ndogo

Ligi Ndogo Soccer Club (pronounced [liɡi ˈndoːɡo] (listen) or [liɡi ˈndɔːɡo] (listen); also known as The Planets or simply Ligi) is a football club and youth academy based in Nairobi, Kenya. The senior team currently competes in the National Super League, the second tier of the Kenyan football league system. The club's name is Swahili for "little league".
The club's youth academy was founded by current chairman Chris Amimo and Karani Nyamu in February 2002, and in 2005, the first senior team was formed and has played at Ligi Ndogo Grounds along Ngong Road since then. The team briefly used the Nairobi City Stadium in 2012 for its home games while their Ngong Road grounds were undergoing renovations.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Millennials tukaze buti, hawa Gen Z wanaijua pesa vizuri, bado wadogo lakini wako very sharp kwenye kutega pesa.

    Millennials tukaze buti 😅. Hawa Gen Z wanaingia kwenye game wakiwa na uelewa mkubwa wa kutengeneza pesa kuliko vizazi vilivyopita. Vijana wa 2000 wao bado wadogo lakini honestly wako very sharp kwenye kutega pesa na kuona opportunities . Wamekua kwenye era ya internet, apps na fast information...
  2. M

    Ni kwanini Mwanza airport inapewa bajeti ndogo kana kwamba mchango wake hauna maana ?

  3. M

    Kwa nini hiki kizazi cha Gen Z wana Iq ndogo?

    Siwezi kupinga kuwa kweli ni majasiri na hawaogopi Lakini linapokuja kwenye suala la elimu ni hakuna kitu. Mtu anamaliza form six na kujiunga na chuo kikuu alafu hawezi kujua hata past tense?
  4. H

    Je, CCM ni Chama Cha Watu Wenye Akili Ndogo Lakini Wenye Mioyo ya Uovu. Mwenye Akili na Mtu Mwema Unawezaje Kuwa CCM?

    Wakati wa utawala wa awamu ya 5, ulifanyika utafiti wa kitaalam uliozingatia makundi yote, ukiangazia vyama vikuu viwili vya siasa, CCM na CHADEMA. Pamoja na mambo mengine, yafuatayo yalikuwa ndiyo hitimisho: CCM 1. CCM inaungwa mkono zaidi na watu ambao ama wana akili ndogo, ama watu wasio na...
  5. Unaanzaje kuita nyumba ya mwenzio kibanda na haina wadhifa wa nyumba eti kisa ni ndogo sana, kwani nini maana ya nyumba? Analea familia na sio gesti.

    Toa miguu hio uliyoweka kwenye kochi la shemeji yako ukisubiria tamthilia ya kobis. Weka hio simu pembeni ambayo una like picha za sponsor wako huku ukiwa umekaa geto wenzako wako ground wanahangaika. Alafu, Uoneshe definition inayotambulika duniani ya nyumba inavyotakiwa kuwa. Yani mwamba...
  6. Huyu mdada msomali nimesoma nae Kenya, leo naona picha ya marekani kwa kujipatia pesa kitapeli, aisee dunia ni ndogo😁

    AIsee fahima what happened😬 👇
  7. Kwanini bei ya Petroli Uganda na Kenya ni ndogo kuliko Tanzania?

    Bei ya petroli uganda ambayo ni landlocked country ni $1.3 wakati kenya ni 1.4Usd ila Tanzania ni $ 1.589. Tunapigwa???? EWURA hebu mkuje mtupe sababu
  8. M

    Huyu mwanamke kila akipata hela lazima anikumbuke hata kama ni hela ndogo, nahisi kumpenda sana

    Kwema binaadamu wenzangu mliomo humu? Jamani kuna huyu mwanamke naweza sema ni mchumba wangu tuna kama miaka miwili toka tumefahamiana. Tumepitia stages tofauti tofauti, kugombana, kupotezeana, kuumizana, kuenjoy na kununiana kama ilivo kawaida mambo ya mahusiano. Huyu mwanamke ni aina ya...
  9. S

    Maamuzi mengi kuhusu uongozi wa Tanzania yanafanywa na watu wenye IQ ndogo sana, au kwa ajili tu ya kujipendekeza

    Hili ni jambo ambalo hatimae nimetambua ndilo tatizo kubwa linaloikabili Tanzania. Ni kwamba maamuzi mengi kuhusu Tanzania yanafanywa na viongozi wenye IQ (akili ya kufanya maamuzi sahihi) ndogo sana, na hata wale wenye IQ ya kutosha hawatumii akili yao bali wanafanya mambo kwa njia ya...
  10. S

    Bodaboda ndo watu wenye IQ ndogo zaidi

    Hawa wanaoitwa maafisa usafirishaji kwakweli wana IQ ndogo siwasingizii ukiangalia mambo wanayofanya mpaka mtu unashangaa kabisa kama hivi huyu mtu ana akili kweli Kwa mfano huku dar hii morogoro Road unakuta kibodaboda kimebeba watu wawili mobonge lakini kinavyopita katikat ya malory hadi...
  11. CHADEMA wanahangaika na mikutano ya mitaani wakati hawana hata balozi mmoja hivi vyama vinaongozwa na watu wenye IQ ndogo sana

    Nashangaa kuona CHADEMA wanahangaika na mikutano wakati hawana hata balozi mmoja nchi nzima nadhani Sheria zitungwe ili kudhibiti vurugu za namna hii, Nauliza CHADEMA mnafanya mkutano kwa faida ipi? Hii sasa ni vurugu Sheria itungwe kuwazuia.
  12. Probability ya kuchukua demu AU mtu anayejiuza bar, akawa mzima wa afya ni ndogo sana, nitakupa stori

    Mwaka Fulani awamu ya tano, nilikua geita, yes geita wanapaita gold city, au g town, kama kawaida yetu mapopo, hatulali mapema kiwanja kwa sana, Sasa mwenyeji wangu mmoja, nikimuuliza wapi pa kwenda kuparty, akanielekeza sehemu panaitwa desire park. Nilienda kule lakini sikuona maajabu watu...
  13. UNDP, Finland watambulisha biashara Ndogo, Ndogo, na za Kati 14 zinazojihusisha na biashara endelevu

    Wazindua awamu ya pili ya maombi ya ufadhili Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) Tanzania, kupitia programu yake kinara ya ubunifu ya FUNGUO inayofadhiliwa kwa ushirikiano na Umoja wa Ulaya, Ofisi ya Mambo ya Nje, Jumuiya ya Madola na Maendeleo (FCDO), na Serikali ya Finland...
  14. Nyumba yenye vyumba 6 inahitaji tofali ndogo ndogo za kuchoma ngapi?

    Jamaniiiiii habari za asubuhi! Kuna fundi anaeweza kunisaidia kukadiriae...? Nikitaka kujenga nyumba yenye vyumba 6 .. nahitaji kutumia tofali ndogo ndogo za kuchoma ngapi? Na bati ngapi?
  15. C

    Hii bei ya mafuta wiki chache zijazo tutaiona ni bei ndogo

    Leo nimepita nimekuta wese linasima 3820, nikashangaa sana nikaamua tu nijaze full tank, kwasababu najua baada ya muda huenda yatafika 5700, kama hali itaendelea kua mbaya baada ya muda tutakutana na 6500 kisha hii bei ya leo itaanza kuonekana ilikua mteremko sana. chakuomba ni kwamba watu...
  16. Msaada: Printer gani itafaa kwa matumizi ya ofisi ndogo

    Wakuu kama title inavojieleza, tunahitaji Printer itakayoweza Copying, printing colored na Scanning. Sifa iwe na running costs ndogo japo pia matumizi yetu ni madogo labda ku print Karatasi 10-15 kwa wiki au chini ya hapo. Budget ni haizidi 450K, labda iwe pungufu ya hapo. Kuna zile naskia...
  17. S

    Mfumuko wa vijana wenye Elimu Ndogo Pesa Nyingi Tanzania ni mkubwa sana; wanaongea ujinga na kuweka mbele kujionyesha na kujisifia mafanikio yao

    Tanzania hivi sasa tunakabiliwa kwa kiwango kikubwa sana cha vijana tunaowaita Elimu Ndogo Pesa Nyingi (Tuwaite EP kwa kifupi - Elimu Pesa), ambao utawatambua katika namna ya maongezi yao, kutamba kwao na kujionyesha kwao. Hata humu JF wapo wengi tu. Utaongea nae dakika tatu tu na kujua kwamba...
  18. Tafakuri yangu ndogo

    Kila jambo litatimia kwa wakati wake.
  19. RESOLVED KERO Uholela wa maegesho na biashara ndogo unavyosababisha foleni kubwa Dar Jioni – Bunju, Gongolamboto na Mbagala Rangi 3

    📍 – Bunju “B” Kwa wanaopita barabara ya Bagamoyo jioni, hasa eneo la Bunju ‘B’, hali ya foleni imekuwa ya kawaida kila siku. Tatizo kubwa ni: Daladala kuegesha kiholela barabarani badala ya kuingia kituoni Kusubiri abiria kwa muda mrefu (kupakia taratibu) Wafanyabiashara wadogo (machinga)...
  20. Msaada wa kununua gari ndogo (IST)

    Habari zenu, Naomba msaada kwa mtu anayefahamu jinsi ya kuagiza gari nje, gari ndogo aina ya Ist, nimeulizia kwa makampuni ninayoyafahamu naona bei hazipishani na yard japo wanasema bei imepanda(17-18m) Briefly, rafkiangu anataka kuagiza gari (mwenyewe)aina hiyo kupunguza gharama, bila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…