njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. SoC01 Njia zinazotumiwa na wezi wa mitandaoni (cyber criminals) na jinsi ya kuzuia

    Miaka kadhaa nyuma wahalifu wa mitandaoni walilenga sana Computers aina ya desktop na laptops kwani shughuli nyingi za kifedha zilizohusisha internet zilitegemea sana vifaa hivyo. Lakini kwa sasa hivi wamelenga sana watumiaji smartphone na kwa mujibu wa mtandao wa Statista watu zaidi ya Bilion...
  2. SoC01 Njia bora za kukuza na kuimarisha Sekta ya Afya Tanzania

    Mara kwa mara kumekuwa na malalamiko makubwa saana kuhusu Mapungufu katika sector ya Afya hasa katika nchi zetu za Afrika {Sana sana katika nchi ziitwazo dunia ya Tatu (3rd world countries) Ambazo nyingi zipo katika kusini mwa jangwa la sahara} Mapungufu hayo katika sector ya afya kwa sasa...
  3. SoC01 Vituo vya kilimo atamizi (incubation centres): Njia ya kuongeza uzalishaji pamoja na kuinua kipato kwa vijana Tanzania

    Andiko langu linaanza kwa kusema Tanzania inaweza kuwa nchi nambari moja duniani katika ujenzi wa ajira nyingi kwa vijana na kila mtu akabaki akijiuliza imekuweje kwa muda mfupi namna hii?. Nchi ya Tanzania sio nchi ya kulia njaa kila siku, sio nchi ya kutembeza bakuli na kuomba misaada...
  4. S

    SoC01 Njia za kuchochea, mabadiliko kwenye Uchumi na Biashara, maendeleo ya jamii, uwajibikaji, Demokrasia, Sayansi, technologia na haki za binadamu

    Njia za kuchoche mabadiliko kwenye Uchumi biashara,maendeleo ya jamiii,uwajibikaji, Demokrasia,sayansi na Technologia,haki za binadamu. UCHUMI NA BIASHARA :Suala la uchumi linagusa Kila mtu hivyo serekali Ili kukuza uchumi kwa wananchi ikiwa ni pamoja na kutoa elimu kwa wananchi umuhimu wa...
  5. SoC01 Njia 6 za kukuza uchumi wa Tanzania

    Uchumi ni jumla ya shughuli zote za binadamu za kila siku ili aweze kukidhi mahitaji yake. Baadhi ya shughuli hizo ni kilimo, biashara, uzalishaji(viwanda). Tanzania ni moja ya nchi iliyo ingia uchumi wa kati duniani lakini si sawa kuishia hapo lazima tuendele kupambania ili kufikia malengo...
  6. SoC01 Njia sahihi za kulea watoto ili waje kuwa viongozi wema na wenye kutii sheria za nchi

    Habari yako ndugu msomaji. Katika mambo yanayolalamikiwa na jamii yetu hasa zama hizi basi ni kuwa na viongozi ambao hawana maadili na wala hawafuati sheria mbalimbali za nchi vile zinavyotaka. Jambo hili sio tatizo dogo kama tunavyolifikiria,na wala sio mazao ya malezi ya mwaka mmoja au...
  7. Njia Rahisi ya uchaguzi wa biashara

    Kama ilivyo je wewe Ni mjasiriamali au unataka kufanya biashara iwe kubwa au ndogo. Basi fanya haya najua Unaweza nishukuru. Wajasiriamali au wafanyabiashara wengi hushindwa Katika Uchaguzi wa kipi afanye ili kuanzisha biashara yaani anaweza kuwaza Leo kua afungue duka la kuuza nguo harafu...
  8. Njia 3 Rahisi Za Kuongeza Wateja Wapya Katika Biashara Yako

    Ikiwa wewe ni mjasiriamali mchanga au mwenye uzoefu wa kuhudumia wateja hadi 10,000 — kamwe huwezi kuchoka kutafuta wateja wapya. Kwa wafanyabiashara wengi, mchakato wa kutafuta wateja wapya unaweza kuonekana kuwa mgumu na usiotabirika. Kama una ndoto za kukuza faida katika biashara yako...
  9. Sekretarieti ya CCM mnafanya mikutano ya hadhara kama wabunge wa wapi?

    “Kwa sasa tunaruhusu mikutano ya ndani, isipokuwa kwa wabunge wenye majimbo” Samia Suluhu Hassan, Madam President. Sasa nyie Secretariat ya CCM mmeenda Zanzibar mkafanya mkutano huko mpaka watoto wadogo wakaanza vijembe kwa kina Mbowe. Sasa mko Mikoa ya Songwe na Rukwa, huyu katibu mwenezi...
  10. Anthony Diallo aomba radhi kwa waliomuelewa vibaya kauli yake ya 'Viongozi waliopita walikuwa na Matatizo ya Akili'

    Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza, bwana Anthony Diallo amewaomba radhi watanzania kwa kauli zake alizozitoa kuwa viongozi wa Serikali waliopita walikuwa na mafaili mirembe. ======== Diallo: Mimi nadhani ufafanuzi unatosha, nawataka radhi wale ambao walinielewa vibaya, kuna kunielewa...
  11. Fahamu njia zitakazokupa usingizi au kulala vyema

    Nini hasa manufaa ya kulala au usingizi mzuri? Huimarisha na kuboresha ukuaji wa mwili. Hujenga na kuimarisha kinga mwili. Hukuweka katika hali nzuri (mood). Hukuongezea kumbukumbu. Hurefusha maisha. Huboresha tendo la ndoa. Huondoa msongo wa mawazo. Haya ni baadhi tu ya manufaa ya kulala...
  12. Njia ipi ni njema kidato cha sita au chuo kwa mtoto anayetaka kusomea tiba? Amemaliza kidato cha 4.

    Mtoto wangu alifaulu vizuri sana kidato cha 4 na kwenda shule nzuri sana kidato cha 6 na tukakubaliana kuwa akimaliza kidato cha 6 atakwenda chuo bara lolote anapotaka yeye. Ghafla baada ya muhula wa kwanza akabadirika anasema anataka kwenda kwenye chuo kiko SA. Na amekwishajaza makaratasi na...
  13. Njia rahisi ya kung'arisha sink na tiles zako zenye uchafu sugu pasipo kupoteza muda na hela katika njia ambazo hazifanyi kazi

    Habari ya leo wapendwa,leo nimekuja na somo la usafi kwa wale wanao penda usafi. Vifaa. 1.Dawa ya kung'arisha masink na Tiles 2.Gloves 3.Mask 4.Viatu vya kufinika miguu. 5.Brash ngumu kubwa na ndogo. NAMNA YA KUSAFISHA Kabla huja fungua dawa vaa gloves,mask na viatu miguuni kisha...
  14. Hii njia ni sahihi kujua ukubwa wa eneo kwa heka?

    Hivi nikitaka kujua ukubwa wa eneo fulani kwa HEKA ambalo sio mraba au mstatili (eneo halina umbo mahalumu) ninafanyaje? Nilipata hii changamoto kidogo ila niliamua kupima mzunguko wake wote kwa mita (mzingo) labda nikapata mita 120 nikafanya ulinganifu kwa heka1 ina mzunguko wa 280m je 120m ni...
  15. TCU rudisheni mfumo wa kudahili wanafunzi vyuoni kwa njia ya mtandao (CAS)

    TCU ni taasisi inayodhibiti ubora wa elimu ya juu. Inakagua, inashauri, inaruhusu Na kusimamisha au kufuta vyuo visivyokidhi vigezo vya ubora. Hivyo, vyuo vyote ambavyo vinatoa mafunzo vimefikia vigezo (minimum) vya ubora wa kumudu kutoa mafuzo yaliyokusudiwa. Ingawa ni kweli vyuo vinatofautiana...
  16. Kabla hujatongoza dai kitambulisho, Kenya wameonyesha njia

    Jirani yako akibuni njia nzuri si mbaya kuiga ilimradi ufikie malengo yako. Tunakubaliana watoto weng wa kike chini ya 18 wamenona, wanajipamba na wao wanatia watu majaribun kwa tamaa na haraka zao na hatimaye weng wanakutana na mkono wa sheria, kwa aibu na fedheha! Mbaya zaid tuna mabinti...
  17. Rais Samia, tumia ARDHI kwa njia hii kukabiliana na changamoto ya ajira nchini

    Haka kajamaa kakajengewa hata sanamu DSM kule city centre ama hata Dom. Yupo vizuri, sema nimegundua sio muandishi mzuri lakini ana vision. Halafu ukute ni jobless hahahahahaha ndio atajua hajui. Am joking guys! Ametoa madini si mchezo yaani. Kila mtu ajisomee PDF hapo down. Nina wasiwasi...
  18. M

    Njia rahisi za kuupata/kuukosa Ukuu wa Wilaya nchini

    #kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania. Kwa ufupi njia rahisi za kuukwa nafasi ya kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya nchini ni 1)uwe ni mwanachama wa chama cha upinzani nchini na hasa chadema,halafu ukiwa kwenye chama hiki uwe mkosoaji mkubwa wa chama tawala ccm.Wewe kwenye mitandao,mikutano...
  19. Natafuta njia nzuri ya kusafirishia abiria

    Ndugu zangu niko na gari aina ya Raumu nataka nitumie walau nijipatie riziki naomba mwenye kujua sehemu ambayo ina njia nzuri alafu kuna changamoto ya usafiri anielekeze humu nikafanye hapo kazi. Gari yangu ina uwezo wa kubeba abiria kuanzia 5 Hadi nane hivi hata kama ni rough road walau pawe...
  20. L

    “Tukio la kutoroka kwa tembo” la China latoa njia ya kufikiria jinsi ya kulinda wanyamapori na kuondoa mizozo na binadamu

    Nchi nyingi hasa za Afrika zimebarikiwa kuwa na hazina kubwa ya wanyama pori ambao wanachukuliwa kama kivutio cha watalii lakini pia wanatumika kama chanzo cha kuiingizia nchi mapato yanayotokana na utalii, na pesa zinazopatikana zinatumika kuleta maendeleo ya nchi. Mwezi Mei mwaka jana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…