ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    UPENDO UMEISHA?? Baba na Mama zetu (1970s) walikuwa wanawaleta mjini Dar Es Salaam ndugu zao wa mama mwingine (Half brothers & Sisters)

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Unakuta babu alikuwa na wake wanne miaka hiyo 1970s. Ila mtoto mkubwa kabisa wa mke mkubwa alimaliza secondary Ilboru, akasoma University of Dar Es Salaam, akafanikiwa kupata kazi mwaka 1985 NBC au Shirika la reli, anamchukua mdogo wake (mtoto wa mama wa kambo mke wa...
  2. Dunia ya sasa inataka ubinafsi. Usiishi na ndugu nyumbani kwako

    Dunia ya sahivi inataka u binafsi. Kwenye familia yako usiishi na ndugu, ndugu wape misaada wakiwa mbali utajiepusha na mengi.
  3. S

    Nimefuatilia suala la bosi wa NVIDIA na sakata la EIPSTEIN, nimegundua ndugu zetu wakristo mnapata tabu sana kwenye mahusiano

    Yaani mtu una nguvu za kutosha, una pesa za kutosha, lakini unalazimishwa uwe na mwanamke mmoja tu, mwanamke wenyewe pengine mgonjwa, mara yuko period, mara ashazeeka hawezi pirika, kumpa talaka huwezi. Matokeo yake ni kua na michepuko na kuaibika katika jamii. Suala la bosi wa NVIDIA unaona...
  4. Ndugu Nassib amkiri Yesu kua Mwokozi wa maisha yake

    Kijana huyo anayeimba nyimbo za bongo flava, ameonekana akifurahia kukutana na rafiki yake kutoka Nigeria Bw. David. Akiwa na msalaba shingoni Kwa story za chini chini inasemekana alishabadii DINI na kua mkristo kwani alionekana kupendezwa na DINI hiyo akiita ni ya "wanyamwez" ikafikia hatua...
  5. Ndugu wanaJamiiForums, aminini nawaambieni! UCHAWI UPO...

    Kama hakuna uchawi nani anaweza kuelezea tukio hili kisayansi? Angalia kuku anavyolia target! Anavizia mpira unapigwa anauvaa anaelekea gorini yeye mpira unatoka nje. Hiv visanga utakutana navyo uswahilini tu, kama hujazaliw huko utaviskia tu. Nani anaweza kuelezea tukio hili kisayansi, aelezee tu
  6. F

    Nachukia sana ninapoona maskini anazaa watoto wengi. Ndugu, jamaa na marafiki maskini wanapoongeza watoto wengi, wananikera sana

    Kuna watoto wengi sana duniani ambao hawakuchagua kuwa makahaba, wezi, majambazi, watumiaji wa mihadarati au watu wanaoishi maisha ya hatari. Lakini mazingira waliyokulia yaliwafanya waone hizo ndizo njia pekee zilizobaki za kuishi. Fikiria mtoto anayekulia kwenye familia ambayo haina uhakika...
  7. K

    Jamani huyu ndugu yetu yupo wapi?

    Picha: Watanzania kwa Upendo walitoa kikombe chenye ujumbe "NIOE TESHA" Mnamo Oktoba 2025, kiongozi mzalendo Kapteni John Charles Tesha alijitambulisha na kutoa video iliyosambaa sana kwenye mitandao ya kijamii. Alifanya hivyo wakati wataalamu wa CCM katika medani za sinema wakiwa hawajamaliza...
  8. Kwa nini Watanzania tunapenda kuitana ndugu bila hata kuwa ndugu?

    Nimemsoma Ayubu Rioba Chacha anamuita Tundu Lissu ndugu yake na anamtakia maisha mema ya gerezani. Ninavyofahamu Lissu ni Mnyiramba au Mnyaturu wa Singida na Rioba ni wa makabila mojawapo ya huko Mara, sasa undugu wao unatokea wapi ?! Watanzania tunapaswa kufuta fikra na mawazo ya kwamba kwa...
  9. Voices from Within: Tundu Lissu Kuachiwa Huru Kesho? Kujiunga na Ndugu Zake Kumzika Kaka Yake Alute Siku ya J.4!

    Wanabodi, Leo asubuhi hii, nilikuwa najibu kwa hasira, post ya jamaa fulani humu jf, baada ya kuniita "kibaraka" ambayo imenitia hasira sana hadi ku invoke the the voices from within!, sasa hata kabla sijamaliza kuiandika kumjibu, na kuiposti, nikiwa katikati, nikaisikia ile sauti, ya kutoka...
  10. Leo BYD wamezindua Yangwang Altior uko Abu Dhabi. Ni Ultra-luxury Electric Sedan, wakina Rolls Royce na ndugu zake wakajipange!

    Siku ya leo ilikua special kwa BYD uko Abu Dhabi, kupitia sub-brand yake ya Yangwang, wamezindua Yangwang Altior. Hii ni Ultra-luxury sedan ya Umeme,ni ndefu mita 5.5 na wheel base ya mita 3.3, kidogo ndefu zaidi ya RR Ghost. Hii gari Ina range ya Kilometa 1,000 na iko na motor Nne, kila...
  11. Lissu omba dhamana ukamzike ndugu yako......

    Majitu hayana utu yamekuwa kama hayajazaliwa na binadamu.........******÷÷÷÷///>>@@@
  12. Wajasiliamali wenzangu. (Wawekezaji) Naomba itangazwe siku maalumu ya kumpongeza ndugu yetu COMO, anatubeba sanaaa

    Mambo yasiwe mengi,kama mkamalia umeshaelewa ninachozungumzia... Uzi tayari...✍️
  13. Dunia imechafuka

    Dunia imechafuka: Ndugu wanajamii forum kiukwel dunia n uwanja wenye tamaduni ,itikadi ,hisia na tabia za Kila namna ,Leo utasikia nchi yetu au mataifa mengine n ugomvi wa kisiasa ,mara utasikia mauaji ,mara umalaya mara ushoga ase hii n hatari,,Kuna msemo unasema God made man ,Man made...
  14. S

    Kuishi na ndugu (hata watu wengine) ni kazi sana aisee!

    Udugu udugu jamani Africa unaturudusha nyuma sana kinaendeleo (wazo langu jamani) Jamani ndugu zangu ninaomba mawazo yenu pia kwa hili swali langu: Hivi inakuaje mtu mara nyingi anapokuwa na maisha mazuri, waliomzunguka au ndugu zake wanamthamini sana na wapo tayari kuwa naye muda wowote lakini...
  15. Mh rais waliopoteza ndugu ili uingie ikulu, wafidie tu Mama machozi yao yanaichafua ikulu mno mbinga!

    Ukiangalia ile clipunya Anger, ukiangalia ile clipu ya Baba anae mtaka mwanae amzike maana mpaka sasa alizika kiatu tu, Leo jioni nimekutana na nyingine ya Mwanamke aliyevalia kofia ya bwana ake analalama alimzika mumewe akiwa ameisha oza, na ana watoto wawili hawana msaada wowote,anaomba...
  16. F

    Hili linafikirisha, waliopoteza ndugu zao wanailaumu Serikali Kwa mauwaji, ila Lema na CCM wanaungana kumlaumu Mange,stuka!

    Wenye akili wana msemo usemao "Za kuambiwa changanya na zako". Lema anajaribu kumrudisha Mbowe chamani ili aturudishe Misri kule kwenye siasa za wanamtandao, Yani Rimoti iko msoga inaendesha Ferry,Lumumba na Ufipa Kwa wakati mmoja . Lema una uchungu upi Kwa waliouwawa ilhali uliomba mwenyewe...
  17. U

    Ndugu zangu Wasabato naomba mtueleze siku ya Jumapili ina maana gani kiroho kwenye imani yenu? je ukisikia Jumapili mnajisikiaje mioyoni mwenu?

    Hamjamboni nyote? Tuwape nafasi Wasabato pekee tafadhali. Ukisikia Jumapili inatajwa huwa mnajisikiaje?
  18. Chondechonde ndugu zanguni wanajukwaaa!?

    Mie ni me,nipo 40 plus,Tarehe 5 mwezi novemba nafukuzwa kwenye nyumba ya watu,na nina familia na mama yangu mzazi amekuja kunisalimia lkn hali ya maisha imegeuka chap kutokana na mishe kuwa ngumu ndugu zangun! Naombeni na atakayeguswa anivushe kwa alichojaaliwa mungu atamlipa jmn!
  19. PostGE2025 Napenda kuwapa pole Familia na ndugu waliowapoteza ndugu zao siku kama ya Leo 29/10/2025 RIP the all

    Napenda kuwapa pole Familia na ndugu waliowapoteza ndugu zao siku kama ya Leo 29/10/2025 RIP the all
  20. Mkuu wa Wilaya Abdallah Mwaipaya, mdogo wako Twaha Mwaipaya katekwa lakini umekaa kimya

    DC Abdallah Mwaipaya, mdogo wake Twaha Mwaipaya katekwa huko kenya yeye hajali. Hata kikao cha familia hajahudhuria. Yaani posho za ukuu wa Wilaya zimwmfanya hata asithamini damu ya mdogo wake. Huo ukuu wa Wilaya kesho hutakuwa nao lakini familia yako ipo. Usitelekeze familia sababu ya vyeo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…