Mh Rais kuhusu...
  19. J

    Spika Ndugai: Nyani wanashangilia kifo cha mkulima wa mahindi wanasahau mwakani hawana pa kula

    Hii kauli ya Spika wa bunge mh Ndugai inafikirisha sana. Hao nyani wanaofurahia kifo cha hayati Magufuli ni akina nani? Je, ni Ufipa? Na kwanini mwakani watakosa chakula? Hata hivyo Ndugai amesema wanaoshangilia wanajidanganya Tanzania haitarejea kuwa shamba la bibi kamwe. Maendeleo hayana...
  20. HIVI HAWA JAMAA WANA AKILI KWELI KUMPA NYANI BUNDUKI (AK-47) ???

    Tangu huu mwaka uanze nadhani hakuna siku niliyocheka kama leo aisee. Sijui ni kweli au uongo, lakini hawa jamaa wana mashudu kichwani. Hivi kweli unampaje nyani bunduki ya AK-47 ambayo iko loaded ?? Happy Holidays Good People....
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…