njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. Inasikitisha sana kama Serikali imeamua kuminya utumiaji wa Mitandao kwa njia hii

    Nimefuatilia trend ya huduma za internet kwa mitandao kadhaa na kusema kweli hali ni mbaya na ya kusikitisha sana. Kwa miaka kadhaa sasa, Serikali imejaribu mbinu mbalimbali za kubana uhuru wa watu kuongea. Siku za nyuma watu walikuwa wananyakuliwa kutokana na post zao. Lakini mbinu hiyo...
  2. U

    Njia kuu mbili zinazokuwezesha kupata mapacha

    Njia kuu mbili zinazokuwezesha kupata mapacha, kwanza ni jinsi ya kupata mapacha bila dawa au tiba yoyote na pili ni jinsi ya kupata mapacha kwa kutumia dawa au tiba maalum. Tukianza kuangalia njia ya kwanza, katika njia hii zipo sababu mbalimbali, kwanza ni umri; umri mkubwa wa zaidi ya miaka...
  3. SoC01 Siku zote hakuna njia za panya kwenye mafanikio: Kwa wote walio kata tamaa ya kufanikiwa soma hapa

    Hakuna njia panya ya kwenda mahali pa thamani. Ndugu zangu sikuzote mafanikio yanakuja kwa kujituma kwa bidii sana unatakiwa ujitoe ili ufanikiwe Mafanikio ni kutembeakutoka kutofaulu hadi kutofaulu bilakupoteza shauku. Ndoto zetu zote zinawezakutimia ikiwa tuna ujasiriwa kuzifuata,na siku...
  4. L

    SoC01 Njia mbadala ya Tozo ya Miamala ya Simu

    LUCAS MESHACK Hivi karibuni serikali kupitia Bunge lilipitisha sheria ya tozo katika mihamala ya simu kwa njia ya simu. Sheria hiyo ilitokana na mapendekezo ya Bajeti ya Serikali 2021/22 pamoja na sheria ya fedha ilipelekea kuweka tozo katika miamala ya fedha inayofanywa kwa njia ya simu, jambo...
  5. Kanuni 10 za kufuata kuongeza ukubwa wa uume kwa asili

    Ukubwa wa uume unategemea vitu kama kiwango cha mhemuko, muda, hali ya hewa na unashiriki tendo la ndoa mara ngapi. Si wanawake pekee ambao huwa bize kuona wanakuwa na maumbile mazuri na kwamba wanakuwa ni wenye kuvutia muda wote. Ni kawaida kukuta chumbani kwa mwanamke vipodozi vingi vya kila...
  6. SoC01 Njia Pekee ya Kuelekea mafanikio ni kufanya uwekezaji mkubwa katika ubongo wako vijana soma hii!

    Miaka kadhaa iliyopita nilipohitimu elimu ya Chuo Baba yangu yangu mzazi aliniita akaniuliza nikikupa milioni moja unaweza ukaifanyia nini ili uache kusubiri ajira! Kwaweli nilikosa jibu kwa muda ule nilikaa nimemuangalia tu, kisha nikamuomba anipe muda wa kutosha nimpe jibu, nilimwambia...
  7. SoC01 Njia pekee ya kuelekea Mafanikio ni kufanya uwekezaji katika Ubongo wako Vijana

    Miaka kadhaa iliyopita nilipohitimu elimu ya Chuo Baba yangu yangu mzazi aliniita akaniuliza nikikupa milioni moja unaweza ukaifanyia nini ili uache kusubiri ajira! kwaweli nilikosa jibu kwa muda ule nilikaa nimemuangalia tu, kisha nikamuomba anipe muda wa kutosha nimpe jibu, nilimwambia...
  8. SoC01 Tafakuri tunduizi tiba ya maendeleo

    TAFAKURI TUNDUIZI TIBA YA MAENDELEO UTANGULIZI Umewahi kujiuliza kwanini watu hugombana katika mijadala? Kwanini kuna migogoro kati ya nchi na chi, mtu na mtu ama jamii na jamii? Kwanini baadhi ya miradi ya kitaifa haikamiliki ama hukamilika kwa mashaka? Masuala yote hapo juu ni matokeo ya...
  9. Aliyeweka tuta kituo cha Maji njia ya Kimara-Ubungo na zile zebra nyingi kibaha high way alifikiria nini?

    Sometimes huwa nafikiria sana wabongo huwa tunawaza nini. Mfano 1. Tumeweka Ubungo flyover ili tuweze kupunguza msongamano wa magari kwenye taa za Ubungo...proposal imeandikwa vizuri kabisa Ela zikatafutwa na ikajengwa. Flyover imeanza kutumika ameibuka sijui Kanjanja gani ameenda weka matuta...
  10. P

    SoC01 Jamii ya sasa na njia za kukabiliana dhidi ya maambukizi ya virusi vya UKIMWI na ugonjwa wa UKIMWI

    Kwa jamii yetu ya Sasa ni ngum Sana kumtambua mtu anayeishi na maambukizi ya virusi vya ukimwi, au mgonjwa ukimwi kwa kumuangalia kwa macho ya kawaida bila kufanya vipimo vya kisayansi MAKUNDI AMBAYO YAPO HATARINI SANA KUPATA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI; 1. Watu wanao tumia madawa ya...
  11. L

    Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” lasaidia Afrika kuboresha miundombinu ili kupata maendeleo

    Huu ni mwaka wa nane tangu China itoe pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja”. Katika kipindi hicho, ujenzi wa miradi ya ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika kutokana na pendekezo hilo umepamba moto, na kusaidia nchi za Afrika kuboresha miundombinu ili kupata maendeleo ya uchumi. Hali...
  12. Kwa Picha: Mfundishe mwanao njia rahisi kabisa ya kuchora ndege

    🤗🤗🤗
  13. I

    Makambako: Njia ya treni yaharibika

    Wakuu, Kuna taarifa njia ya reli ya TAZARA imeharibika. no pictures please. Upuuzi huu na mwingine kama migao ya umeme tutaisikia sana baada ya Dr. Magufuli lakini tujue kama ambavyo Dr. Magufuli hakuishi milele basi na huyu aliepo hatoishi milele. Sisi Wananchi wa Tanzania hatutaki tozo bali...
  14. M

    Yanga msitolewe kwenye njia na mashabiki oyaoya, timu mnayo

    Kuna baadhi ya mashabiki oya oya na wale wa makoro koro FC wanataka kutumia mechi ya yanga ya jana kufungwa Kama kichaka cha kueneza propaganda ya kuwa yanga imesajili vibaya. Watu hao nafikiri hawako timamu kwenye masuala ya kuangalia timu kiufundi bali wanasukumwa na mihemuko aidha ya chuki...
  15. C

    SoC01 Njia zinazoweza kutumiwa na Serikali kupata mapato badala ya kuwakamua Watanzania kwenye tozo

    Serikali zote Duniani ni lazima ziwe na vyanzo vya mapato vya uhakika vya kuendeshea Serikali mapato hayo ni muhimu kwa sababu ndiyo yanayojenga barabara,yanayonunua silaha,yanayonunua madawa na kulipa mishahara na posho watumishi wa umma na wanasisa.Hivi karibuni kumeibuka mjadala kuhusu...
  16. Naipongeza Serikali kwa kufanikisha zoezi la ukusanyaji kodi za majengo kwa njia ya simu

    Habari wadau! Jana nimeweza kulipa kodi ya jengo kupitia simu ya mkononi baada ya kununua umeme kupitia luku yangu. Binafsi naipongeza sana serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia rais Samia Hassan,pongezi za kipekee ziende kwa waziri wa fadha Dr Mwigulu Lamack Nchemba Madelu...
  17. Njia zipi naweza kutumia ili simu yangu isiweze kudukuliwa?

    Hello waungwana kama kichwa cha uzi kisemavyo msaada tafadhari ningependa kujua ni njia zipi naweza kuzitumia ili niweze kujilinda na udukuzi. Iwe kwa njia iliyobora zaidi,iwe online au offline na ni niia zipi naweza gundua kuwa nadukuliwa..? Ni hivyo tu..
  18. Ajali Kimara Mwisho: Lori limezuia njia

    Wale wazee wa road trip ambao mmepanga kutumia barabara ya Morogoro. Wale wakazi wa kuanzia Kimara Mwisho kuelekea Mbezi Mwisho. Kuna ajali ya lori maeneo ya Kimara Mwisho usawa wa kituo cha BRT kiasi kwamba inalazimu magari yanayotoka mjini kutumia Lane ya BRT kuingilia Kimara Korogwe. Hivyo...
  19. Fahamu namna ya utegaji Nyuki ili waingie kwenye mzinga

    Kutega Mizinga ili iweze kuingia nyuki ni sehemu ya utalaamu unapaswa kufanyika kwa makini. Wafugaji wapya wengine wamekuwa wakitega bila kupata mafanikio kutokana na kukosa ujuzi, hapa ninawaletea namna ya kufanikisha utegaji na nyuki waweze kuingia ndani ya mzinga. Hatua za kufuata; 1. Chukua...
  20. Tozo za miamala ni njia ya kufidia pesa zinazokujenga miradi kama Burigi National Park na Ikulu Dodoma?

    Ingekuwa sawa kama ongezeko la tozo za miamala na mafuta kwa wanyonge lingelenga kwenda kununua meli kubwa za uvuvi ili tuvue kisasa kwenye kina kirefu, kununua matrekta kwa wakulima ili walime mashamba makubwa, kuchimba madini ya kimkakati kama chuma au kusambaza nishati ya gesi nchini ili watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…