nukuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Kwanini Nukuu za Mwalimu Nyerere zimeadimika kwenye televisioni na radio za Taifa?

    Salaam! Napitapita TBC na radio za Taifa, napata taabu kuona Nukuu za Mwl Nyerere zimeadimika, Kiongozi yule mwenye maono alishayaona mengi na kuyaongelea, Ni Imani YANGU, tukizipitia vizuri, tutapata namna ya kuondokana na Giza hili linaloigubika nchi yetu. Mungu ibariki nchi YANGU nzuri...
  2. Utalii kwenye siasa (NUKUU)

    "Utalii wa kisiasa ni pale ambapo mwenzako anazindua Ilani kwa ajili ya wananchi, wewe unashughulika kuimba taarabu kwa wananchi majukwaani na mitandaoni." — Alloyce, P.R.
  3. Nukuu 33 za Madikteta Maarufu Duniani: Watanzania Tunajifunza Nini?

    Adolf Hitler wa Ujerumani (1889–1945) 1. Fanya uongo kuwa mkubwa. Fanya uwe kwa lugha rahisi. Endelea kusema, na hatimaye watu wataamini.-Adolf Hitler 2. Kifo ndio suluhisho la matatizo yote. Hakuna mtu, hakuna shida.-Joseph Stalin 3. Huwezi kukimbia kwa kasi zaidi kuliko risasi-Ide Amin 4...
  4. Uzi wa nukuu mbali Mbali Za wasanii, Wanasiasa, Wagunduzi, Wanafalsafa

    Habari wakuu. Uzi huu ni kwajili ya Quotes Mbali Mbali Kwa watu mashughuli duniani ambao bado wapo Hai na wengine waliotangulia kwenye ulimwengu mwengine.
  5. Uzi maalumu wa picha za nukuu na misemo mbalimbali ya kikrisito

    Tumsifu Yesu kristo, Bwana Yesu asifiwe❤️ Ndugu zangu wakristo,huu ni Uzi maalumu kwa kuleta nukuu,kifungu,mstari wa Bible kwa njia ya picture
  6. Muislamu yeyote hakikisha una kitabu cha Mkweli Mwaminifu. Hii ni moja ya nukuu mujarab toka humo.

    Sifa kubwa ya waislamu ni kusoma, mtume ametuasa kuitafuta elimu popote ilipo ndiyomaana watoto wa kiislamu anaanza kusoma madrasa mahali ambapo anapata madini yakutosha. Leo tupitie na kutafakari nukuu hii mujarabu toka kitabu cha Mkweli Mwaminifu "Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala...
  7. Nukuu Muhimu za kuzingatia

    NUKUU KUTOKA KWA WATU WENYE HEKIMA 1. “Gereza kuu ambalo watu wanaishi ndani yake ni hofu ya kile ambacho wengine wanafikiria.” — David Icke 2. “Jihadharini na wale wanaoomba msamaha haraka sana; mara nyingi wanafanya hivyo ili kumaliza mazungumzo, si kwa sababu wanamaanisha kuwa wamekosea.”...
  8. Kitenge aigeuka DP World? Hii Nukuu yake inafikirisha

    Hii ni Nukuu kutoka kwa aliyewahi kuwa Waziri Zambia. Bw. Kapwepwe. Ingawa yeye Kitenge kwa kuwa ni bwege hajaweka kama nukuu. Yaani kajifanya kama ndo yeye kaandika. Sisi wajuvi tunaelewa. Ilisemwa na nani.
  9. Nukuu ya leo: Ukiwa unajenga huku unahonga jiandae kupigwa na majanga.

    Muwe na siku ya mafanikio.
  10. S

    Kwenye press ya Lisu nimejiridhisha kuwa waandishi wengi ni weupe kichwani, waliposhangilia nukuu ya Nyerere.

    Kitendo cha waandishi wengi kushangilia nukuu ya Nyerere aliyoitoa Lisu kimeniacha mdomo wazi na kujiridhisha kuwa hawa waandishi siyo wafuatiliaji wa mambo. Walikuwa hawaijui nukuu hiyo? Kwanini walikuwa hawaijui, wakati iko kila mahali ktk machapisho, video na magazeti mbalimbali?? Hii...
  11. U

    Uzi maalumu wa kuweka nukuu za muhimu za kukumbukwa za Viongozi wakuu wa vyama vya upinzani hapa Afrika Mashariki

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Karibuni tupeane Raila Odinga: "Young people now begin the day checking the phone battery and data bundles. Something to wear, something to eat and a place to sleep come much later. Battery, bundles and the phone are the new basic needs"...
  12. B

    NUKUU: Kutokana kanuni ya 50/50 wanawake kuajiriwa kumesababisha ukosefu wa ajira nchini

    Kwa mujibu wa historia ya Tanzania itakumbukwa miaka 1961 mpaka 1989 idadi ya wanawake wasomi haikuwa kubwa kama miaka 2020's, lakini pia idadi ya wanawake waliokuwa kwenye ajira ama biashara ilikua ni chache ikilinganishwa na leo hii Mwanamke alitambulika kama mama nyumbani Kitendo cha...
  13. Mshike mwenzako mkono

    Tunapoangazia kusaidia wengine, tunagundua kwamba ndio wakati tunakuwa na thamani zaidi. - Maya Angelou Picha: Pinterest
  14. W

    Ni nukuu gani tu ukiisikia unajua imetoka kwenye filamu gani?

    Without naming a film, what is one quote that gives it away? “Good morning, and in case I don't see ya, good afternoon, good evening, and goodnight!”
  15. Askofu Bagonza na ukumbusho wa nukuu ya Mwl Nyerere mwaka 1990

    Utangulizi kama alivyoweka kwenye ukurasa wake wa Facebook "Unaweza kupigwa kwa niaba lakini huwezi kupiga kwa niaba. Huwezi kuua kwa niaba lakini unaweza kuuawa kwa niaba." Askofu Bagonza
  16. Nukuu za afya wiki hii

    Nukuu za Afya wiki hii.
  17. “Kama tunatoa ripoti na kuna ubadhirifu na hatua hazichukuliwi, huo kwangu ni udhaifu wa Bunge." Sehemu ya nukuu ya Professor Assad

    “Kama tunatoa ripoti na kuna ubadhirifu na hatua hazichukuliwi, huo kwangu ni udhaifu wa Bunge. Bunge linatakiwa lisimamie na kuhakikisha kwamba pale penye matatizo, linahakikisha kuwa hatua zinachukuliwa. Sasa, sisi kazi yetu ni kutoa ripoti tu,” Professor Assad aliyekuwa kuwa CAG Wakati...
  18. Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi azungumza na waandishi wa habari kufafanua kuhusu Mkopo wa Korea Kusini

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Mobhare Matinyi, leo Juni 4, 2024 amezungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa idara hiyo uliyopo jengo la TTCL, jijini Dar es salaam, akitoa ufafanuzi kuhusu mkopo wa Dola bilioni 2.5 kutoka Korea. PIA SOMA - VoA...
  19. Hotuba ya Bajeti Wizara ya Ulinzi na JKT (NUKUU)

    Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Hotuba ya Bajeti. Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb). Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.
  20. Nukuu za mwenyekiti wa UWT taifa katika siku ya familia duniani

    NUKUU ZA MWENYEKITI WA UWT TAIFA KATIKA SIKU YA FAMILIA DUNIANI
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…