MwenyekitI wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM), Fadhili Maganya amewaonya watu wanaotishia kuwa watakata majina ya wagombea wa nafasi ya Ubunge na Udiwani, kwakuwa hawana mamlaka.
Kauli hiyo aliitoa juzi Mkoani hapo wakati akizungumza na wanachama wa CCM, kabla ya chama kutoa...