njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Kumbe bado maandalizi ya ElNino yanaendelea, Tanga bado wanatengeneza njia za pembeni

    Lazima kuhalalisha namna mtakavyo gawana helà. Kweli bado kuna haja ya kutengeneza njia za pembeni ie service road kwa maandalizi ya El Nino?
  2. Q

    Gerson Msigwa: Tutatumia njia yeyote ile AFCON ifanyike Tanzania

    Naona maji yameanza kufika shingoni, walipewa hadi September kuonyesha utayari wa viwanja na miundombinu leo mwaka unakatika, walidhani 2027 ni mbali, wameanza kulaumu mitandao mwisho watalaumu wanaharakati kama kawaida yao. "Tunatumia njia yoyote itakayotuwezesha kuhakikisha AFCON inafanikiwa...
  3. NSSF namna ya kufanya madai kwa njia ya mtandao

    Kwa wale wenzangu na mimi tuliopoteza kazi lakini tuna chochote kitu . Tupite kwe wakuuu tuokote chochote kitu bila kuchoka Utaratibu ndio huo hapo chini Nikitoa nitarudi na mrejesho maaana ni week ya pili sasa napambana na mwajili wa mwisho afanye jambo
  4. Elimu inaweza kuwa njia ya kupata wateja

    Katika biashara, si lazima kila mara uanze kwa kuuza bidhaa au huduma zako. Wakati mwingine, njia bora ya kuvutia wateja ni kuwafundisha na kuwapa suluhisho la changamoto zao. Unaposhiriki elimu yenye manufaa kupitia mitandao ya kijamii, blogu au video: Unajenga uaminifu kwa wateja wako...
  5. Ulofa wa Jaji Ndunguru Huu Hapa: “Haiwezekani Lissu Akavuruga Uchaguzi kwa Njia za Amani”

    ULOFA WA JAJI NDUNGURU: ETI “HAIWEZEKANI LISSU AKAVURUGA UCHAGUZI KWA NJIA ZA AMANI” Napendekeza kuwa Jaji Ndunguru anasumbuliwa na ulofa wa kifalsafa, yaani, philosophical illiteracy, katika kipengele Cha falsafa inayochunguza uhusiano uliopo kati ya sababu na matokeo (etiology). Hoja yangu...
  6. F

    Pendekeza njia bora za kuhakikisha magari ya watekaji yanaondoa tinted haraka uwezekanavyo

    Mwalimu Nyerere alitembelea gari ambayo haikuwa na tinted glass, na alilindwa vyema tu. Kiongozi wetu lazima uonekane, hupasi kufichwa kama jambazi . Sasa Kuna watu wanatumia magari tinted, tena tinted glass zenyewe ni nzito hasa, Hadi tunajiuliza dereva aonaje akiendesha wakati wa usiku...
  7. Somo kutoka uchaguzi wa Marekani; "Tume huru ya uchaguzi ndiyo njia pekee itakayowafanya viongozi wawaheshimu wananchi"

    Moja wapo ya hoja alizowahi kuzitoa Baba wa Taifa Mwl. Nyerere kama sababu za kwanini nchi yetu ielekee kwenye mfumo wa vyama vingi ilikuwa ni hatari ya chama kuonea watu kinaposhika hatamu. Tafakari hii haihitaji PhD kuing'amua. Katika mazingira ambayo viongozi wa chama na serikali wanayo...
  8. U

    Taarifa Muhimu: Ili Democrats wamuondoe Trump madarakani kwa njia ya impeachment wanahitaji kura 67 za Maseneta

    Hamjamboni nyote? Nimeona nitoee taarifa hii mapemaa kuepusha mkanganyiko na sintofahamu. Basi nendeni kazini mkachape kazi
  9. MWAUWASA yasema Mteja anaweza kuomba huduma ya kuunganishiwa maji kwa njia ya Kidigitali, si lazima afike ofisini

    Baada ya Mdau kuandika hoja akieleza ~ MWAUWASA na urasimu unaofikia kiwango cha juu, ufafanuzi umetolewa kutoka kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA). MWAUWASA: Kuhusu suala la maunganisho mapya ya huduma ya maji, kwa sasa Mamlaka imeboresha zaidi na Mteja anaomba...
  10. Lema anasema njia ya chuki haitasaidia CHADEMA, kuing'oa ccm huyu jamaa ni kichaa, CHADEMA wasipende ccm ndo watatoboa? "Stupid"

    Hivi kuna chama kimepoteza wanachama kama CHADEMA?walio waua ni akina nani?leo hio lema unawambia CHADEMA watumie njia gani ili watibiwe? Umemsaau mke wa alifonsi mawazo? Mwanae unadhania wanaweza wapenda wana ccm? Mke wa Lissu na wanawe wanaweza kupenda ccm realy? Wewe umechangia njia ya kigese...
  11. L

    Rais Samia Aanza Kutandika Lami Ya Njia Nne Mkoa wa Mbeya Kwa Kasi ya Ndege Vita. CHADEMA Washinda Barabarani wakijipiga Picha Utafikiri Wahitimu

    Ndugu zangu Watanzania, Pesa Za Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,Nyota ya Matumaini na nuru ya Wanyonge. Anaendelea kubadilisha sura na muonekano wa jiji la Mbeya Kwa...
  12. M

    Lema: CHADEMA tubadili mbinu, njia ya chuki haitusaidii

    "Njia ya mbele hii ni ngumu kuliko hii ya sasa ila wananchi wanaweza kuzuia hiyo njia isiwaumize viongozi wao, wananchi wako tayari? Sasa nikizungumza hivyo kwenye mikutano wanaanza ooh Lema umeanza kuwa muoga, sio kuwa kuoga pengine nimeanza kuwa na hekima, nimegundua kuwa njia ya chuki...
  13. TANROADS yafungua njia 106 za pembezoni mwa mradi wa ujenzi wa barabara ya njia nne Nsalaga - Ifisi

    Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Mbeya umeanza kutekeleza maelekezo ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, kwa kufungua maeneo na njia 106 za pembezoni mwa mradi wa ujenzi wa barabara ya njia nne kutoka Nsalaga hadi Ifisi, hatua inayolenga...
  14. Tanzania na Angola Kukubaliana Kuunganisha Reli Zao, Kufungua Njia ya Usafirishaji Kati ya Bahari ya Atlantiki na Hindi

    Tanzania na Angola zimekubaliana kuunganisha mitandao yao mikubwa ya reli ili kutengeneza njia ya usafirishaji inayovuka bara la Afrika na kuunganisha Bahari ya Atlantiki na Bahari ya Hindi. Makubaliano hayo yametangazwa na Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na Rais wa Angola...
  15. RESOLVED Haya hapa maboresho ya njia mpya ya Mabasi ya Mjini (Daladala) kwa Dar yaliyofanywa na LATRA

    MABORESHO NA NJIA MPYA ZA MABASI YA MJINI (DALADALA) KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM Dar es Salaam 20 Oktoba, 2026 Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) katika hatua ya kuboresha upatikanaji wa huduma ya usafiri wa abiria inatangaza maboresho katika baadhi ya njia pamoja na uanzishaji wa...
  16. Siasa za kitapeli tuziache, Mnyika nakukubali sana Ila kusema tugome kula wakati tunakula si njia sahihi

    Why doth CHADEMA perpetually resort to jocularity in matters of fundamental import? Ye remain passive, not active! It is meet and proper for Lissu to abstain from nourishment, yet for us without to engage in a hunger strike is devoid of significance. We ought to proceed unto the penitentiary...
  17. Ninepikiwa mboga ya majani ya magimbi, Ngara, wanaita IBITEKETEKE, nimewashwa sana hasa wakati wa kupata haja kubwa njia yote inawaka moto

    Ibiteketeke, mboga ya majani ya magimbi yaliyokatwakatwa. Ni matamu lakini yanawasha sana mdomoni. Nilikuka jana usiku. Muda huu natoka chooni, nimepata choo kwa mateso makali sana, njia nzima ya haja kubwa inawasha na kuwaka moto Wahangaza hii kitu msirudie tena kuwapa wageni. Mnawatesa.
  18. Kujengwe barabara ya njia sita kuanzia chalinze mpaka kibiti na kisarawe

    Ukitaka kwenda kibiti na au mikoa ya kusini na unatokea morogoro au mikoa ya kaskazini na unataka kwenda lindi au mtwara au rufiji basi itakulazimu kwenda mpaka dsm ndo uende mikoa ya kusini rufiji, lindi na mtwara Hii inconvinience ni kwa sababu kuanzia chalinze mpaka kibiti hakuna barabara ya...
  19. K

    Kuna Njia ya Kuigeuza Haramu Kuwa Halali?

    Samia na wengine wote wanaomhangaikia ili serikali yake na utawala wake uonekane kuwa halali ni muhimu waelewe hili: Kwamba hakuna njia yoyote inayoweza kugeuza Haramu na kuifanya Halali.. Tume za akina Chande na Lila hazina uwezo huo; na wala kuendelea kukandamiza wapinzani na kuwafungulia...
  20. M

    KERO Bodaboda na bajaji standi mpya ya Kigoma zinatumia njia za waenda kwa miguu, jambo hatari hili

    Bodaboda na bajaji katika eneo la Stendi Mpya ya Kigoma zimekuwa zikitumia njia za waenda kwa miguu kukwepa taa za barabarani, hali inayosababisha uharibifu wa taa za pembeni mwa barabara na wakati mwingine ajali. Watembea kwa miguu tunasikitishwa na tabia hiyo, tunakitaka madereva wa bodaboda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…