neno

Emmanuel Neno is a Pakistani Christian author and translator.

View More On Wikipedia.org
  1. Matumizi ya Neno Mkuu JF

    Naona siku za hivi karibuni neno Mkuu limepungua kasi katika matumizi yake ila kwa wakongwe sio geni sana. Matumizi ya neno Mkuu yalikuja kutokana na hulka ya watumiaji wa JF kutotumia majina halisi. Hulka ya kutotumia majina halisi au "fake Id' ilileta kuficha the real identity ya member...
  2. Mbinu ya Kufanya Mtu Aongee Bila Kuchoka: Siri ya "Kuvuta Neno" Kwenye Maongezi

    Habari zenu wadau wa JF. Umeshawahi kukutana na mtu mkakaa dakika tano tu halafu stori zinaisha, mnaanza kuangaliana kama mpo kwenye daladala la Mbagala? Au unataka kumtoa mtu maneno mdomoni bila yeye kuhisi unamchimba? Kuna mbinu moja nzuri sana ya kisaikolojia inaitwa Kuvuta Neno...
  3. C

    Neno samahani lilivyookoa ndoa yangu iliyokuwa inaelekea shimoni japokua......!!

    Nipo kwenye ndoa ni mwaka wa 7 Sasa ila Sikuwahi kufikiria kwamba siku moja ndoa yangu ingefika mahali ambapo furaha, amani na upendo tuliokuwa tumeujenga vingekuwa vinatikisika kiasi kile. Tulianza maisha ya ndoa kwa furaha kubwa. Tulikuwa na ndoto nyingi, mipango mingi na matumaini ya kujenga...
  4. 'Bikra' ni neno linalochukiwa na mabinti wengi sana

    Yaani hata ukijikuta umeshataja neno bikra (kama ajali) basi malizia kwa kusema Maria, la sivyo kuna watu wataona unawananga. Hivyo, nakuasa usipendelee kulitaja neno hili uwapo karibu na watoto wa kike, kwa maaa utafanya mioyo yao ianze kudunda kwa kasi kubwa sana. Nasanzuka.
  5. Hivi unajua ya kua neno BUZA limetoholewa kutoka kwenye neno BUDDHA?

    Aaaha Wakuu, Ni hivi na wewe ulikua unajua hii? Kwamba; Sijui km unajua na km ulikua haujui basi leo ngoja nikujuze na utakua umejua na ninajua ulikua haujui basi leo umejua hili neno Buza kwa Mama Kibonge, Buza kwa Mpalange, Buza Kanisana, Buza kwa Lulenge, Buza limetokana na neno Buddha...
  6. Keffiyeh ya kiarabu ndiyo imezaa neno kofia? Na baraghashia ni kitu gani?

    Kuna hivi vitambaa waarabu hujifunga vichwani. Vinaitwa Keffiyeh. Ndiyo asili ya neno Kofia? Na neno baraghashia limetoka wapi?
  7. Mzee Reginald Mengi ndiye aliyebuni neno Mafisadi Papa

    Kwenye kitabu chake "I Can, I Must, I Will" sura ya 11 "Mafisadi Papa na Mimi". Reginald Mengi ndiye aliyebuni neno "Mafisadi" lenyewe na anaeleza jinsi alivyowaita hivyo na jinsi alivyopigwa vita. Mengi anaandika 2006 gazeti lake la Alasiri na The Citizen lilifanya uchunguzi likagundua kampuni...
  8. Hawa jamaa siwawezi, wape neno, hata Hi!

    Kwa ubishi, uking'ang'anizi, usutaji siwawezi. Lakini msingi wao ni kukupa ukweli kama ulivyo. Shekhe Mwaipopo sijui yuko wapi?
  9. M

    Prof Kabudi nakukumbusha kinyume cha neno haramu ni halalai. Je, rais wetu ni halali?

    Ulipaswa kujiulizwq swali hili muhimu sana. Je, alipatakina kwa uhalali?๐Ÿ‘‡
  10. Neno moja kwa mmiliki

    Ona Jinsi wanyama au ndege wa usiku (kama bundi, paka weusi, au popo) wanavyotumiwa kiimani kama "wajumbe" au "mashuhuda" wa mikataba ya kishirikina inayowekwa kwenye viwanja vya watu. Thats why ni muhimu sana kufanya ibada ya kutakasa makazi na ardhi
  11. Wanangu wa CODE!!+ Kuna habari kubwa sana, itatokea nchini hivi punde, zingatia neno habari kubwa sana!!! Watu wapo kwenye feature!!

    Wanangu wa CODE!!+ Kuna habari kubwa sana, itatokea nchini hivi punde, zingatia neno habari kubwa sana!!! Watu wapo kwenye feature!!
  12. E

    kipindi yupo hai walimwita sir wicknel chivayo, leo salamu za lambi lambi neno sir limesahaulika

    hivi vyeo watu wanavyojipa kujipamba au wanavyopewa na wapambe ni kwa ajiri ya kuwafurahisha tu wamwage njurugu au mapene au wapate favor kwa hao wakubwa lakini ukiondoka hakuna anayejisumbua tena kuwa mnafiki
  13. N

    Ofisi ya DPP, Nassoro Katuga na mawakili wote wa serikali watanzania tunaomba ufafanuzi wenu maana ya neno 'uttering' kwenye tuhuma za kijinai.

    Sisi watanzania wa kawaida tumepata mkanganyiko sana kwa kitendo cha ofisi ya DPP na mawakili wa serikali kutumia neno 'uttering' kwenye kesi ya jinai. Tulioishia kidato cha nne,sita na waliosoma kozi tofauti na ya sheria tunajua maana ya 'uttering' ni kuongea / kutamka maneno kwa sauti ya...
  14. Neno Zazwa ni Sawa na Zuzu?. Kukiukwa kwa Katiba ya JMT Huku Tumenyamaza, Je Sisi Watanzania ni Mazwazwa na Mazuzu?.

    Wanabodi Hili ni bandiko la swali kuhusu neno "zazwa" na neno " zuzu". Naomba kuanza na usaidizi wa AI neno zazwa mazwazwa na neno zuzu, mazuzu Maneno haya yote mawili yanatumika kuelezea mtu mjinga, asiye na uzoefu, au mtu anayedanganyika kwa urahisi. Hata hivyo, yana utofauti mdogo katika...
  15. Neno la bwana kutoka kitabu cha Isaya sura ya 45 mstari wa 7

    Isaya 45:7 "Mimi hufanya mwanga na kuumba giza; huleta fanaka na kusababisha balaa/uovu/majanga. Mimi Mwenyezi-Mungu hutenda vitu hivi vyote."
  16. Upi ni ushiriki wako kwenye neno "Kabadili gia Agani?"

    Sema neno moja tu mwana JF na roho zetu zitapona
  17. Emmanuel ni neno la Kiebrania maana yake ni Mungu yu pamoja nasi Isaya 8:8

    Manabii walihubiri kwamba nyakati za mbele mataifq yote yamtafahamu Bwana na kumkimbilia Isaya 42:6;45:14
  18. Namna neno la Mungu kutoka kwenye Biblia linavyoweza kukupa MAARIFA kwenye maisha yako

    Mimi namwamini Mungu katika Yesu kristo na President ambitionist ๐‘บ๐‘ฐ๐‘ต๐‘จ ๐‘ฒ๐‘จ๐‘ต๐‘ฐ๐‘บ๐‘จ ๐‘ฏ๐‘ผ๐‘ซ๐‘ผ๐‘ด๐‘จ ๐’€๐‘จ๐‘ต๐‘ฎ๐‘ผ ๐‘ต๐‘ฐ ๐‘ถ๐‘ต๐‘ณ๐‘ฐ๐‘ต๐‘ฌ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ ๐‘ต๐‘จ๐‘บ๐‘ฏ๐‘จ๐‘น๐‘ฌ ๐‘ต๐‘ฌ๐‘ต๐‘ถ ๐‘ณ๐‘จ ๐‘ด๐‘ผ๐‘ต๐‘ฎ๐‘ผ ๐‘ต๐‘จ ๐‘พ๐‘จ๐‘ป๐‘ผ ๐‘ถ๐‘ต๐‘ณ๐‘ฐ๐‘ต๐‘ฌ ๐‘ณ๐‘ฐ๐‘พ๐‘ฌ๐’๐‘ฌ ๐‘ฒ๐‘ผ๐‘พ๐‘จ๐‘ท๐‘จ ๐‘ต๐‘ฎ๐‘ผ๐‘ฝ๐‘ผ ๐’€๐‘จ ๐‘ฒ๐‘ผ๐‘ฌ๐‘ต๐‘ซ๐‘ฌ๐‘ณ๐‘ฌ๐‘จ ๐‘ฒ๐‘ผ๐‘ท๐‘จ๐‘ด๐‘ฉ๐‘จ๐‘ต๐‘จ ๐‘ฒ๐‘พ๐‘ฌ๐‘ต๐’€๐‘ฌ ๐‘ด๐‘จ๐‘ฐ๐‘บ๐‘ฏ๐‘จ, ๐‘ด๐‘ฉ๐‘ฐ๐‘ต๐‘ผ ๐’๐‘จ ๐‘ฒ๐‘ฐ๐‘ญ๐‘ฐ๐‘ฒ๐‘น๐‘จ (๐‘ด๐‘จ๐‘จ๐‘น๐‘ฐ๐‘ญ๐‘จ) ๐‘ต๐‘จ ๐‘ด๐‘ฐ๐‘ผ๐‘ฑ๐‘ฐ๐’๐‘จ ๐™’๐™–๐™š๐™—๐™ง๐™–๐™ฃ๐™ž๐™– 4:12 ๐‘€๐‘Ž๐‘Ž๐‘›๐‘Ž ๐‘๐‘’๐‘›๐‘œ ๐‘™๐‘Ž ๐‘€๐‘ข๐‘›๐‘”๐‘ข ๐‘™๐‘– โ„Ž๐‘Ž๐‘–, ๐‘ก๐‘’๐‘›๐‘Ž ๐‘™๐‘–๐‘›๐‘Ž ๐‘›๐‘”๐‘ข๐‘ฃ๐‘ข...
  19. M

    Umuhimu wa Neno la Mungu

    Mara baada ya kumpa Yesu Kristo Maisha yangu kuwa Bwana na Mokozi wa Maisha yangu, ndani yangu kiu ya kutaka kumjua Mungu ilizaliwa ndani yangu Kiu ile ilikuwa kubwa sana kiasi kwamba nilijikutana tu, natamani kumjua Mungu binafsi kama Bwana na mokozi wa maisha yangu Nilianza kusoma biblia...
  20. K

    NENO PELEKA MOTO

    Kwanini neno peleka moto limegain popularity? Naomba majibu wadau.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ