ndiyo

Ndiyo was a non-profit organisation based out of Cambridge, United Kingdom, which aimed to promote networked computing that is "simple, affordable, open." Ndiyo, pronounced nn-dee-yo, is the Swahili word for "yes". The company developed an ultra-thin client called the nivo (network in, video out) based on Ubuntu Linux and other open-source software, for use especially in developing countries. The data sent to the clients over the network was pixel data, using a similar approach to Virtual Network Computing (VNC).
The project worked on the basis of multiple workstations running from a single PC. Quentin Stafford-Fraser, founder of the organisation, told The Economist "We can make computing more affordable by sharing it". The system allows a basic PC running linux to be shared by many users.
The Ndiyo Nivo was similar in concept to Sun Microsystems' Sun Ray virtual display thin client, but at sub-$100 and using only 2W, it was lower-cost and used much less power, making it more suitable for these kinds of situations.
In addition to its use by organisations within the United Kingdom, Ndiyo-based systems were deployed in internet cafes in Bangladesh and South Africa, and in Tanzanian Schools.
The Nivo technology went on to become the basis of DisplayLink, a company founded by members of the team.

View More On Wikipedia.org
  1. Maamuzi unayofanya leo ndiyo yanayojenga msingi wa maisha yako ya kesho/future.

    Kila hatua ndogo unayochukua sasa ina matokeo makubwa baadaye, iwe ni katika elimu, kazi, fedha, au mahusiano achana na mambo ya destiny na fate Usidharau steps zako sasa keep moving, focus Maamuzi yako ya sasa ndio yataamua uwe wapi baada ya miaka 5,10 au 20 kwenye maisha hakuna shortcut...
  2. R

    Kweli watu wamekufa hivi hivi kama panzi na ndiyo mwisho!

    Naona siku zinakwenda hakuna ICC wala international community youote kuchukua hatua! Is that acceptable? NO NEY! Kuna clip nasita kuiweka, inasikitisha sana. Nimetokwa na machozi!
  3. M

    RC mpya wa Mbeya hajawekwa kwa bahati mbaya. Bajaji na machinga ni mfupa uliowashindwa ma RC wengi, ndiyo maana kawekwa Tata kutoka Mkoa wa Mara

    Chuma huno Chuma, Dawa ya moto ni moto. Suala la bajaji na machinga jijini Mbeya limekuwa mfupa mgumu kwa Wakuu wa Mkoa wengi waliopita. Lakini kwa uteuzi wa RC mpya, Jumanne Sagini, ni wazi huu haukuwa uteuzi wa kawaida, ni uteuzi wa kimkakati. Wiki chache zilizopita bajaji walipozuiwa...
  4. Video: Uchumi wa Kenya ni mkubwa kwa karibu 57% kuliko Tanzania. Je, ndiyo imara zaidi?

    https://youtu.be/37pkGJHxis0 Kwa makadirio ya IMF ya Oktoba 2026, thamani ya Pato la Taifa kwa bei za sasa ni takribani dola za Marekani bilioni 151.2 kwa Kenya na bilioni 96.2 kwa Tanzania. Kwa mwaka huo huo, uchumi wa Tanzania unakadiriwa kukua kwa asilimia 6.0, dhidi ya asilimia 4.5 kwa...
  5. Na hii biashara ya kuuzia watu internet ndiyo ikoje?

    Nimeona sana promo za watu kuanzisha na kushawishiwa waanzishe biashara ya kuuza internet. Hii business ndiyo ikoje?
  6. PostGE2025 Serikali ambayo inasema watoto wasichapwe viboko ndiyo hiyo hiyo ilishindwa kuwavumilia watoto haohao oktoba 29 ikawachapa risasi za moto

    Unajiuliza kwanini na wao wasinge kaa nao vijana na watoto wale kwa upendo na kuwashauri kwa amani bila risasi ili hao vijana wasifanye fujo? Huo uvumilivu mnao utaka kwa walimu leo dhidi ya kukosa adabu kwa wanafunzi ninyi serikali mlishindwaje kuutumia huo uvumilivu 29 oktoba 2025? Kwa...
  7. Somo kutoka uchaguzi wa Marekani; "Tume huru ya uchaguzi ndiyo njia pekee itakayowafanya viongozi wawaheshimu wananchi"

    Moja wapo ya hoja alizowahi kuzitoa Baba wa Taifa Mwl. Nyerere kama sababu za kwanini nchi yetu ielekee kwenye mfumo wa vyama vingi ilikuwa ni hatari ya chama kuonea watu kinaposhika hatamu. Tafakari hii haihitaji PhD kuing'amua. Katika mazingira ambayo viongozi wa chama na serikali wanayo...
  8. J

    Republicans Kushindwa katika Midterm Elections haimaanishi Serikali ya Kiayatollah ya Iran ndiyo Imenusurika

    Katiba ya Marekani inampa Rais Nguvu kubwa katika kuamua hatua za kuchukua kuhusiana na masuala ya kimataifa (Foreign Policy) Rais huhitadi uungaji Mkono wa Mabunge ya Senate na Congress ktk domestic policies na uteuzi wa viongozi wakubwa na Majaji Supreme Court. Na endapo mabunge yakatofautiana...
  9. Wakati wa masika ndiyo wakati sahihi wa kununua kiwanja,kwa wenye hofu ya mazingira.

    Wakati wa masika utagundua kwa usahihi kama eneo au kiwanja unachonunua panapitika au la! utagundua kama ni kwenye madimbwi ya maji au la! Utagundua kama ni kwenye chemichemi ya maji au la! Utagundua kama ni kwenye njia ya maji au la! Utagundua kama ni kwenye majaruba au la.....! Kama unaweza...
  10. Je, Namna Tunavyooga Inaweza Kuongeza Hatari ya Kiharusi? Haya Ndiyo Unayopaswa Kufahamu

    Kuna taarifa inasema kuwa kuanza kuoga kwa kujimwagia maji kichwani kunaweza kuongeza hatari ya kupata kiharusi (stroke). Taarifa hiyo inaeleza kuwa watu wanapaswa kuanza kuoga kwa kulowesha miguu, kisha mwili na kumalizia kichwani. Kwa mujibu wa taarifa: Kiharusi kinaweza kutokea pale damu...
  11. Keffiyeh ya kiarabu ndiyo imezaa neno kofia? Na baraghashia ni kitu gani?

    Kuna hivi vitambaa waarabu hujifunga vichwani. Vinaitwa Keffiyeh. Ndiyo asili ya neno Kofia? Na neno baraghashia limetoka wapi?
  12. L

    Rais Samia Ni Buheri wa Afya na Anaendelea Vizuri Kabisaaa na Anawatakia Kila La Heri Kidato cha Nne Katika Mitihani Yao .Huu Ndiyo Ujumbe Wake .

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ni Buheri wa Afya , anaendelea vizuri kabisa ,Yupo Salama kabisa , ni Mzima wa Afya,Yupo vyema kiafya na kimwili na anaendelea kutoa maelekezo na kutekeleza vyema...
  13. Wengi wanaingia kwenye biashara ya Agrobusiness wakiamini kilimo kina pesa, lakini wachache ndio wanaojua jinsi ya kuzipata

    Kuna mfanyabiashara mmoja alianza biashara ya mazao ya kilimo akiwa na mtaji mdogo. Alikuwa akinunua mahindi kutoka kwa wakulima na kuyauza sokoni. Mwaka wa kwanza alipata hasara kubwa, si kwa sababu hakukuwa na wateja, bali kwa sababu hakujua wakati sahihi wa kununua, namna ya kuhifadhi mazao...
  14. Hivi supu ya mapupu ndiyo ya mapumbu au?

    Nimefika sehemu nikaambiwa leo wanapika supu ya mapupu tu, nikasita kununua, huvi mapupu ndio kapumbu (makende)?
  15. Hii ndiyo maana halisi ya kuwa Makamu wa Rais wa nchi, sio kile kituko

    Mh. Ndejembi anafanyakazi kama cheo cha Makamu wa Rais halisi kinavyotaka na kinavyofahamika duniani. Ile nyingine looh!! https://youtu.be/wAfurtxDKh0?si=fVo4QbwaIxUNWOEN Ile nyingine hii hapa. Utadhani alirogwa kwa kutupiwa jini liitwalo Kambona https://youtu.be/Y30BPBHftaE?si=9C3XL_ZkRpimhWw9
  16. R

    Minyonyaji haiwezi kukubali change, ndiyo maana haitaki Katiba MPYA na mfumo mzuri wa uchaguzi

    Hili ni kweli. Minyonyaji iliyoshiba ndiyo michawa inaogopa Katiba moya. Msikilize Mwalimu Nyerere
  17. Burkina Faso ndiyo nchi pekee ya Afrika yenye trade surplus.

    Tanzania tunanunua sana vitu kuliko tunavyouza nje, hivyo kwenye biashara ya bidhaa tuna trade deficit. Lakini sisi hao hao tunauza sana huduma kuliko tunazonunua. Mfano tunaingiza watalii wengi wanotumia pesa nyingi kuliko sisi tunavyotoa watalii nje. So kwenye biashara ya huduma tuna surplus...
  18. A

    Mtu pekee aliyekuwa na maono makubwa kuhusu miundo mbinu ya barabara ni Jakaya Mrisho Kikwete, Magufuli ndiyo aliturudisha nyuma!

    Nchi yetu barabara kuu km za 1. Dsm-Moro-Iringa-Mbeya-Tunduma(T001) 2. Chalinze-Moshi-Arusha-Namanga(T002) 3. Morogoro-Dodoma-singida-Nzega-Shinyanga-Mwanza(T003/T004) zilitakiwa njia ziwe njia 4 magari yasipishane. Badala yake angalia vipaumbele vya hovyo vya Magufuli; 1. Uwanja wa ndege wa...
  19. F

    Wanawake wa kichaga hasa hawa kutoka Machame ndiyo wanawake wife material

    Kiukweli hawa wanawake wa kichaga hasa hawa wanawake wa kutoka Machame ndiyo wife material kiukweli yaani mimi baada ya kumpiga chini yule Mnyantuzu nikaenda kwa hawa wanawake wa kichaga kutoka Machame kiukweli nimepata amani ya moyo na maisha yangu yanaenda sawa nimejenga nyumba 2 Machame...
  20. M

    Millennials wengi walipuuza wazee, enzi za ujana walioa Hardcopy kuzidi Softcopy. Leo, wengi wanajutia, Gen Z, msirudie history ya millenials.

    Kwa wakati wa Millennials wakiwa vijana, ilikuwa ni enzi ya taiti, vitop, mini na vivazi vilivyoacha Hardcopy ikionekana wazi. Wengi walipagawa. Hata muziki ukabadilika nyimbo zikaanza kusifia mashepu, makalio, mapaja na uzuri uliokuwa ukionekana kila kona. Millennials wengi wakaingia kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…