nigeria

  1. M

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya shilingi bilioni 100 zilipatikana nyumba mojawapo ya mkuu wa usalama wa taifa Nigeria, alifukuzwa kazi bila hukumu, bado anafaidi maisha

    Viongozi wa Afrika kwenye mali za umma wawekewe restrictions kali kwasababu default settings wanawaza UPIGAJI Mnamo Aprili 2017, Taasisi ya kupambana na rushwa wa Nigeria iligundua kiasi kikubwa cha fedha taslimu katika ghorofa moja eneo la Ikoyi, Lagos, takribani dola milioni 43 za Marekani...
  2. JamiiForums Tanzania FT Nigeria 2-1 Tanzania| AFCON 2025| Group Stage| Group C| Match 1 of 3|

    Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inaendelea kukumbwa na wakati mgumu nchini Morocco baada ya kuruhusu bao moja hadi kufikia dakika ya 40 ya kipindi cha kwanza katika mchezo dhidi ya Nigeria. Ikumbukwe kuwa msafara wa Taifa Stars unaongozwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Show ya Diamond na Jux Nigeria imebuma, spana na utu, spana ziendelee

    Katika Hali ya kushangaza watu wamejiuliza hivi wanigeria nao wamesusa? Ukitoa waandishi wa habari, na familia ya mke wa jux uwanja unabaki holaaa Yani unaweza hata wahesabu, na ukagawa chai na vitumbua vinne na bado ukarudi navo. Muheshimiwa waziri na msemaji wetu girishoni tunaomba show...
  4. JamiiForums Tanzania Farouk Ahmed, CEO wa Mamlaka ya Udhibiti wa Sekta ya Mafuta ya Petroli ya Kati na ya Chini ya Nigeria ajiuzulu

    Farouk Ahmed, Mtendaji Mkuu (CEO) wa Mamlaka ya Udhibiti wa Sekta ya Mafuta ya Petroli ya Kati na ya Chini ya Nigeria (NMDPRA), amejiuzulu
  5. JamiiForums Tanzania Facts about Africa: Four countries dominate every sector - Nigeria, South Africa, Morocco & Egypt

    (1) Largest country in Africa by land mass - Algeria πŸ‡©πŸ‡Ώ 2) Largest country in Africa by population - Nigeria πŸ‡³πŸ‡¬ 3) Largest movie industry in Africa - Nigeria πŸ‡³πŸ‡¬ 4) Largest democracy in Africa - Nigeria πŸ‡³πŸ‡¬ 5) Richest Black man - Nigerian πŸ‡³πŸ‡¬ 6) Richest African woman - Nigerian πŸ‡³πŸ‡¬ 7) largest...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi Nigeria ajiuzulu kufuatia hali ya usalama na Matukio ya Utekaji

    Waziri wa Ulinzi wa Nigeria, Mohammed Badaru Abubakar, amejiuzulu mara moja kutokana na sababu za kiafya, Ikulu ya nchi hiyo imethibitisha Jumatatu. Hatua hii imekuja wakati taifa hilo likikumbwa na msururu wa matukio ya utekaji wa watu, hasa wanafunzi, yaliyosababisha Rais Bola Tinubu kutangaza...
  7. JamiiForums Tanzania Nigeria: Matukio ya utekaji bado ni mwiba kwa wananchi

    Afrika taabu sana aisee! Watu wenye silaha wamevamia Kijiji cha Chacho kilichopo jimbo la Sokoto, kaskazini magharibi mwa Nigeria, na kuwateka Wanawake 13, akiwemo mtoto mdogo.Utekaji huo ulitokea usiku wa Novemba 29, na umeongeza hofu miongoni mwa wakazi kutokana na ongezeko la matukio ya...
  8. JamiiForums Tanzania Trump aahidi kuwalinda Wakristo nchini Nigeria!

    Rais Donald Trump (Mungu ambariki sana) amesema atatumia US military might kulinda Christians wanaouliwa na muslim jihadists nchini Nigeria. God Bless D.Trump ... β€”β€”β€”β€”β€” Christianity is facing an existential threat in Nigeria. Thousands of Christians are being killed. Radical Islamists are...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba kuna Mauaji ya Kimbari ya Wakiristo yanaendelea Nigeria

    Ni muda mrefu sasa maskini wawatu, wakiristo wa Nigeria wamekuwa wakichinjwa na Waislamu wenye Siasa Kali huko Nigeria katika maeneo ya kaskazini na kwa siku za karibuni Central Plateau States. Kibaya zaidi Serikali ya Nigeria hasa baada ya kuingia madarakani the Islamist Muhammad Bhukhari...
  10. JamiiForums Tanzania Aggy Baby Aibuka mshindi wa Tuzo Nigeria, je kwa vigezo gani?

    Msanii Agness Suleiman maarufu kama Aggy Baby, ameibuka mshindi wa Tuzo ya Muigizaji Bora wa Kike wa Mwaka 2025 katika Achievers Awards International zilizofanyika nchini Nigeria, kutokana na mchango wake katika sanaa na huduma kwa jamii. Tuzo hiyo imeelezwa kuwa ni alama muhimu ya ushirikiano...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa nini mauaji ya kimbari ya Wakristo Nigeria na DRC hayapewi uzito mkubwa kama Gaza?

    Maelfu ya Wakristo wameuwawa Nigeria kwa miongo miwili mfululizo na magaidi wa Boko Haram lakini hakuna kelele kubwa katika vyombo vya habari Africa wala popote duniani. Huko DRC magaidi wanachinja watu lakini hakuna kelele. Maisha ya Waafrika hayana thamani kama ya Waarabu na Wazungu?!
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Nigeria Waandamana Kudai uwakilishi wa Viti Maalum Bungeni. Wanawake Watanzania mko wapi?

    Nauliza wanawake wa Bongo mko wapi kudai mabadiliko kwenye masuala ya uongozi? Mmezubaa sana jamani. Em jitahidini. Hili la Nigeria liwe funzo kwenu ===== Leo Septemba 22, 2025 Mamia ya wanawake waliandamana jijini Abuja, mji mkuu wa Nigeria, wakishinikiza kupitishwa kwa muswada...
  13. JamiiForums Tanzania Naamini kuna mamlaka zinazohakikisha kile kinachopaswa kuzungumzwa ni Palestine pekee huku maeneo kama Sudan, Syria, Nigeria kaskazini, etc.. kimya

    Jeshi la houthi lisababisha vifo ya mamilioni ya watoto huko yemen na kuacha utapia mlo ambao upo hadi leo unatesa watoto. Jeshi la ISIS liliwateka wanawake wa kisyria na iraq na kuwageuza watumwa wa kingono na wengine kuwauza kwa watu wengine. Jeshi la boko haram limesababisha chaos nigeria...
  14. JamiiForums Tanzania Siku hazirudi nyuma: Naikumbuka sana hii Nigeria. Nalia kwa uchungu

    Ya akina Daniel Amokachi, Emmanuel Amunike, Babangida, Rashid Yekin, Emmanuel Okocha, Taribo West, Uche Ukwechuku, George Finidi, Sunday Oliseh, Samson Siasia, Victor Ikpeba, Peter Rufai, Peter Rufai,.... Huwa napowakumbuka hawa jamaa naenda room najifungia nalia sana. Nalia , kisha nalia na...
  15. JamiiForums Tanzania si kweli kuwa Nigeria ndio taifa lililoelimika zaidi barani Afrika

    Mnano agosti 24 2025 kumekuwa a chapisho ambalo linasambaa kwenye mitandao ya kijamii hasa facebook likieleza kuwa taifa la Nigeria ndio taifa ambalo limeelika zaidi huku likifuatiwa na mataifa kadha wa kadha barani afrika …. kando na halo chapisho hilo linasomeka kuwa nchi zilizoelimika zaidi...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Anga la Nigeria limewaokoa watu 76 waliotekwa nyara

    Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Mamlaka Agosti 23, 2025, Jeshi la Anga la Nigeria limewaokoa watu 76 waliokuwa wametekwa nyara, wakiwemo wanawake na watoto, baada ya kufanya shambulio la angani kwa usahihi kwenye ngome ya majambazi katika jimbo la Katsina Kaskazini Magharibi. Operesheni...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 State Capture: Kuna tofauti ndogo sana kati ya hawa wawili. Imeichukua Nigeria miongo karibu 2 kupona, sijui Tanzania itakuwaje?

    HAKUNA JIPYA CHINI YA JUA Wote ni Wanajeshi waliokulia Jeshini na kuingia kwenye uongozi wa kisiasa. Wote walitengeneza mitandao ya Kimafia iliyoamua nani awe nani kwenye Mataifa yao kwa miaka mingi. Wote wana sifa moja. Ongea ya bashasha, kucheka na wewe usoni ukiwa hujui wanakuwazia nini...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi maisha ya Nigeria yakoje?

    Kuna mtu wangu wa karibu anaenda safari Nigeria. Ningependa kujua maisha ya huko yakoje kuanzia usalama,social life,vyakula na mambo mengine ya msingi.
  19. JamiiForums Tanzania Kisa cha tapeli aliyeuza uwanja wa ndege Nigeria

    πŸ›« Emmanuel Nwude: Mtu Aliyewauzia Wazungu Uwanja wa Ndege Ulio Hewa Katika historia ya dunia, matapeli wengi wamejaribu njia mbalimbali za kujipatia mali kwa ujanja. Lakini ni wachache sana waliowahi kufanikisha kile alichokifanya Emmanuel Nwude, raia wa Nigeria ambaye alitapeli benki kubwa ya...
  20. JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa zamani wa Nigeria, Muhammadu Buhari, afariki dunia

    Rais wa Nigeria Bola Tinubu ametangaza kifo cha Rais wa zamani Muhammadu Buhari, ambaye amefariki Jumapili mjini London baada ya kuugua kwa muda mrefu. Licha ya tangazo hilo familia ya Mohamed nayo imethibitisha kifo hicho cha Raisi huyo Baada ya taarifa hiyo Makamu wa Rais Kassim Shettima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…