njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. Serikali itumie njia hii kuwakamata hawa wahuni

    Kuna fedha zinaonekana mitandaoni zinatrend. Mtu mmoja akiwa na akili zake zilizonajisiwa na Ibilisi ameziandika noti hizi . Lengo lake kuhamasisha vurugu na kukataa utulivu. Ok, tuseme hakukusudia kuleta vurugu. Huyu mtu ana kosa la kuiharibu na kuipotezea hadhi fedha ya Tanzania. Hii fedha...
  2. Video za oct 29 zinaonesha baadhi ya askari walikuwa wakisimamisha wapita njia na kuwagaragaza kwenye mitaro na kuwapiga viboko na risasi

    Video za oct 29 zinaonesha baadhi ya askari walikuwa wakisimamisha wapita njia na kuwagaragaza kwenye mitaro na kuwapiga viboko na risasi Kitendo hiki tunakichukuliwa kama uharifu dhidi ya raia na ni wehu cha kushangaza wambura hajawachukulia hatua zozote askari hao kwa vitendo hivi vya...
  3. Nina ugomvi mkubwa na dada Yangu..nitumie njia Gani kuleta amani?

    Niligombana na dada Yangu miaka ya 2018..kwa sababu mbalimbali zikiwemo utoto wangu kwa wakati ule na weekness zake. Sasa ni miaka Mingi imepita hatuongea hata nikijaribu kumtafuta napokea matusi TU ya nguoni.. Mama hana la kusema kwasababu ameshasema sana juu ya hili lakini naona ni...
  4. Weka ujumbe wa kibiashara kwa njia ya sauti, mtu akikupigia

    Mtanzania, Karibu kwenye huduma ya Ring back Tunes, huduma ya ujumbe wa sauti kwenye simu yako wakati mtu anakupigia. RBT inaweza kutumika na mtu yoyote, mathalani Wafanyabiashara/Kampuni/Taasisi na wengineo. Kupitia RBT mfanyabiashara anaweza kutengeneza tangazo lake na kufanya mbadala wa...
  5. R

    PSSSF tafuteni njia ya kuweza kuhakiki kitumia simu za wateja weni ( wastaafu)

    Tufuteni APP yenu ambayo mstaafi anaweza kuhakiki kutumia smart phone. Ni usumbufu usio kifani kukaa ofisini masaa 3 au zaidi uko kwenye foleni eti unahakiki Lifikirie hilo
  6. O

    Je, Utawala wa Samia Unaielekeza Tanganyika Kwenye Njia Hatarishi Inayofanana na Mauaji ya Halaiki ya Darfur?

    Sudan inakabiliwa na moja ya majanga mabaya zaidi ya kibinadamu duniani. Tangu Aprili 2023, zaidi ya watu 400,000 wameripotiwa kuuawa na takribani watu milioni 12 wamekimbia makazi yao. Kikosi cha Rapid Support Forces (RSF) kimeshutumiwa vikali kwa mauaji ya kimfumo dhidi ya raia wa makabila...
  7. Leo nimeshauriwa nikatoe sumu kwa njia ya kuweka miguu kwenye beseni ( ya wachina) je hii ni kweli?

    Nimekuwa na unene kiasi nina kitambi kuna mtu kanishauri niende nikatoe sumu kwa Wachina ile unakiweka miguu halafu miguu inalowekwa kwenye beseni halafu kuna mashine Iko kama kafriji na kawaya flani wanakaweka mikononi. Hii kitu ilianza miaka ya mwishoni ya 2000 nikiwa kijana ila Sasa ni mtu...
  8. Kuna njia mbili za kujifunza katika MAISHA, njia ngumu na njia nyepesi

    KATIKA MAISHA KUNA NJIA MBILI ZA KUJIFUNZA , NJIA NGUMU NA NJIA NYEPESI. Maisha yana mambo mengi sana, binadamu kila kukicha wanakutana na changamoto mbali mbali . ila pamoja na yote , kitu ambacho unabidi kukizingatia unabidi kuwa aware na mambo yanayowatokea wenzako , kuanzia mafanikio yao ...
  9. R

    Ni njia ipi bora ya kufanya malipo ya kununua bidhaa online? debit au prepaid card?

    Habari zenu wakuu na heri ya mwaka mpya 2026.. ninaomba kupata elimu kidogo kuhusu suala la kulipia vitu mitandaoni, nataman kujua ni njia ipi salama zaidi nitumie kati ya debit card ya benki, prepaid card au card hizi wanatoa mitandao ya simu.. na pia kuhusu prepaid za usd nimeona ni benki...
  10. K

    Leo na ombi ya mwaka Samia aondoke kwa njia yeyote

    🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️Nchi haijawahi kumchoka mtu hivi
  11. C

    Baada ya mbinu ya kutumia waislam koko kulisema kanisa kugonga mwamba, sasa mmeamua kutafuta njia ya kutumia wakristo koko

    Njia sahihi na salama kabisa ya kurejesha utulivu nchini ni kutafuta mlipo jikwaa nakuondoa hicho kizingiti kilicho fanya mjikwae , Kuendelea kudhani kwamba amani na upendo wa taifa vitarejea kwa kuendelea kutafuta vilaza wa kuendelea kulisema na kulishambulia kanisa ni kujidanganya na...
  12. M

    Tunapomaliza mwaka, tunaomba watalaam wa mambo ya kiroho mtuelekeze njia za kujitakasa na kufungua milango ya riziki

    Mwaka unaisha. Tunaingia mwaka mwingine. Katika maisha ya utafutaji, kuna vita nyingi, za kimwili na za kiroho. Kutiana nuksi, mikosi na kufungina riziki ni mambo yaliyojaa huku uswahili. Wakuu watalaamu wa mambo ya kiroho, tunaomba mtupe anglau formula za madawa ya kuoga kujitakasa kuondoa...
  13. Watekaji wana access kubwa ambazo upata taarifa njia nyingi na zengine wanapewa bila lizaa ya mtu.

    Watekaji wanaweza kuomba taarifa zako TRA,Ardhi,idara ya maji,Tanesco,ving'amuzi au sehemu yoyote itakayokuwa na usajili wako. Kwa Jamiiforum ndio maana bado wanaumia kwa nini hawapewi taarifa. Kuna mchezo mmoja jamaa alitekwa wali trace namba yake SMS alinunua umeme.Wakaona jina mita namba...
  14. M

    Mbeya inazidi kupaa, Arusha na Mwanza zijipange ! barabara kilometa 29 njia nne yaanza kuwekwa lami

    Serikali inaendelea na Ujenzi wa Barabara ya Njia Nne (Dual Carriageway) 29km Kuanzia Uyole (Nsalaga) hadi Ifisi yenye urefu wa kilomita 29, Barabara hii itakao rahisisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika mkoa wa Mbeya na maeneo jirani na kuongeza ufanisi katika sekta ya usafirishaji. kwa...
  15. Njia Rais ya kuwa relevant ni kuongea ukweli haijalishi watu watauopokeaje.!

    Ukitaka uweze kuwa relevant don't speak soft Ila ongea ukweli tu. Tumefanya Sana siasa za unafiki, uongo na uhuni . tumewasabishia vijana matatizo makubwa Ila sasa tunakomesha , Vyama vyote Vya Tanzania vijiandae kuathirika na hii movement Don't play someone's game Na wanaharakati anzeni...
  16. K

    Njia ya nchi kujirudi ni chache !

    1. Serikali ya mpito ambayo haina chama na lengo ni kusimamia katiba 2. Serikali ya mseto lakini hii ni ngumu maana kuna machama ya kichawa mengi 3. Rostam na marafiki zake kumuondoa Samia kwa njia safi au Mbaya 4. Jeshi la Machawa kutoa msimamo wa kutokuuunga serikali mkono na kujiunga na...
  17. H

    Njia madhubuti ya kupunguza tatizo la ajira Tanzania ni kwa kuweka nguvu zaidi kwenye sekta binafsi

    Uimarishaji wa Sekta Binafsi: Sekta binafsi ndio chanzo kikuu cha ajira katika nchi nyingi duniani. Mfano, nchini Kenya, serikali imewekeza katika kuimarisha mazingira ya biashara kwa sekta binafsi kupitia mpango wa Big Four Agenda, ambapo viwanda vya ndani vimepewa kipaumbele. Tanzania pia...
  18. D

    Njia mojawapo ya kupunguza foleni na changamoto ya usafiri

    Habari zenu! Kutoka mbagala rangi tatu mpaka mbezi mwisho ni wastani wa kilomita 36.5km, let's say serikali inatoa tenda na kibali cha usafirishaji wa raia kutoka mbagala hadi mbezi mwisho kwa kampuni Moja binafsi kama ilivokuwa kwa barabara za mwendokasi ili kupunguza foleni itokanayo na idadi...
  19. KERO Kuanzia airport Mbeya mpaka Songwe njia imefunga

    Kuanzia airport mbeya mpaka songwe njia imefunga Tunaotumia barabara hiyo tuwe wapole 13|12|2025 sababu ya foleni ni ajali ya lori hii hapa 👇
  20. Njia rahisi ya kumaliza changamoto inayowasumbua JamiiForums ni mamlaka kuwajibisha watumiaji wanaovunja Sheria za Mitandao ya Kijamii na sio mtandao

    JamiiForums ni social media website ambayo inapokea User Generated Content Katika mitandao ya Kijamii ulimwenguni, ina watumiaji wa aina mbili Watumiaji wanaotii na wasiotii Sheria Ili kuweka usawa ni kuwajibisha wale watumiaji wanaovunja Sheria huku wanaotii wakibaki salama Hatuwezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…