nia

  1. Q

    Mahakama: Tunaona ushahidi upande wa mashitaka haujakidhi kuonyesha nia ya uhaini

    Jaji Ndunguru: Tumeangalia kauli zilizotolewa na mshtakiwa na tumeona kuwa hakuna ushahidi wa moja kwa moja hatujaona kuwa mshtakiwa alilenga kuitishia Serikali, tumeangalia tafsiri ya shahidi wa 1,2 na 16 tumeona ni assumption haziwezi kuthibitisha kuwa mshtakiwa alilenga kuitishia Serikali...
  2. S

    Anaweza kuwa alikuwa na nia nzuri, lakini lazima Lema atambue kwamba yuko "naive" na alichokuwa akifanya ni "presumptuousness" na "insubordination"

    Nina maneno matatu tu kwa Lema, kwa yote yaliyotokea; amekuwa naive, presumptuous na insubordinate Nimeshindwa kupata maneno ya Kiswahili ya kum-define Lema kwa yale aliyofanya, lakini kwa wale wanaojua lugha ya malkia Lema amekuwa naive, presumptuous na insubordinate. Labda neno la Kiswahili...
  3. Nia ya Kuishitaki EWURA

    Wakuu, nawaza tu, hivi nikipata mwansheria mzuri sana nikafungua kesi ya kikatiba dhidi ya EWURA kwa ubaguzi na upendeleo wa baadhi ya wananchi nitakosea? Yaani bei ya mafuta haifanani nchi nzima wakati tuko nchi moja? Sisi wananchi tulio mbali na bandari tunakosa gani ndo tubebeshe bei ya juu...
  4. Tajiri ninathibisha, CCM haina nia ya dhati ya kuwaletea wananchi wa Tanzania maendeleo. Msikiti wa bilioni 21 unaojengwa na Makonda hauna tija.

    CCM haina nia ya dhati ya kuwaletea maendeleo Watanzania. Msikiti wa bilioni 21 una faida gani kiuchumi na well being kwa individuals, na society . Hawa viongozi walafi na walevi wa madaraka, wanawaona Watanzania kama their source of personal income. Juzi tumeona kaboti ka bilioni moja...
  5. P

    Dr. Malasusa nia yako ni kuiua Chuo Kikuu Tumaini Makumira, miezi 3 wahadhiri na wafanyakazi hawajalipwa mishahara, mnategemea wanaishije?

    Chuo kikuu cha Tumaini Makumira kipo mkoani Arusha, kilikuwa chuo kizuri sana na kilishawahi kuwa ndani ya vyuo vikuu 10 Tanzania. Chuo kikuu hiki kimelea vyuo vikuu vishiriki ambavyo sahv ni vyuo vikuu kamili km University of Iringa, KCMC University, Dar Es Salaam Tumaini University(DarTU)...
  6. CCM haina nia ya dhati ya kukuletea maendeleo. Ukiona mradi wowote wa maendeleo jua kwamba umeletwa ili watu wapige hela.

    Huu ndio ukweli wenyewe. Miradi mingi imekuwa ikionhezea bei tofauti na gharama halisi. Barabara ya Morogoro imebomolewa na kujengwa zaidi ya mara tatu, kwanini wasingeipanua mara moja na kujenga barabara itakayodu kwa miaka 50 ijayo? Jibu ni kwamba kwenye ubomozi kuna hela na kwenye ujenzi...
  7. Hivi nia na madhumuni ya Tundu Lisu kuihamishia familia yake ng'ambo, na kisha yeye kurejea nchini pekeyake ni ipi hasa dhidi ya umoja na amani ya TZ?

    Je, ni kuongoza uasi, kukinukisha, kuzuia uchaguzi na kuvuruga uchaguzi huku familia yake ikiwa salama ughaibuni? Au nia na dhamira yake hasa kutoka moyoni mwake, ilikua afanye nini dhidi ya umoja, amani na usalama wa waTanzania, bila kua pamoja na familia yake? Na, kwanini aliitanguliza...
  8. K

    Lissu atafungwa kutokana na maneno yake, hata kama hakuwa na nia hiyo. Yalitokea kwenye uchaguzi ni rahisi kumhusisha nayo

    Ndugu wadau, habari zenu. Kinacho mbana lisu ni matokeo ya kauli zake, hakuonesha au kusema wafuasi wake watatumia njia gani kuzuia uchaguzi usifanyike na hilo lipo wazi. Matokeo yake Sasa, yaliyotokea siku ya uchaguzi yanaipa nguvu serikali kusema yalichochewa na kauli za lisu. Mfano ukisema...
  9. Tetesi: Serikali haina nia ya kuendelea na mashtaka ya ugaidi na uhujumu uchumi....Mahakama imemtaka kuripoti kwa RCO kila Ijumaa ya mwisho wa mwezi saa 2:30

    Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedek Kaijage, ameachiwa huru kwa masharti na Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma baada ya Serikali kuondoa nia ya kuendelea na mashtaka yaliyokuwa yakimkabili. Kaijage ameachiwa leo, Septemba 10, 2026, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Denisi Mpelembwa...
  10. David Kafulila: Rais Samia ametoa Shilingi trilioni moja ili kuwakopesha wakulima kwa riba ya 9% zipo NMB na CRDB nia kukuza Kilimo walau kwa 8-10%

    https://www.instagram.com/reel/Dc-fV2YAgEN/?stkn=MTI3M3czY3cyajR1NA==
  11. Eti waziri wa mambo ya ndani...eti shekhe(uchwara) mwaipopo alianzisha kikosi kwa ajili ya kuua wananchi alikua ana NIA NJEMA.. whaaat????

    HUYU ni wazuri Gani huyu? Kuna mawaziri wengine wa nchi nyingine wanafanya kazi iliyotukuka...nani anamjua wazuri wa mambo ya ndani wa Rwanda? Au south Africa? Au Botswana? HUYU waziri wenu Niko hapa nasema ni Kichekesho sijawah kuona. Hivi hii nchi Ina laana ama imelogwa? Ni uchawi Gani...
  12. Vipi kesho tukaambiwa hana nia ya kuendelea na kesi ilikuzima hili la leo

    Hili haliwezi kupita hivi hivi,kuna mjadala wa mrithi unakuja, huko kwenye chama wanasema katibu nae ana unga tela, mrithi anaweza kutoka pasipo tarajiwa, sasa ili kuzima yule mjamaa akasema hana nia na kesi si mjadala utahama ?
  13. Wanawake mnapaswa muelewe hili kwa nia njema kabisa: muda wa kazi simu zinazongatiwa ni za mipango tuu

    Happy Sunday JF Members. Wanawake tunawaheshimu na kuwapenda sana, ila kuna jambo moja mnapaswa kulielewa kwa nia njema kabisa. Muda wa kazi, simu na SMS za mara kwa mara za kusalimiana tuu hazimaanishi kwamba mapenzi yanaongezeka. Kuna muda zinageuka kuwa kero. Ukimtafuta mpenzi wako mara...
  14. Maduhu: Vijana ACT jiulizeni Serikali ya CCM ina nia ya dhati ya kufanya maridhiano?

    Wakili William Maduhu akizungumza leo tarehe 12 Agosti 2026 wakati Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo chini ya Mwenyekiti wake Abdul Nondo inapoadhimisha Siku ya Vijana Duniani kwa kufanya Kongamano katika Ukumbi wa Mrina, Dar es Salaam.
  15. JMT-Maboresho yanakuja-Nawaomba watu wa Rohoni tukoleze nia katika maombi na dua zute ili mabadiliko yanayokuja yawe kamili na yenye athari chanya.

    Kutakua na matengenezo ya mashine, baada ya kukamilika wataijaribisha kwa kuitega na kutazama namna inavyopushi gurudumu linaloanzisha mzunguko (mwendo). Lakini mafundi (ndugu) hao mkubwa ndio anaepambania makanika ya ile mashine pale, wakati huyu bwana mdogo yupo bize ndani huko ni kama...
  16. Kama maridhiano hayana nia Ya kufichua waovu na kuwajibishwa stay way from that nonsense

    Maridhiano bila waovu kuchukuliwa hatua kali za kisheria waliosababisha Yale ya October 29 waliomchukua Polepole walio nyuma yanayondelea kwenye kesi ya Lissu aya mambo sijui kesi za Ugaidi walioko nyuma aya wawajibishwe then ndo maridhiano yafuate. Lazima tujifunze kuwajibishana mkubwa kwa mdogo
  17. Q

    CHADEMA kuwafikisha mahakamani watakaojipachika vyeo na kutumia mavazi ya chama kwa nia ya kukichafua chama na viongozi

    Tumekubaliana mawakili wa Chadema sasa tutakuwa tunawapeleka mahakamani watakaokuwa wanakichafua chama kwa manufaa yao. Kwa yeyote mwenye nia ya kukichafua chama kwa manufaa yake yoyote, aache mara moja maana hatutaruhusu tena kuendelea kwa hali hii. - Mhe. Dickson Matata.
  18. Tetesi: Kuna mpango wenye nia ovu kukwamisha michango ya CHADEMA kwa kigezo cha fedha haramu na utakatishaji fedha

    Kuna tetezi zimegaa mitaani kuwa serikali ya CCM inataka kuanza kufanya figisu. Figisu zenyewe ni kutaka kuifuatlia michango ya Cdm ambayo mpaka sasa imefikia Tsh 90 mil+ Wanataka kuleta zengwe kuwa michango hiyo ni fedha haramu na kuna utakatishaji fedha ambao utatumika kufanya uharamia.
  19. Abdul Nondo: Nitamfikisha Baba Levo Mahakamani kwa kuniambia nilijiteka, aniombe radhi

    https://www.youtube.com/live/F26wOjys36A?si=1PcO6uI7Cfci1rwJ Abdul Nondo amezungumza hayo leo Mei 23, 2026 Jijini Dar es Salaam. kwenye Hoteli ya Land Mark Hotel , Riverside Ubungo. KUFUNGUA MASHTAKA DHIDI YA CLAYTON REVOCATUS CHIPANDO (BABA LEVO) KWA KUNICHAFUA, KUNIDHALILISHA, KUNIVUNJIA...
  20. M

    Nchimbi: Tukijenga Utaratibu wa kuwa wakweli, Tukijenga utaratibu wa kutoa mawazo yetu kwa nia njema, tutajenga Nchi kwa kiwango kikubwa sana

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameshiriki mazishi ya Marehemu Boniface Makene, aliyewahi kuwa Mwandishi wa Habari wa Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mohamed Gharib Bilal, yaliyofanyika katika Kijiji cha Mabui...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…