Mwanangu anasoma shule inayotumia mtaala wa Cambridge. Wanaendelea kusoma hadi Desemba 04.
Je, Elnino ikileta mafuriko, shule hizi hazitopata athari pamoja kwa wanafunzi wake?
Wizara ya Elimu tunaomba ufafanuzi wa waraka unaoagiza shule kufungwa 13 Nove unahusu shule zipi?
Mwamuzi raia wa Mauritania, Abdel Aziz Bouh, ameteuliwa kuchezesha mchezo kati ya Simba SC na Orlando Pirates utakaopigwa Novemba 29 katika Uwanja wa Uhuru.
Katika mchezo huo, mwamuzi mwenzake kutoka nchini humo, Babacar Sarr, atasimamia teknolojia ya usaidizi kwa waamuzi (VAR).
Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, anatarajiwa kurejea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, Novemba 19, 2026, kwa ajili ya kutajwa kwa kesi nyingine ya jinai inayomkabili ya kuchapisha taarifa zinazodaiwa kuwa za uongo kupitia...
Yaani nimemshukur Mungu sana kwamba mwanangu Innocent bado ana miaka miwili na hivyo nilivyoanza kumwita Innocent tangu jana na kuliacha jina la Dunstan tayari ameshalipokea na wanafamilia wote wamepokea kwa asilimia 100 uamuzi wangu. Dunstan litabaki kuwa jina baya sana kwangu mimi. Akina...
Wizi wa mita za maji zikiibiwa zinaenda kutumika wapi
Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeendelea kushughulikia changamoto kwa wananchi wasio waaminifu wanaoiba mita za Maji kwa matumizi ambayo bado hayajafahamika. Mamlaka imebaisha kuwa kuanzia Januari hadi...
Nadhani wengi wetu badala ya kuwaza kwenda mahakamani 06/11 siku ya kutajwa hukumu ya kesi ya Tundu Lissu, ambapo idadi inayoruhusiwa kuingia mahakamani ni ndogo na ili kuepusha rabsha, wengi tujiandae kusimama pembezoni mwa barabara.
Kuna ruti ya kwanza ambayo huwa inatumika kumpeleka Tundu...
Serikali ya Kaunti ya Mombasa imeongeza muda wa mpango wa matibabu ya bure hadi Novemba 2026, baada ya wagonjwa 88,956 kupata huduma katika hospitali za umma ndani ya siku 19 pekee.
Gavana Abdulswamad Shariff Nassir alitangaza uamuzi huo Jumanne, Oktoba 20, akisema idadi kubwa ya wananchi...
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ametangaza kuwa jumla ya Tsh. Bilioni 2 ziko tayari kutolewa kama gawio la ada za hakimiliki (copyright levy) kupitia COSOTA kwa wasanii nchini.
Makonda ameeleza kuwa utaratibu wa maandalizi ya ugawaji wa fedha hizo unakamilishwa na...
Eti kwamba kama Rais Magufuli ni jasiri au la? Ni Jasiri. Nakiri Ujasiri hu sina.Muungwana hukiri asichokuwa nacho na kumkubali mwenye nacho.Kwanza ule ujasiri wa kupingana na risala ya Marehemu msibani ulikua ni uthibitisho.
-Ujasiri wa kutamka ukweli kuhusu fisadi aliyekua akiibia nchi kila...
DKT. MWIGULU AKABIDHIWA OFISI RASMI
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba leo Novemba 17, 2025 amekabidhiwa Ofisi na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa, Mlimwa Jijini Dodoma Novemba 17, 2025.
Viongozi waliohudhuria hafla ni pamoja na Naibu Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Doto Biteko, Makatibu...
dkt. mwigulu nchemba
dodoma
kassim
kassim majaliwa
majaliwa
mkuu
mstaafu
mwigulu
mwigulu lameck nchemba
novemba
ofisi
ofisi ya waziri mkuu
waziri
waziri mkuu
waziri mkuu mstaafu
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kufanya mkutano maalum na waandishi wa habari utakaofanyika Jumatano, tarehe 19 Novemba 2025, katika Makao Makuu ya CCM, kuanzia saa 5:00 asubuhi. Mkutano huu ni sehemu ya jitihada za chama kutoa taarifa kwa umma, kufafanua masuala muhimu ya kisera, na...
Ndugu yako wa karibu anapata msiba Oct 29 kafiwa Mtoto.
Unamuona siku zote na unapita karibu na kwake. Nov. 3 unafanya sherehe kwako na unamsimanga kwamba kazidi kufiwa.
Ghafla Nov. 14 baada ya kusemwa na majirani Unatoa pole!!
Huu ni unafiki Grade 1.
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kiislamu nchini, limelaani vikali vitendo vya uhalifu vilivyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, na kuisihi serikali kufanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo na vinara wa machafuko...
abdulkarim
bakwata
kati
maelfu
mauaji
mkono
novemba
oktoba
oktoba 29
rais
rais samia
samia
samia suluhu hassan
serikali
serikali ya rais samia
taasisi za kiislamu
uchaguzi mkuu 025
watanzania