njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    PostGE2025 Msemaji mkuu wa Serikali Gerson Msigwa awahakikishia watalii usalama na kupuuza taarifa potofu

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza na Vyombo vya habari leo Novemba 23, 2025 amewahakikishia watalii wote kutoka mataifa mbalimabali kuwa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inawakaribisha wote nchi yetu itabaki kuwa ya amani na wazi kupokea wote wanaowiwa kuja...
  2. Kinacho tafakarisha ni kuwa mtu wa kwanza kutufukishia hizi dini alikuja kwa njia ya kutunyonya na kututumikisha ila sasa leo tunavyo zishadadia 😔

    Leo tupo tayari kuua kwa sababu ya dini hizi ila babu yako alilazimishwa tena kwa mabavu na damu ili afate hio dini uliyo nayo sasa hivi sio kwamba ibadirishe maisha yake for good ila aendane sawa na master wake. WE CAN DO BETTER.
  3. Vizuizi havizuii maendeleo ya China, na ushindani wenye haki ni njia sahihi

    Tume ya Kutathmini Uchumi na Usalama wa Marekani na China, iliyoko chini ya Baraza la Mawaziri la Marekani, hivi karibuni imetoa ripoti ya kuhusu Mpango wa Maendeleo ya Sekta za Utengenezaji za China wa mwaka 2025. Ripoti hiyo inaona kuwa, baada ya juhudi za miaka kumi, uwezo wa uvumbuzi wa...
  4. Nawakumbusha viongozi wa Vyombo vya Dola: Utekaji unaoendelea baada ya kiini macho cha uchaguzi siyo afya kwa jamii, mnachochea moto

    Mimi najiuliza hivi ni kweli IGP wambura hana washauli wazuri wakumshauli namna bora ya utendaji kazi wa jeshi la polisi katika kutekeleza majukumu yake zaidi ya haya mambo yanayoendele ya utekaji baada ya kiini macho cha uchaguzi yaliyofanyika october29. ? Hawa viongozi hawajui kama kuendelea...
  5. Kila Mtaa/ Kijiji kiwe na Database ya wananchi wake hasa Vijana na Mikopo itolewe kwa njia hizo

    Habari Tanzania ! Nawaomba wenye Mamlaka kwa kuwa mmewaza kuanzisha Wizara rasmi inayohusu Vijana. Napendekeza mfumo mzuri wa kusaidia vijana hasa kuanzia ngazi ya chini wanakoishi. 1. Kila Kijiji/ Mtaa pawepo na Ofisi ya Vijana (Vijana Village/ Street Department). (Kata = Vijana Ward...
  6. PostGE2025 Njia ya Kurejesha Amani na Utulivu Baada ya Matukio ya tarehe 29–31 Oktoba 2025

    Tukio la mauaji na machafuko yaliyotokea nchini Tanzania tarehe 29–31 Oktoba 2025 limeacha jeraha kubwa katika taifa. Wananchi wengi wamepoteza imani, wengine wamepoteza ndugu, na nchi imeingia katika sintofahamu ya kisiasa na kijamii. Katika mazingira kama haya, kuendelea mbele kama kawaida...
  7. PostGE2025 "Kufreeze" kwa Vyombo vya Sauti za Umma: Hatari Iliyofichika Kwenye Njia Mbadala za Wananchi

    Hali hii imeonekana kwa uwazi nchini Tanzania katika miaka ya karibuni, ambapo baadhi ya vyombo ambavyo kiasili na kisheria vinavyopaswa kuwa mabega ya wananchi kama vile Bunge na vyombo vya habari vimeshindwa kuendeleza wajibu wao ipasavyo. Matokeo ya hali hiyo ni pamoja na kuziba kwa mianya...
  8. Njia liyotumika kudhibiti panya road nchini hiyohiyo itumike kudhibiti maandamano

    Wote tumeona Sasa panya road wanakuja kwa njia ya maandamano tunaomba wadhitiwe vikali haiwezekani mtu uishi kwa kuiba na kuharibu Mali za watu ambazo wamezipata kwa jasho Kali na Mali za nchi yetu wakati nguvu unayo. So mbinu iliyotumika kudhibiti panya road hyohyo itumike kudhibiti maandamano.
  9. M

    SADC yaitaka Serikali ya Tanzania kutafuta suluhisho la kumaliza kadhia inayoendelea kwa njia ya amani

  10. GE2025 Rais anachaguliwa na sio anajichagua yeye mwenyewe kinyume na Katiba. Jeshi kumpigia saluti ni uasi, yeye sio Rais wetu

    Rais anachaguliwa na sio anajichagua yeye mwenyewe kwa njia za kinyume na katiba jeshi kumpigia saluti ni uasi yeye sio rais wetu ni muhaini.
  11. Day 3: Tunaelekea Ikulu. Jamani njooni, njia ni nyeupe na tupo wa kutosha hakuna wa kutuzuia. Chakula kitakuwepo

    Mlio dar maelfu ya wananchi wanaelekea kuchukua Ikulu yao jitokezeni kwa wingi tuchukue nyumba yetu kwa mafisadi.
  12. Kwanini maandamano imekuwa njia mbadala ya kuondoa tawala za kifisadi kuliko mtutu wa bunduki?

    Dunia nzima sasa hivi, watawala mafisadi wanaondolewa na maandano ya wananchi. Ni kweli kuwa kuwa mamlaka ya kutawala yanatoka kwa wananchi. Lakini kwa nini watawala mafisadi duniani kote wanaogopa kuondolewa madarakani kwa maandamano ya wananchi waliochoka kuibiwa mali za umma kama huko Nepal!
  13. S

    Heche kufuata njia ya Mdude na Polepole

    Ikifika kesho Heche hajapatikana, atapotezwa na kusahaulika kama ilivyotokea kwa Mdude na Polepole. Mafwele kapewa maagizo mazito sana . Hutaki acha, sitoi codes.
  14. Tukasema ile njia hatupiti tena

    Naam mie ni muumini wa mambo ya kuipa nafsi raha kimwili na kiroho, Hapa na pale nikaenda kunako kijiji fedenge kumtembelea mchizi wangu wa kitambo toka shule ya Msingi, Huyu msela wangu naye ni muumini wa pombe za nafaka,,,basi mdogo mdogo tukawa tunaelekea kunako eneo la tukio. Tukaona...
  15. Msaada wa malipo kwa njia ya mtandao(Nimekatwa hela huduma sijapata na hela haijarudi)

    Habari wanajukwaa. Mnamo mwanzoni mwa September mwaka huu nilitengeneza kadi ya malipo ya mtandaoni(master card) kwa kutumia akaunti ya mix by yas. Kadi ile ilikuwa kwa ajili ya malipo ya ticket ya ndege kupitia kampuni ya uwakala ya ndege. Baada ya kutengeneza hiyo kadi nikafanya malipo, hela...
  16. M

    GE2025 Hata wakizima Mtandao tutawasiliana. Jinsi ya Kuwasiliana kwa Bluetooth, Kwa njia ya Mesh Network

    Tuna faida kubwa kuliko wakati wowote—ambayo ni mabadiliko ya teknolojia. Maandamano yatafanyika, hata wakizima mtandao au kuzuia SMS, bado tunaweza kujipanga na kutumiana ujumbe bila intaneti, bila Wi-Fi, bila SIM card. Leo nataka tujikite kwenye ujumbe wa nje ya mtandao (offline messaging)...
  17. Njia ya hamza ndo njia inayoeleweka kirahisi

    Mchana mwema Oktoba tunatiki
  18. Hili jengo pembeni ya ubalozi wa uturuki njia ya Coco beach ni la nini/Nani?

    Kwa sasa mafundi wanalipiga lipu nje ukutani limenivutia Sana Ila sijapata nafasi kusoma kibao kujua client ni Nani? Msaada wajuzi wa mambo ni ubalozi, apartment, msikiti, au nyumba ya mtu.
  19. Miamala ya fedha za kigeni Tanzania kwa njia ya Kadi za simu (Foreign Exchange Mobile Transaction)

    Habari Tanzania ! Naomba kuwapa changamoto Bank of Tanzania (BOT), Commercial Banks; Taasisi zote ndogo za fedha na Mitandao ya simu inayofanya miamala ya kifedha nchini. Kwanini pasiwepo na huduma ya kufanya miamala ya fedha za kigeni kwa njia ya mtandao ya simu, ili iwe fursa kwa Mtu au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…