nishati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) limeelezea wasiwasi mkubwa kuhusu kituo cha Nuclear cha Isfahan

    Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) limeelezea wasiwasi mkubwa kuhusu Kiwanda cha Kuongeza Mafuta cha Isfahan cha Iran, kilichotangazwa mnamo Juni 2025 lakini hakikukaguliwa kamwe. Kulingana na ripoti ya siri, shirika hilo haliwezi kubaini eneo halisi la kituo hicho, hali ya...
  2. Waandishi wa habari watakiwa kuibua suluhisho la nishati safi ya kupikia

    Waandishi wa habari nchini wamemetakiwa kuandaa habari za kina zinazoibua changamoto zinazowakabili wananchi katika kuanza na kuendelea kutumia nishati safi ya kupikia, ikiwemo gharama, usalama wa vifaa, upatikanaji na usambazaji. Wito huo umetolewa Novemba 13, 2026, na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa...
  3. Rais Samia akamilisha ujenzi wa kituo cha nishati jadidifu ATC wafikia asilimia 99

    Ujenzi wa Kituo cha Umahiri cha Nishati Jadidifu katika Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) umefikia asilimia 99, kikiwa na mtambo wenye uwezo wa kuzalisha megawati 1.6 za umeme. Mradi huo unatarajiwa kukamilika Desemba 2026 na kuunganishwa na Gridi ya Taifa kupitia TANESCO, hatua inayolenga kuimarisha...
  4. H

    Tunapaswa kutoa kipaumbele zaidi suala la kutafuta ufumbuzi wa nishati safi ya kupikia na hasa katika kipindi hiki cha mpito - Mhe. Dkt. Mwigulu Lamec

    Tunapaswa kutoa kipaumbele zaidi suala la kutafuta ufumbuzi wa nishati safi ya kupikia na hasa katika kipindi hiki cha mpito - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amesema hayo Oktoba 28, 2026 wakati akizungumza kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu...
  5. Endesha kwa Umeme, Nishati Safi na Nafuu zaidi Barabarani.

    Umeme wa Kuchaji tunao lakini kupaa, paa "at your own risk." Endesha kwa Umeme, Nishati Safi na Nafuu zaidi Barabarani.
  6. Nishati NAFUU ni ipi katika Biashara yangu

    Wana JF habari, Nina biashara yangu ya chips. Natumia mkaa kukaangia viazi na gas kuchomea chips, Nina mpango wa kununua gas deep fryer kwaajili ya kukaangia viazi. Swali ni je deep fryer ipi ni NAFUU kwa matumizi ya nishati yake(NB sio unafuu wa bei ya deep fryer) kati ya fryer ya umeme na...
  7. L

    Ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye sekta ya nishati mpya wahimiza maendeleo ya Afrika

    Katika majira ya joto ya mwaka huu, sehemu kubwa ya eneo la kaskazini mwa dunia ilikuwa na joto kali kiasi kwamba katika baadhi ya maeneo barabara ziliyeyuka, misitu iliwaka moto, watu walipoteza maisha na hata kuyumbisha baadhi ya mifumo ya nishati. Hali hii imekumbusha tena umuhimu wa...
  8. Morogoro yafungukiwa fursa mpya za nishati

    Kituo cha Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG) kinachopangwa Morogoro kinafungua fursa mpya katika sekta ya usafirishaji, kwa kuwezesha magari na vyombo vingine kutumia nishati mbadala yenye gharama nafuu na rafiki kwa mazingira. Serikali kupitia TPDC imepanga kuweka kituo cha CNG katika eneo la...
  9. TANGA: KITOVU KIPYA CHA NISHATI

    Chini ya uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, uwekezaji wa takribani USD bilioni 20 unaiweka Tanga katika nafasi muhimu ya kuwa kitovu cha nishati, ukifungua fursa za ajira, kukuza biashara na viwanda, kuongeza mapato ya taifa na kuimarisha zaidi Bandari ya Tanga.
  10. Mafanikio Sio Pesa, Ni Nishati Unayotoa

    Katika kitu najifunza siku za hivi karibuni ni kuwa mafanikio hayaji by chance. Kuna namna Mungu amemcraft kila kiumbe kutokana na uwezo wake, but we humans have a free will. Na huu ndo mtego, the will to think we can manipulate reality, vijana wengi wanahisi mafanikio ni kuwa na hela bank...
  11. Uzinduzi wa JNHPP: Tanzania Kilele cha Nishati Afrika

    Tanzania inasimama tena kwenye kilele cha mafanikio makubwa ya kiuchumi na kiufundi barani Afrika huku taifa likijiandaa kwa ajili ya uzinduzi rasmi wa mradi mkubwa wa kimkakati wa kuzalisha umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHPP) huko Rufiji Jumamosi hii. Kila Mtanzania mwenye uzalendo...
  12. A

    KERO Responded Serikali inahamasisha matumizi ya nishati safi lakini gharama zake zipo juu sana

    Ninaomba kufikisha kero yangu kwa Waziri wa Nishati. Serikali inahamasisha wananchi kutumia nishati safi kama gesi na umeme ili kupunguza matumizi ya mkaa na kulinda mazingira, lakini gharama za nishati hizi bado ni kubwa kwa wananchi wengi. Gesi nayo imekuwa na bei ya juu, mtungi mdogo...
  13. Kiumbe kinachokula nishati yako (The Pain-Body)

    Uliwahi kugundua kuwa kuna siku unaamka ukiwa na furaha na amani tele, lakini ghafla baada ya saa chache labda kwa sababu ya neno moja dogo uliloambiwa, au wazo moja tu baya lililopita kichwani unajikuta unadondokea kwenye giza nene la hasira, huzuni, au unyonge ? Hiyo hali haitokei kwa bahati...
  14. Kifo Ni Udanganyifu? Nishati

    Post hii imebase kwenye science na sio kwa ajili ya kudhihaki kifo.. So naomba sana mzingatie hili. As we all know everything is energy. That tukiivunja matter tu nakutana na simplest particles ambazo Zina beba charge... So since kila kitu in this physical universe is made up of particles...
  15. Uchumi, Elimu, Nishati: Nguzo za Maendeleo Tanzania

    Singapore imepita katika njia ile ile ambayo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anaiongoza Tanzania leo kwa kuwekeza katika uchumi, elimu na nishati kama nguzo za maendeleo ya Taifa.
  16. Msigwa: Bwawa la Kidunda ni mradi wa kimkakati kwa Maji, Kilimo na Nishati

    ‎ ‎Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndugu Gerson Msigwa, ameipongeza Wizara ya Maji kwa usimamizi madhubuti wa ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda, akieleza kuwa mradi huo ni miongoni mwa miradi mikubwa ya kimkakati Nchini inayotarajiwa kuleta mageuzi makubwa katika sekta ya maji, kilimo, nishati na...
  17. Tanzania Kuelekea Nishati ya Nyuklia

    Tanzania inaendeleza nishati ya nyuklia kama sehemu ya mkakati wake wa muda mrefu wa kubadilisha vyanzo vya nishati na kuunga mkono ukuaji endelevu wa uchumi. Ili kuongoza juhudi hizi, tumeandaa mpango kabambe wa kitaifa wa maendeleo ya nishati ya nyuklia ili kuongeza uwezo wa megawati 1,200 za...
  18. Tanzania: Kituo cha Nishati na Usafirishaji Afrika Mashariki

    Tanzania tuna LNG project yenye potential ya kubadilisha uchumi wa taifa kwa kiwango kikubwa sana, halafu watu wanataka tuwe desperate kwa sababu Dangote anaweza kwenda kujenga refinery Kenya? Tanzania tayari ina: 🇹🇿LNG project, 🇹🇿EACOP 🇹🇿Bandari za kimkakati 🇹🇿SGR 🇹🇿matenki ya mafuta...
  19. Nimechoka kukimbizana na wanawake, ni process inayokula nishati na mentallity yangu, nifanyeje kuikamilisha hatua hii ?

    LUST ni zimwi hatari sanaa aiseee Kosa nione mdada mwenye makebo makubwa, lazima nihakikishe natafuna jagina yake. nimekula malaya na wadada wa kutosha, Nimepoteza pesa, Love triangles za kutosha, Imeathiri mahusiano yaliyo serious, Pesa zimetililka for stupid reasons aisee, Wanawake...
  20. L

    Vita nchini Iran vyaibua swali kuhusu usalama wa nishati duniani, na vinu vya upepo mjini Pingtan vimetoa jibu la China

    Kwenye mapumziko ya siku ya Mei Mosi, kwenye fukwe za Pingtan, mji uliopo kusini mashariki mwa China kulijaa watalii wengi. Vinu vikubwa vya upepo vyeupe vimesambaa kando ya ukanda wa pwani wa kilomita 5, mapangaboi yake makubwa yanazunguka polepole katika upepo. Hata hivyo, wakati watalii hao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…