NIDHAMU YA FEDHA NDIYO NGUZO YA UHURU WA MAISHA
“Yule asiyejua kutumia pesa, atakuwa mtumwa wa pesa.”
— Seneca
Maisha ya mwanadamu hayajengwi kwa ndoto pekee, bali kwa nidhamu ya kila siku. Moja ya maeneo yanayomfunga mtu bila yeye kujua ni fedha. Wengi hupata kipato, lakini wachache hujua...