ndoto

Ndoto Za Elibidi is a 2010 Kenyan film.

View More On Wikipedia.org
  1. Naombeni mnambie hii ndoto inamaana gani?

    Habari wana Jf Nimekua nikiota hii ndoto kwa kujirudia maranyingi sana mpaka nashindwa kuhesabu. Ndoto yenyewe nii hii 👇👇 Kwanza niweke wazi sijawai panda au kutumia usafiri wa anga (kupanda ndege) Ila huwa naota niko kwenye maandalizi ya kwenda kupanda ndege kwa lengo la kusafiri, ila kwa...
  2. Wale tuliokuwa na ndoto kubwa kubwa kama kuwa marubani tukutane hapa tujadili.

    Salaam wakuu, Binafsi nilikuwa na ndoto ya kuwa rubani. Ila kwenye harakati za maisha nimepitia kazi nyingi pamoja na kuwa mgambo wa jiji, nimekimbizana sana na machinga. Hakuna kozi ya ndege nimewahi soma wala kushika engine ya ndege zaidi ya kurusha hizi aviator za online na kupoteza pesa...
  3. L

    Mafunzo ya STB ya China yaibua ndoto za wanafunzi wa Afrika kuanzisha mashamba yao ya kilimo

    Asubuhi na mapema Benson Phiri anatembea kwenye shamba la mipesheni, huku akiwa anaangalia majani ya mmea wa pesheni kisha akashika polepole kwa mkono wake wa kulia tunda moja lililo mtini, na kusema “angalia tunda hili linakaribia kuwiva”. Benson Phiri (28) ni mwanafunzi kutoka Malawi ambaye...
  4. Hapa bila ya rufaa, kuna ule wimbo ndoto za udaktari, kwisha habari

  5. I

    Msaada wa kimawazo ! GPA Inakwamisha ndoto

    Habari wanabodi. Sasa ipo hivi, mimi nina ndoto ya kuwa mhadhiri wa chuo kikuu. Changamoto inakuja kwamba degree yangu ya awali pale mlimani nilizingua...nilipata 2.7 kozi ya sayansi ya siasa, haikuwa uzembe bali matokeo yasiyotarajiwa. Kwa mujibu wa viwango vya TCU Hata ukiongeza elimu M.A...
  6. Hii ndoto inamaana gani? ndoto nyingi nilizoleta humu zilikuwa na maana kulingana na wadau waliozitafsiri

    Kuna ndoto niliwahi zileta humu kulingana na tafsiri za wadau nyingi zilileta maana. Leo nimeota hivi usiku. Nilikuwa mm na mke wangu na mdogo wangu wa kiume ambaye pia naishi nae huku nilipo sasa tulikuwa tumetokea mjini tunatembea na mguu tunarudi kwenye mitaa tunayoishi. Sasa njiani...
  7. Ndoto yangu ni kuiona wilaya ya Masasi inakuwa mkoa kamili

    Wanajf habarini.. Ni sakata ama vugu vugu la muda mrefu kidogo... ni lini wilaya ya Masasi mkoaani Mtwara itakuwa mkoa kamili unaojitegemea? litakuwa jambo zuri mno na la kimkakati. naomba hilo lifanyike haraka. Masasi ni mji unaokua sana, mara ya mwisho niliongea na viongozi kadhaa wa...
  8. L

    Mwanafunzi wa Afrika atimiza ndoto yake ya kushinda lugha ya Kichina

    Huko Kibera, ambako ni maarufu sana kwa jina la mtaa wa mabanda jijini Nairobi, kukatika umeme ni jambo la kawaida. Miriam Achieng Kenyatta, mwenye umri wa miaka 23, huwa anasoma akitumia taa ndogo na mishumaa. Kwa kuwa hakuwa na uwezo wa kulipia madarasa ya Kichina, alibadilisha nyumba yake...
  9. Msaada, Tafsiri ya ndoto kuhusu Mh. Freeman Mbowe na kifo cha ndugu yake...

    Ndugu zangu, usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto ambayo imenifanya nibaki na maswali mengi sana. Katika ndoto hiyo, Freeman Mbowe alikuwa amefiwa na ndugu yake wa kiume, lakini sikufahamu kama alikuwa kaka yake au mdogo wake. Sina taarifa kwamba jambo hili limetokea kweli au kama Mbowe ana kaka...
  10. Ndoto ya Kambarage iliyo puuzwa

    Enzi za Mwalimu Nyerere (1961-1985) serikali ilisimamia, ilimiliki na kuendesha viwanda mbalimbali vipatavyo 400. *Orodha ifuatayo ni sehemu ya viwanda hivyo vilivyokuwa vikitekeleza jukumu la uzalishaji ili kujenga taifa lenye uchumi imara. 1. TANGANYIKA PACKERS-kusindikaji wa nyama...
  11. M

    Mnaowaza serikali (CCM) kupinduliwa muache kuota ! Jeshi ni mali ya Ccm, Hakuna Backup ya serikali nyingine na hakuna mfumo wa majimbo.

    1. JESHI NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA Njia mojawapo ya kawaida ya mapinduzi ya serikali ni jeshi kuingilia siasa na kuiondoa serikali iliyopo madarakani kwa kutumia nguvu. Kwa mfano walichofanya kina Ibrahim Traore wa Burukina Faso. Hata hivyo, katika muktadha wa Tanzania, Baada ya...
  12. M

    Ipi ni machines ya ndoto yako

    Ipo hivi kama ni mtafutaji na mpamabanaji mtaani Kuna vitu hukusaidia kwenye mapambano navyo ni kama machines nk, na ili upige hatua kwenye maisha lazima ukubali kuendana na technologia hivyo kumiliki machines ni sehemu ya maisha. Zipo machines ambazo ni ndoto Kwa wengine na wengine wanamiliki...
  13. Naomba ushauri kuhusu hii ndoto

    Nimeota zaidi ya Mala tano kwamba nimekufa,hii ndoto inanipa mawazo sana naomba ushauri wenu,je ina maana gani?@mshana
  14. Unachokidharau, ndoto ya wengine

    Mahali ulikopachoka na unawaza kuacha kazi kwa notisi ya saa 24, mwingine ndio anaomba Mungu amsikie apate hapo kazi ya ndoto zake. Mpenzi unayemfanyia vituko ukitafuta kila sababu ya kuwa mbali naye msionane, mwingine hapati usingizi akimsihi Mungu ajibu maombi yake. Unapambana kutokula kwa...
  15. Nani wa kuoa: Mpenzi wa ndoto au mwenye kipato?

    Swali la leo: Hivi mwanaume anatakiwa kuoa mwanamke wa ndoto zake au mwanamke mwenye kipato chake? Tuseme umekutana na mwanamke ambaye anakupenda kwa dhati, anakuheshimu, ana tabia nzuri, mnaelewana na unaona kabisa ndiye mwanamke uliyekuwa ukimtamani katika maisha yako. Lakini hana kipato cha...
  16. M

    Kwa zama hizi, kutegemea mkeo hatachepuka hadi kifo ni ndoto za mchana, shukuru kama bado anaweka mipaka inayolinda ndoa, familia na heshima yako.

    Kwa zama hizi, kutegemea kwamba mke hatachepuka hadi kifo ni ndoto za alinacha. Wanawake wengi wanaoelewa walishawahi kuwa na wapenzi; hata ukimuoa bikra, vishawishi ni vingi sana. Ongeza changamoto kwa wanaume kama kisukari, presha, tatizo la nguvu za kiume, stress na majukumu yanayoweza...
  17. K

    NDOTO ILIYOYEYUKA: Shuhuda wa Mapinduzi ya Fikra, Usaliti na Hatari ya Vyama Utitiri Tanzania

    Mwishoni mwa miaka ya 1980 na mapema miaka ya 1990, nikiwa bado kijana mdogo na mwanafunzi, nilitawaliwa na shauku kubwa ya mabadiliko. Tulikuwa kizazi kilichochoshwa na ukiritimba wa mawazo ya chama kimoja. Hewa ya Dar es Salaam nyakati zile ilikuwa imejaa harufu ya mapinduzi ya fikra—mageuzi...
  18. M

    Zaidi ya asilimia 90 ya Wanandoa sio wenza wa ndoto zao.

    Nikiwa shule ya msingi, miaka 30 aliyopita.Nikiwa darasa la nne au la tano hivi, nilitokea kuvutiwa sana na Dada mmoja, namuita Dada kwa sababu alikuwa mkubwa kwangu, alikuwa darasa la sita au saba wakati huo sikumbuki vizuri.Alikuwa anaitwa Caroline. Alikuwa mweupe, nywele laini macho makubwa...
  19. K

    Nilala Nikaota Malkia Huihui Kapinduliwa Ugagagigikoko, Kuamka Kumbe Ndoto!

    Jioni ya jana nilitumia muda mwingi kusoma mapinduzi makubwa yaliyotokea katika nchi nyingi duniani. Nikaanza na ya Urusi pale wananchi walipoitoa madarakani serikali ya mabwanyenye na kumuweka Vladimir Lenin madarakani ya mwaka 1917, baadaye nikahamia mapinduzi makubwa ya Iran ya mwaka 1979...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…