neno

Emmanuel Neno is a Pakistani Christian author and translator.

View More On Wikipedia.org
  1. Neno Amani kilicho na kichaka chenye vivuli viovu vya CCM

    Sijawahi kusikia CCM kazungumzia neno haki.Wao ni Amani tu. Hii Amani imekuwa kichaka cha CCM kuaminisha watu huku wakijua haki hakuna na wafanyao sio haki. Neno haki limekuwa likikwepeshwa sana sababu wakilisema litawavua nguo kwa matendo yao yanayo minya haki. Haki imekuwa mwiba kwao.
  2. Neno Yatima halina Wingi. Kutumia neno Mayatima ni udhalilishaji

    Mawaidha ya leo kwenye moja ya misikiti yamenikera sana. Shehe alitumia sana neno mayatima, hili ni neno baya na nimemwambia akaanza kunionesha aya zinazotaja mayatima nikamwambia shehe acha UPUMBAVU hizo aya zimeandikwa na watu kama wewe na hazinabudi kurekebishwa.
  3. NENO LA SIKU

    NENO LA MUNGU
  4. Tamasha la Twende zetu kwa Yesu mnafanya wizi kuuza neno la Mungu

    Tamasha la Twende Zetu kwa Yesu lililoandaliwa na Kanisa la Kiinjili la Kilitheri halikupaswa kutoza viingilio kwani neno la Mungu linatolewa bure na haliuzwi. Hebu tuangalie baadhi ya mistari:- Isaya 55:1-2 [1] Haya, kila aonaye kiu, njoni majini, Naye asiye na fedha; njoni, nunueni mle...
  5. C

    Hivi nini maana ya neno "Tajiri"

    Habari wanaJF Hili ni moja ya neno mtambuka na lenye utata sana. Mtu amepata vihela kidogo hata havizidi million 100 utasikia ni tajiri. Je utajiri ni kuendesha gari,kujenga ,afya ama nini?
  6. Biblia: Kitabu cha Mkanganyiko au Neno la Mungu?

    Hivi kweli akili zenu zimefungwa na kufuli la Wazungu mpaka mmeshindwa kuona ukweli ulio wazi? Yaani hapa duniani hakuna kitu kinachochanganya na kuvuruga akili za watu kama hiki kitabu cha Wazungu!, Yaani Biblia!. Inakuwaje Mungu aliyeumba mbingu na ardhi, mwenye akili na mamlaka, aandike...
  7. Neno langu kwa wasaliti wote wanaorejea CHADEMA: Karibuni nyumbani, ila....

    Kama mnavyofuatilia siasa za nchi yetu hivi sasa, kuna wimbi kubwa la wanachama waliokihama chama na kukipigia kelele nyingi za kashfa wakiondoka, lakini sasa hivi wanarudi CHADEMA kwa kasi ya ajabu. Kama mwanachama na mdau wa mabadiliko ya dhati, naomba niwaambie hawa wanaorejea maneno...
  8. Neno moja kwa huyu kijana shupavu ambae amewatia moyo Gen Z kuwa sio wahuni wala majambazi wanaostahili kupigwa na kutekwa

    Kijana shujaa wa Chadema ya Lissu👇
  9. Nini maana ya neno "Mtambuka"

    Naomba msaada wa kiswahili: nifahamishemi kwa lugha nyepesi sana maana ya neno "Mtambuka" Nimeskiliza jamaa huyun hapa chini, bado sikuweza kumwelewa sawasawa. Kuna rafiki yangu mzuri sana hapa anaitwa Magonjwa Mtambuka ; nadhani atanisaidia https://news.un.org/sw/audio/2018/04/1012302
  10. B

    Embu wakuu tieni neno hapa

    Gentlemens woz-up? Ipo hivi kuna mke wa mtu tulikutana tumezoea na kuanza mahusiano ya kimapenzi japo hatukuwai kutana kimwili hata siku moja . Kwa maana anadai mme wake yupo nae anamchunga sana hivyo kutoka inakuwa kipengele kwake . Sasa mimi nimeona isiwe case tuachane tu make nitakuwa...
  11. Abdul Nondo wa ACT Wazalendo anatoa neno leo Mei 8, 2026

    https://www.youtube.com/live/1EUtCsWFvso
  12. Ni neno gani la mwisho alilosema dereva huyu?

    Kama alipata nafasi lakini ya kunyanyua kinywa🥱
  13. Sina neno, jioneeni wenyewe

    Mambo ya kuoa mke wa mtu 😀😀🔥 Natafuta Ajira
  14. M

    Kutoka ushabiki hadi kushare stage na Heavyweight jay wa Mitulinga: Nikki mbishi amwagiwa sifa baada ya kutoa back up ya kibabe show ya Professor Jay

    Jana kulikuwa na bonge moja la shoo kutoka kwa Kaka mkubwa @professorjaytz kwa namna moja ama nyingine watu walifurahi kile alichokifanya jukwaani. Pembeni yake alikuwepo @nikkimbishi999 majina ni mengi kwake, Plata O Plomo, Baba Malcom, Kijusi na mengine mengi. Kwa usiku wa jana binafsi...
  15. Neno la uzima

    Mithali 23:20-21 "Msiwe miongoni mwa walevi wa divai, wala wale wanaokula nyama kupita kiasi; kwa maana mlevi na mpenda kula atitika, na nguo zitakuwa matope."
  16. Unajua asili ya neno "Afande"?

    Kabla ya mkutano wa Berlin dola ya Ottoman ilitawala Misri na Sudan. Kwa kituruki neno bwana au Sir ni Effendi. So askari wao wenye vyeo walikuwa adressed kama Effendi. Askari wa Sudan wakaingiza neno hilo Uganda, Kenya na Africa mashariki. Effendi ya Kituruki likawa Afande ya kiswahili.
  17. Hai: Lengai Ole Sabaya na Freeman Mbowe Uso kwa Uso. Watoa ya moyoni

    Mkiti msaafu wa Chadema Freem mbowe wamekutana na mkuu wa wilaya ya Hai Mstaafu Lengai Ole Sabaya katika msiba wa Mama yake mbunge wa Hai Saasisha Mafuwe. Katika Msiba Huo,mbowe amesema yeye ameshamsamehe sabaya kwa mambo yote kwa hakuna mwanaadamu mkamilifu. Nae sabaya alipopata nafasi ya...
  18. Je wajua: Asili ya neno mkate

    Duka la kwanza la kuoka mikate kufunguliwa Afrika Mashariki lilikuwa Nairobi. Mzungu aliyelifungua aliitwa McCarthy. McCarthy ndiyo likaja kuwa jina Mkate.
  19. Neno la uzima

    Yohana 14:6 "Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; hakuna mtu aje kwa Baba ila kwa njia yangu."
  20. Neno Mubashara: Chaneli ya taifa mnaharibu lugha, chaneli ya dini na nyinyi amueni moja mtumie kiswahili ama kiarabu

    Ukiangalia kuna chaneli kama makundi matatu hivi juu ya uandishi wa neno LIVE kwa Kiswahili sanifu Kuna wanaoandika MBASHARA mfano TBC. Hawa jamaa mwanzoni nilidhani wamekosea tu katika typing lakini kumbe wapi, ni staili yao. Ni sawa na mtu aandike STAKI badala ya SITAKI eti kisa tu katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…