nigeria

  1. JamiiForums Tanzania Bondia wa Nigeria Gabriel Olanrewaju Amefariki Baada ya Kuanguka Wakati wa Pambano la Uzani wa juu Nchini Ghana

    Oluwasegun, bingwa wa zamani wa kitaifa na Afrika Magharibi katika daraja lake la uzani, alipoteza fahamu katika raundi ya tatu ya pambano lake la Ligi ya Ndondi ya Kulipwa ya Ghana dhidi ya bondia wa Ghana Jon Mbanugu kwenye Uwanja wa Ndondi wa Bukom mjini Accra siku ya Jumamosi Mamlaka ya...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Requirements For Starting a Business in Nigeria as a Foreigner in 2025

    For foreign investors looking at Nigeria's growing economy, here's what you need to know about company registration in Nigeria in 2025: Key Facts: Processing time: 5-7 working days (faster options available) 100% foreign ownership allowed Minimum capital: ₦100 million (~$62,500) for...
  3. JamiiForums Tanzania Magaidi wenye mlengo wa uislamu wavamia kambi la jeshi Nigeria

    Magaidi wa ISWAP wakishirikiana na Boko Haram, wote wenye mlengo wa uislamu wavamia kambi ya kijeshi na kufanya maafa kule Nigeria. Hawa ISWAP sikua nawajua, duh yaani mwezi wao mtukufu ndio huwa na ushetani mara kumi......mpinga Kristo katika ubora wake. ========================== Suspected...
  4. JamiiForums Tanzania Duniani kuna mengi: Mwanamke aongea sauti tano tofauti, kwa wakati mmoja!

    Ota, Nigeria – Waumini katika ibada ya Jumapili walishuhudia tukio la kushangaza na lisilo la kawaida kanisani, baada ya mwanamke mmoja kuanza kuongea kwa sauti tano tofauti wakati wa ibada. Mwanamke huyo aliletwa na ndugu zake kanisani hapo baada ya kuonyesha tabia zisizoeleweka kwa muda...
  5. JamiiForums Tanzania Sakata la Simba ni sawa na lile la Nigeria dhidi ya Libya. Yanga msiende CAS.

    Timu ya Taifa Nigeria ilikataa kucheza na timu ya Taifa ya Libya, kisa hawakupokelewa vizuri na wenyeji wao. Kamati ya nidhamu ya CAF ikawazawadia Nigeria pointi tatu. Sasa hili sakata la Nigeria na wale mabaunsa wa Yanga tofauti yake ni ipi? Nashauri Mzee Magoma awazuie Yanga kwenda CAS.
  6. JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi azungumza na makamu wa rais wa Nigeria

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa kwenye picha ya pamoja na Mhe. Kashim Shettima Mustapha, Makamu wa Rais wa Nigeria, walipokutana Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek, nchini Namibia, mara baada ya mazishi ya Rais wa Kwanza wa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Naima Omary anashikiliwa na polisi Uganda kufuatia kifo cha Mchezaji wa Nigeria Abubakar Lawal

    Jeshi la Polisi nchini Uganda linamshikilia Mtanzania Naima Omary kufuatia kifo cha Mchezaji soka wa Kimataifa wa Nigeria Abubakar Lawal (39) aliyekuwa anaichezea Vipers SC ya Uganda. Naima anashikiliwa kwa uchunguzi kwakuwa alikuwa Mtu wa mwisho kukutana na Lawal February 24,2025 kabla ya...
  8. JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha raia wengi wa Nigeria kuwa matapeli wa kimataifa waliokubuhu duniani?

    Raia wengi wa Nigeria wamekuwa wakihusishwa na utapeli kila kona ya dunia kuanzia nchi za Africa, Uarabuni, Ulaya hadi Marekani. Kwa nini Nigeria imekuwa ikizalisha matapeli wengi hivi wa kimata8fa tofauti na nchi nyingine za Africa?! Utapeli ni kama kipaji huko Nigeria?!
  9. JamiiForums Tanzania Husda: Dada( Graduate) huko Nigeria, alishwa sumu na rafikiye ( mfanyakazi mwenzake) Kwa sababu kapandishwa CHEO kazini.

    Huyu Dada( Marehemu) alikuwa na Masters. Na rafikiye ana Masters pia. Walikuwa wanafanya Kazi idara moja. Huyu Dada Marehemu akapandishwa cheo. Rafiliye Kwa sababu ya wivu akamuweka sumu kwenye chakula ili afe. Na huyu alie fanya hivyo ni msomi mwenye Masters.. This means what? Elimu ya...
  10. JamiiForums Tanzania Nigeria: Watu watano wahukumiwa kunyongwa kwa kosa la kumuua Mwanamke waliyedai ni Mchawi

    Five men have been sentenced to death by hanging in Nigeria's Kano state for the 2023 murder of a woman they accused of witchcraft. The convicted men attacked Dahare Abubakar, 67, as she was working on her farm, beating and stabbing her to death. Ms Abubakar's family went to the authorities...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akutana na Rais wa Nigeria

    Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, kwa nafasi yake ya Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Ubia wa Elimu Duniani (GPE) amekutana na Rais wa Nigeria kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Taasisi hiyo na Nigeria. Rais mstaafu Kikwete amemweleza nia ya Taasisi hiyo kutaka kuiomba Nigeria kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania King Kiba apewa Tuzo ya heshima nchini Nigeria

    NXT Honors kutoka nchini Nigeria imemtangaza rasmi nguli wa muziki na Mfalme wa Bongo Flava Alikiba, kama mshindi wa Tuzo ya Heshima ya Maisha ya 2024, na kumfanya kuwa mtu wa kwanza asiye Mnigeria kupokea heshima hii kubwa. AliKiba ametajwa kama msanii mwenye mafanikio akiwa na zaidi ya miongo...
  13. JamiiForums Tanzania Vifo Nigeria Baada ya watu Kukanyagana Kukimbilia Posho la Krismasi

    Idadi ya vifo kutokana na kukanyagana wakati wa hafla mbili za kutoa misaada ya Krismasi nchini Nigeria imeongezeka kutoka 13 hadi 32, polisi walisema Jumapili. Waathiriwa, wakiwemo watoto wasiopungua wanne, walianguka wakati wa msongamano wa watu huku watu walipokuwa wakihitaji chakula huku...
  14. JamiiForums Tanzania List y Ramani z Nyumba Zaidi y 450 Unazoweza Jenga TZ na Makadirio Gharama Yake (Nafuu, Kawaida, Bungalow, Ghorofa, Pangisha) Tanzania, Kenya, Uganda

    List hii ya nyumba 400 ambazo unaweza jenga... Vyumba 1, 2,3,4,5... Nyumba za gharama nafuu, kawaida za familia, bungalow, maghorofa, za kupangisha Mwaka Usiishie huja sogea mbele japo hatua moja kati ujenzi wako Piga/WhatsApp: +255-657-685-268 Siwezi Weka Details Zote hapa za nyumba 450 na...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Muujiza wa Nigeria ulivyoishangaza sayansi.

    Mnamo mwaka 2010, wanandoa wa Nigeria waliokuwa wakiishi Uingereza, Ben na Angela Ihegboro, walipata mtoto wao wa kike aliyeitwa Nmachi, aliyezaliwa akiwa na nywele za rangi ya dhahabu, macho ya bluu, na ngozi nyeupe, licha ya Ben na Angela wote kuwa na asili ya Nigeria na kutokuwa na historia...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Muujiza wa Familia ya Nigeria ulivyoishangaza Sayansi

    Mnamo mwaka 2010, wanandoa wa Nigeria waliokuwa wakiishi Uingereza, Ben na Angela Ihegboro, walipata mtoto wao wa kike aliyeitwa Nmachi, aliyezaliwa akiwa na nywele za rangi ya dhahabu, macho ya bluu, na ngozi nyeupe, licha ya Ben na Angela wote kuwa na asili ya Nigeria na kutokuwa na historia...
  17. JamiiForums Tanzania Davido kaikataa Afrika na nchi yake Nigeria

    Msanii maarufu wa Afrobeats, Davido, ameibua gumzo baada ya kutoa tahadhari kali kwa Waafrika walioko ughaibuni na Wamarekani Weusi wanaopanga kuhamia Afrika. Katika mahojiano ya hivi karibuni kwenye podcast ya Big Homies House, Davido alisema wazi kwamba hali si shwari barani Afrika, hasa...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo CEO wa Capital Oil alivyorudishwa nchini Nigeria

    Hivi ndivyo CEO wa Capital Oil alivyorudishwa Nchini Nigeria, Sio kwenye Private Jet yake anayoimiliki wala sio kwenye Business Class ya Commercial Airline bali maiti yake imerudishwa kama Cargo kwenye Ndege. Funzo Tukumbuke kuishi na watu vyema tukiwa hai,haijalishi upo levo Gani ya...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Jana: Nigeria 1-2 Rwanda, Ghana 1-2 Niger Kwanini mnakuwa wazito kuamini Tanzania anashinda leo

    Hivi wasiwasi unatoka wapi, Huyo Guinea Alikaa mchezo wa kwanza akiwa kwao.. Mpira ndugu zangu umebadirika pakubwa.. Mlitegemea Comoro angeweza kufuzu kwa kuongoza kundi mbele ya Giant Tunisia.. Mlitegemea jana Rwanda kuifunga Nigeria kwake na kufikisha alama 8 sawa na Benini. Naomba tuwe...
  20. JamiiForums Tanzania Karibuni Namibia itakuwa kama Kenya, Sudan, Nigeria, South Africa, DRC, Somalia, Ethiopia n.k

    Hizo nchi inajulikana wananchi wao hawaogopi vyombo vya usalama, wapo tayari kupambana hata na wanajeshi au polisi pale wanapoona hawatendewi haki. Kenya tumetoka shuhudia juzi hapa vijana wadogo wanaingia bungeni na kuchoma bunge. Nilichogundua kumbe serikali nyingi za Africa ndizo chanzo cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…