naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuna ujumbe nimetumiwa naombeni mnielekeze unahusu Nini?

    Naombeni ushirikiano wenu mimi sio mtu wa Michezo kabisa wamenitumia hili liujumbe lao sijui linahusu nini
  2. Naombeni mnambie hii ndoto inamaana gani?

    Habari wana Jf Nimekua nikiota hii ndoto kwa kujirudia maranyingi sana mpaka nashindwa kuhesabu. Ndoto yenyewe nii hii 👇👇 Kwanza niweke wazi sijawai panda au kutumia usafiri wa anga (kupanda ndege) Ila huwa naota niko kwenye maandalizi ya kwenda kupanda ndege kwa lengo la kusafiri, ila kwa...
  3. Naombeni ushauri

    Hapa nilipo naishi ugenini , ila nina kijigari changu ila mtoto wadada anakitumia , kikatili mno ila kiukweli mimi naumua mno . Na kiukweli nimehama jimbo tu , nipunguze gharama za maisha.
  4. Huyu mlimbwende amenidharau sana wakuu, naombeni ushauri

    Huku na huku, nikajikuta namingo na toto moja bambataa.... Nikaanza kuilia mongo, siku nakutana nayo kwenye maongezi ikawa namna hii.... Yeye: Yaani kila nikikuona ukitabasamu, hua natamani nikukaribishe nyumbani kwangu ili nikufanyie kitu. Mimi: Waaawuuu...🤗 nikamuuliza kwani upo singo...
  5. D

    Wana jamii naombeni ushauri nifungue wapi duka la hardware

    Jaman naombeni ushauri nataka kufungua duka la hardware dar ila sio kariakoo je nifungue sehemu gani ntaweza kupata mzunguko mzuri.au kama Kuna wilaya yoyote tofauti na dar hata mikoani huko ipo vizuri nishaurini nipo tayari kwenda kokote kule ila kuwe na mzunguko mzuri tu
  6. Naombeni chimbo la matunda Dar

    Hii ya kuuziwa matunda bei za vyakula haija kaa poa kwangu. Naombeni machimbo ya sehemu wanapo jumua matunda kwa Dar. Atleast niwe naenda kuchukua ya week nzima kabisa kwa bei poa. Napenda kwa sababu napenda juice iwe kwa friji, na matunda kwa ujumla Naya penda sana So wanabodi wa Dar...
  7. M

    Wadau, naombeni mawazo yenu! Maana nahisi kuvurugwa...

    Mimi ni mwanaume wa miaka 39. Nimeoa na nina watoto kadhaa. Nje ya ajira, pia ni mjasiliamali. Kutokanna na kutingwa na majukumu ya kikazi, ilibidi nipate usaidizi wa uangalizi wa miradi kando ili kuhakikisha mambo yanaenda kwa kuwa kazi hizo baadhi ziliingiliana na miradi ya taasisi binafsi na...
  8. Kwenye hizo bilioni 730 za ElNino mimi naombeni bilioni 30 tu

    Wakuu kuna kipengele hapa natakiwa kupata bilioni kadhaa chap. Sasa kwakuwa mvua za El Nino ni kama zimekaidi, naomba Samia aniwekee bilioni 30 kwenye account yangu ili nivuke hiki kikwazo. Bilioni 700 zitakazobaki mtaamua kama taifa mzifanyie nini mimi msinijumuishe huko kabisa. Kama kuweka...
  9. PSRS naombeni msaada wa ufafanuzi kwenye hili tafadhali

    Kwanza hongereni kwa kufanya kazi yenu vizuri sana! Kwa kweli kwa kipindi hiki, kwa style hiyo ya interview imeondoa kubebanabebana!! 1. Kwa uzoefu wangu ni kwamba, huwezi kupata cheti cha NIDA bila kuwa na cheti cha kuzaliwa. Sasa mimi nikiwa nina cheti cha NIDA alafu cha kuzaliwa sina, iwaje...
  10. Nimeshindwa kwenda kumzika Mama haya maisha hayako fair naombeni msaada😭

    Habarini za Jioni nimepata pigo jingine ktk maisha baada ya kumpoteza kipenzi changu mama yangu kikubwa kinacho niuma nikushindwa kwenda kumsitiri nikiwa kama mtoto wake mkubwa unajua inauma vipi ombeni yasiwakute haya maisha basi tu Leo nimejua usione mtu anafanya vitu vya ajabu muda mwingine...
  11. Naombeni msaada kwenye jambo langu na Bima ya afya

    Salaam wakuu. Nilifunga ndoa ya kanisani mwaka 2022,baadae nikawa na migogoro na mke wangu jambo liliopelekea kutengana. Bila kuvunja ndoa nikapata mwanamke mwingne nikazaa nae mtoto mwaka2023 na nikafunga nae ndoa ya serikali mwaka 2024. Wakati wa kusajili ndoa kwa mkuu wa wilaya niliulizwa...
  12. N

    Tatizo ni nini wakuu naombeni msaada

    Wakuu Nina Hali naipitia maeneo ya kazini .Yani maeneo yote nliyofanya kazi Hali hii hunikuta. 1.Nachukiwa bila sababu kazini 2.hata kama Sina pesa hata mia watu hufikilia Nina pesa Yani hata Mtu akisema nimkope nikasema Sina basi huzani nimemnyima 3. Watu huzani labda nipandikizi la usalama...
  13. D

    Hodi! Naombeni mbinu ya kujizuia kumwaga mshindo!

    Nifanyeje niweze kujikontrol na kumalizia kwa dakika ninazotaka Mimi?!!! Msaada tafadhali🙏🙏
  14. Naombeni utaratibu wa kuanzisha Gulio/soko

    Nawasalimu nyote. Nipo Kwa majumu ya kikazi katika kata flani ambayo ina wakazi wengi na imechangamka kwa kiasi cha kuridhisha. Changamoto nikwamba kata hii haina gulio au soko ambalo wakazi wahapa wanaweza kupata bidhaa ndogo ndogo ambazo kwa kawaida hupatikana magulioni. Ili kupata...
  15. Wazee wa mikeka naombeni odds Tano tu Leo tafadhali

    Wazee wa mikeka naombeni odds Tano tu Leo niweke 1 mil maisha yasogee..kampuni iwe sportbet
  16. Naombeni ushauri

    Wakuu niko na binti ambae nimemtia ujauzito na nilikuwa nina mipango ya kumuoa shida ya yule binti sio mtu anaependa sana ukaribu namimi na mara zote anakuwa mkali kwangu kifupi ni kama anipend sababu hata akija home hata kama unaumwa awez kukufanyia usafi wa ndani. Nikawa najiuliza shida ya...
  17. Nimegombana na mchumba wangu, naombeni ushauri

    Aliniuliza, niaina gani ya harusi natamani tufanye? Nikamjibu...... wageni wetu wote watahudhuria kupitia zoom na kisha tukimaliza watapata chakula majumbani kwao. Hapa nimenuniwa na amesha kusana vyake kwenye begi na lipo mlangoni. Ushauri wenu wakuu, maana sina mwingine wa kunishauri.
  18. G

    Naombeni mnitakie heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu

    Mungu amenipa zawadi ya kuingia miaka 29 Juzi tu nilikua mtoto, leo nimekua mtu mzima. Sasa najiona nimekua mkubwa. Naombeni uzoefu wa 30s nianze kuzoea.
  19. naombeni duka linalouza iphone og

    plz msiwataje hawa bei zao ni kubwa sana
  20. Naombeni kazi wakuu

    Wakuu mliopo Dar kijani wenu hapa nilikuwa naomb mwenye connection yoyote ya kazi ya kibarua anisaidie 🙏🙏
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…