njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. Kofia(boshori) zibauso achia macho zinazoanza kushamiri mitaani sio nzuri kiusalama

    Hamjambo! 1. Siku za hivi karibuni ukipita mitaani na barabarani umezuka mtindo wa vijana kuwaona wakiwa wamevaa kofia boshori funikauso achiamacho aidha wakitembea barabarani au wakipita na bodaboda wakiwa wamepakizana. 2. Mtindo huu sio mzuri kiusalama hasa ukizngatia vijana wengi hawana...
  2. M

    Wasira: CCM tulichepuka, tunataka Kurudi Njia Kuu

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Stephen Wasira amesema CCM imeazimia kujifanyia tathimini kwa kupata maoni ya wanachama wake ngazi za chini kuelekea uchaguzi wa chama hiko kwa lengo la kupata viongozi bora na kushughulikia kikamilifu changamoto za Watanzania. Ameyasema haya mkoani Kigoma...
  3. U

    Dangote aipongeza Serikali kwa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji, pamoja na kutatua changamoto za wawekezaji

    #HABARI Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, ameipongeza Serikali kwa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji, pamoja na kutatua changamoto za wawekezaji nchini. Katika taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Tanzania baada ya Mfanyabiashara huyo kufanya mazungumzo...
  4. A

    KERO Kupanda kwa Nauli Njia ya MBEZI-MSUMI, MBEZI-MPIJI MAGOE, MBEZI-MSAKUZI

    Kabla ya kupanda kwa mafuta nauli za daladala ilikuwa shilingi mia saba 700/= kwa abiria lakini kila ikifika jioni kuanzia saa 1 na kuendelea hupanda mpaka shilingi elfu moja 1000/=, kila abiria atakaye uliza majibu watakayopewa ni kuwa usiku usafiri wa shida gari chache pia barabara za maeneo...
  5. Hekari 25 zafungua njia ujenzi wa kambi ya mkandarasi kipande cha saba

    Wananchi wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wajitokeza kushiriki zoezi la utwaaji wa ardhi ili kupisha ujenzi wa kambi ya mkandarasi Mradi wa Kimkakati wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha saba kutoka Uvinza hadi Malagarasi. Zoezi hilo ambalo limesimamiwa na timu kutoka Shirika la Reli Tanzania...
  6. A

    RESOLVED KERO Watumishi Wapya VETA: Miezi 2 Bila Kazi Wala Mshahara

    VETA Habari za wakati huu. Mimi ni mmoja wa watumishi wapya walioajiriwa na Veta tarehe 19/02. Baada ya kufika makao makuu Dodoma na kukamilisha zoezi la kusaini mikataba ya ajira, tuliombwa kusubiri maelekezo ya kupangiwa vituo vya kazi. Hata hivyo, hadi sasa zimepita takribani miezi miwili...
  7. Wanne wafanyiwa Upandikizaji Figo kwa Njia ya Tundu Dogo katika Hospitali ya Muhimbili

    Madaktari bingwa wa upandikizaji figo wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wamefanikiwa kufanya upandikizaji wa figo kwa wagonjwa wanne kwa kutumia teknolojia ya upasuaji wa njia ya tundu dogo (laparoscopic surgery), hatua inayotajwa kuongeza ubora wa huduma na kuharakisha uponaji kwa wagonjwa...
  8. A

    KERO Kuna Askari wanatuambia tupite njia ya Mwendokasi Kimara, tukifika Kona wanatukamata na kutoza faini Sh 30,000

    Naweza kusema kuwa kwa ninavyoamini kutokana na mazingira, Askari wa Barabarani wanatengeneza foleni njia ya Kimara kwa Makusudi wanaanza kuwaambia watu wapite mwendokasi kipande cha Baruti then ukifika Kona wanakamata magari yote. Wakiaambiwa kuwa “tumeruhusiwa huko nyuma kupita” wanasema...
  9. Mapendekezo ya Tume: Njia ya Amani

    Tume ilitoa mapendekezo muhimu na ya kina ili kuzuia marudio ya ghasia na kuimarisha amani ya kitaifa. Mapendekezo haya yanatokana na uchunguzi wa kina na yanalenga kuimarisha utawala bora, uwajibikaji na mifumo imara ya demokrasia. Hii ni muhtasari wa kina wa mapendekezo yaliyotolewa...
  10. Njia inayotumika kutatua mgogoro wa Iran ( Hormz) sio sahihi,mimi naweza kuutatua kwa masaa 2 tu.

    Kuna haja ya hawa viongozi wa dunia kujitafakari na kufanya maamuzi yenye faida kwa dunia . Mgogoro mkubwa umejikita hasa kwenye kumiliki silaha sasa kama ni hivyo lazima watumie balance kumaliza vita . Mfano unapoamua kuamua ugomvi wa watu wawili walioshika mapanga ,,hatua ya kwanza ni kuchukua...
  11. Mama: Mapigo ya Moyo Wangu, Mwanga wa Njia Yangu

    Leo ni siku ya kuadhimisha malaika wa duniani. Mama si jina tu; ni neno lililojaa dhabihu, uvumilivu, na upendo usio na masharti. Tangu sekunde ya kwanza nilipoanza kupumua, ulikuwa hapo. Ulinibeba si tumboni tu kwa miezi tisa, bali unanibeba moyoni mwako kila siku ya maisha yangu. Nakumbuka...
  12. Natakiwa kufika Dar kesho jioni, nipo Simiyu Bariadi mda huu.Kama Kuna dereva yeyote anapita njia hii naombeni msaada wakuu nina 40k tu mfukoni

    Wakuu natakiwa siku ya kesho niwe Dar ila nauli ya kufika Dar Sina nina 40k tu, naombeni kama Kuna dereva anapita hii njia ya Bariadi - dar anipe rift nifike dar wakuu. Naombeni sana madereva 🙏 Update;Nilifanikiwa na maisha yanaenda fresh tu
  13. Ujenzi wa Barabara ya Kwanza ya Njia 6 Waanza Zanzibar

    My Take Safi sana Wazanzibari Kwa kuamua kujitegemea na kuonesha mfano. Mzanzibari hajawahi kuwa na sifa ya ubianafsi Wala ufisadi kama ule upande wa watu wenye mdomo sana. =========================== Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar, Said Bakari amesema Serikali imeanza...
  14. B

    Njia ya kumuachisha mtoto kunyonya kidole

    Wana JF, Ni njia gani isiyo na madhara ya kumfanya mtoto aache kunyonya vidole, ana miezi 7 sasa ila naona kwa kasi anayoenda nayo yaani hadi usingizini yeye yuko navyo tu... Sitamani afike umri mpaka anaanza shule awe ananyonya na pia nasikia vinaharibu dental formula hivyo nawezaje...
  15. H

    Kwanini ni Sisi CHADEMA tunapaswa kuweka njia ya Muafaka wa kitaifa wa kweli kwa kutangaza Upendo na Msamaha

    Kwanza ninachokiona Kabisa mama Hajui Chochote kuhusu nchi. Nimefatilia kiundani sana unaona waliompinga ndani walikuwa sawa ila Wengi sasa wanamsapoti kwa kuyapenda maisha yao sababu waliompinga sasa hawapo. Je, kunanini nyuma ya pazia. Ata Ulaya matajili wachache wanafanya shinikizo la kila...
  16. Sio rahisi kufanya biashara ukiwa umeajiriwa, mnaoweza mnamtumia njia Gani?

    Kazini kuangia saa Moja na nusu kutoka saa kumi kamili. Je unaweza kufanya vipi kitu nje na KAZI yako Ahsante
  17. Marekani yarupia macho njia ya baharini ya Bahari Nyekundu ya Eritrea

    Mlango-Bahari wa Hormuz umefungwa kutokana na vita kati ya Marekani, Israel na Iran, na jamii ya kimataifa imeanza kutafuta njia mbadala baharini. Hivi karibuni Marekani inafanya mawasiliano ya kidiplomasia na Eritrea, ambayo ni nchi muhimu ya njia za meli za Bahari Nyekundu. Kabla ya hapo...
  18. K

    Hatuwezi kurudisha Tanzania moja kwa uchawa! Ukweli pekee ndiyo njia

    Ukweli pekee ndiyo njia ya kutoka kwenye hili shimo. Hawa machawa, walioko masarakani msiwalaumu ni shetani anawatumia na tutashinda tu. Hawawezi kuwa watu wa kawaida wakafanya madudu kwa kiasi hiki ni mashetani tu. Sasa tuweke imani mbele na tuwndelee kukaza hivi hivi
  19. Changamsha bongo: Wasomi, unaweza tumia njia gani kutenganisha huu udongo?

    Ukiambiwa utenganishe huu udongo utatumia njia gani?
  20. Ushauri: TANROADS waweke roundabout barabara ya Goba njia panda ya Makabe

    Ukitokea mbezi shule kama unaenda goba kumekuwa na foleni kubwa sana pale kwa sababu ya magari yanayotoka makabe na yanayoenda goba hadi kuchukulia baadhi ya magari mengine kuzunguka temboni short cut ya matosa kutokea njia 4. Yaani magari yanapigani pini hakuna linalompisha mwenzie hadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…