nvidia

Nvidia Corporation ( en-VID-ee-ə) is an American technology company headquartered in Santa Clara, California. Founded in 1993 by Jensen Huang (president and CEO), Chris Malachowsky, and Curtis Priem, it develops graphics processing units (GPUs), systems on chips (SoCs), and application programming interfaces (APIs) for data science, high-performance computing, and mobile and automotive applications.
Originally focused on GPUs for video gaming, Nvidia broadened their use into other markets, including artificial intelligence (AI), professional visualization, and supercomputing. The company's product lines include GeForce GPUs for gaming and creative workloads, and professional GPUs for edge computing, scientific research, and industrial applications. As of the first quarter of 2025, Nvidia held a 92% share of the discrete desktop and laptop GPU market.
In the early 2000s, the company invested over a billion dollars to develop CUDA, a software platform and API that enabled GPUs to run massively parallel programs for a broad range of compute-intensive applications. As a result, as of 2025, Nvidia controlled more than 80% of the market for GPUs used in training and deploying AI models, and provided chips for over 75% of the world's TOP500 supercomputers. The company has also expanded into gaming hardware and services, with products such as the Shield Portable, Shield Tablet, and Shield TV, and operates the GeForce Now cloud gaming service. It also developed the Tegra line of mobile processors for smartphones, tablets, and automotive infotainment systems.
In 2023, Nvidia became the seventh U.S. company to reach a US$1 trillion valuation. In 2025, it became the first to surpass US$4 trillion in market capitalization, driven by rising global demand for data center hardware in the midst of the AI boom. For its strength, size and market capitalization, Nvidia has been selected to be one of Bloomberg's "Magnificent Seven", the seven biggest companies on the stock market in these regards.

View More On Wikipedia.org
  1. Kama boss wa NVIDIA (Jensen Huang) kanaswa kwenye honey trap basi wanaume wapenda totos sio wa kuwapa nyazifa kubwa.

    Kuna muda huwa najiuliza kwani hawa wanawake ni kipi cha ziada huwa wanakitoa, mpaka kufikia hatua ya kumchanganya mwanaume mtu mzima mwenye akili timamu na kujikuta anafanya maamuzi ya hovyo? Tukio la Jensen limenifikirisha sana. Kama kweli uyo manzi alikua ni jasusi wa China. Basi...
  2. Mchepuko wa tatu wa boss wa NVIDIA wagundulika.

    Huyu boss wa NVIDIA kuna uwezekano alikula wanawake wote waliokuwa karibu naye kwenye kampuni 😁 Michepuko yake inaendelea kuibuliwa tu!
  3. Thamani ya kampuni ya Nvidia ya poromoka baada ya CEO, Jensen Huang kujiuzulu

    Thamani ya Nvidia kwenye soko la hisa kwa sasa ni takriban dola trilioni 3.64 hadi trilioni 3.8 (ikishuka chini ya dola trilioni 4), kufuatia anguko kubwa baada ya mwanzilishi mwenza na CEO, Jensen Huang kujiuzulu. Vitu Muhimu Hali ya Sasa: Hisa ziliporomoka kwa zaidi ya asilimia 10 hadi 14...
  4. S

    CEO wa nvidia akumbwa na kashfa nyingine

    Wakati sakata la kuwa na mahusiano na mwanamke anaeaminika kuwa jasusi wa China halijapoa, CEO wa kampuni ya Nvidia Jensen Huang amekumbwa na kashfa nyingine ya kumsaliti mke wake. Huang ametajwa kuwa alikuwa na mahusiano na mfanyakazi wa Nvidia anayeripoti kwake moja kwa moja. Mfanyakazi huyo...
  5. S

    Nimefuatilia suala la bosi wa NVIDIA na sakata la EIPSTEIN, nimegundua ndugu zetu wakristo mnapata tabu sana kwenye mahusiano

    Yaani mtu una nguvu za kutosha, una pesa za kutosha, lakini unalazimishwa uwe na mwanamke mmoja tu, mwanamke wenyewe pengine mgonjwa, mara yuko period, mara ashazeeka hawezi pirika, kumpa talaka huwezi. Matokeo yake ni kua na michepuko na kuaibika katika jamii. Suala la bosi wa NVIDIA unaona...
  6. Jensen Huang CEO wa NVIDIA apata scandal ya kutegeshewa Honey pot na Wachina

    CEO wa NVIDIA ambayo ndiyo kampuni kubwa inayotegemewa sana katika miundombinu ya AI maana ndiyo inazalisha the most advanced AI chips, amekumbwa na kashifa ya kuchepuka na mwanamama wa kichina ambaye inasemekani ni mpelelezo wa serikali ya china. Taarifa zaidi zinadai huenda huyo mwanamama...
  7. MCHEPUKO WA MKURUGENZI MTENDAJI WA NVIDIA UNAGEUKA KUWA MGOGORO WA KAMPUNI

    Na, Dr. Zack, Santa Clara, California, Mkurugenzi Mtendaji wa NVIDIA Jensen Huang amekiri kutokuwa mwaminifu kwa mke wake baada ya ripoti kuvuja kuhusu uhusiano wake na Alice, kiongozi mkuu katika kampuni ya kutengeneza chip ya Megaspeed yenye makazi yake nchini Singapore. Kashfa hii imechukua...
  8. X

    China yaingia rasmi soko la memory chip (DDR5) na gaming GPU. Samsung, SKhynix, Nvidia, Micron na AMD tumbo joto

    Hivi karibuni China imeandika historia mpya ya teknolojia duniani. Kwa miaka mingi Marekani, South Korea na Taiwan zilikuwa The Big 3 Cartel walitawala GPU na memory chips. Wakiamua supply, wakipandisha bei, na dunia nzima ikalazimika kufuata. Sasa China imevunja ukuta huo. Enzi ya kutegemea...
  9. Iran imetoa wito kwa wafanyakazi wote wa Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco kuondoka

    Wanaukumbi. 🇺🇸🇮🇷 Iran imetoa wito kwa wafanyakazi wote wa Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco kuondoka kwenye makampuni hayo ifikapo saa nane mchana kwa saa za Tehran siku ya Jumatano - The Hill Baada ya hapo wataanza kuwalipua. IRGC imetishia makampuni makubwa ya kiteknolojia...
  10. Breaknews: China imekataa kupokea chips za NVidia toka Marekani

    China imekataa kupokea chips za Nvidia, kampuni maarufu ya Marekani inayotengeneza vifaa vya kompyuta na graphics. Sababu kuu ya hatua hii ni hofu ya usalama inayoletwa na Marekani, ambayo inatuhumu China kwa matumizi ya teknolojia ya kisasa kwa madhumuni ya ujasusi na matumizi ya kijeshi...
  11. GAMING PC FOR SALE

    GAMING PC MOTHERBOARD: CVN B460 GAMING FROZEN CORE i5 -10500 12 CPUs (10th GENERATION ) RTX 2060 6GB 16GB RAM (DDR4) 4 Slots 120GB SSD 500GB HDD 520Watt Antec PSU NZXT CASE ORIGINAL LENOVO CONTROLLER GAMES: FC 25 COD MODERN WARFARE II UNCHARTED COLLECTION GTA COLLECTION PRICE: 1.3m...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…