naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naomba ushauri, girl friend wangu amepata ujauzito miezi 3 baada ya kujifungua

    Wakuu, naombeni ushauri wa kitaalamu, mpenzi wangu alijifungua mwezi Januari mwaka huu. Mwezi wa 4 katikati akaomba game kwani ameimisi muda mrefu(hatuishi pamoja). Ajabu mwezi huu hajaona siku zake na ameenda kupima amekutwa na mimba tayari. Naombeni ushauri, je hii mimba anaweza kuibeba na...
  2. Naomba Uzoefu wa zao la nazi

    Kwa haraka haraka nimeambiwa hiki kilimo kina lipa. Naambiwa shina Moja la Nazi linatoa Nazi 15 hadi 20 kila baada ya miezi 2. Ukiwa na mashina 1,000 una Nazi 15,000. Ukiuza kwa 600 kila Nazi ( 1,500 x Shilingi 600) ni sawa na Shilingi 9,000,000 kila baada ya miezi miwili. Wastani wa...
  3. Naomba maelezo ya huyu kiumbe wa ajabu

    Kwa mara ya kwanza nimeona kiumbe wa ajabu, anaitwa "AXOLOTL" Naombeni maelezo ya kiswahili kumuhusu. Kwa haraka haraka nimesikia ukimkata kiungo fulani cha mwili (mguu etc), eti kinaweza kuota kingine baada ya muda fulani. Kama hilo ni kweli kwanini wana sayansi wasifanye sayansi zao...
  4. Wataalamu wa computer naomba kujua kuhusu "HP laptop"

    Nimeona kuna computer nyingi sana aina HP, ususani nataka kujua kuhusiana na izi laptop aina ya HP, nataka kujua zipi lianza kutoka mpaka muda huu zipi ndio zipo updated sokoni, (hapa nataka kueleweshwa mfano kama ulivyo Iphone, ilianza iphoe1, ikaja iphone2, ikaja iphone3, ikaja iphone4...
  5. Nina Ordinary Diploma ya Maendeleo ya Jamii, kwenye mfumo wa ajira portal hii ndo inaitwa Diploma/FTC naomba msaada?

    Habari zenu wadau ivi kwenye mfumo wa Ajira Portal ile Diploma/FTC ni special kwa mtu aliye na kiwango kipi cha elimu?
  6. Naomba msaada wenu plz

    Je naweza nikatoka nje ya nchi yangu,nikawa natumia namba yangu ya simu nayotumia au natakiwa kubadilisha mtandao
  7. Kuna bus linalotoka Tanzania hadi Ghana?

    Naomba kujua kuna bus Linalotoka Tanzania hadi Ghana
  8. S

    Kwa yanayojili Zanzibar kuna haja ya kuomba uraia wa visiwa hivyo. Naomba mnipe utaratibu wa kupata uraia

    Kwanza, mafuta bei yake iko chini huko Zanzibar. Pia maisha ya Wazanzibari ni nafuu mno kwasababu hakuna mfumuko wa bei. Pili, ukitupia jicho kwenye umeme bei iko chini na ni karibu na bure. Mwaka huu rais wa visiwa hivyo alitangaza kuwa nguzo za umeme itakuwa bure Tatu, mwaka wa mwisho wa...
  9. Waluguru wanafukia ufuo wa maiti chumbani

    Leo nimehudhuria msiba wa waluguru nimeona mambo ya kushangaza naomba mnisaidie maelezo. Mtu amefia nyumbani kwake tena chumbani kwake anapolala na mke wake. Sasa kwakuwa marehemu ni muislam wameamua kupitia mila ya waluguru kumuosha mwili wake mulemule chumbani. Kilichotokea wamechimba shimo...
  10. Je, kuna uhusiano kati ya IQ, Dini ya mtu na Longevity? Naomba kuwatumia Marais wa Tanzania kama Sampling

    Wanabodi, Hili ni bandiko la hojaji kuhusu uhusiano kati dini ya mtu na IQ yake, dini ya mtu na longevity?, dini ya mtu na udikiteta, na IQ ya mtu na elimu yake, na mwisho ni IQ ya mtu na kudanganyika kirahisi. Naomba Kuwatumia Marais wa Tanzania as Sampling factors. Haya ni maswali valid...
  11. Naomba ufafanuzi kuhusu muda wa sensa

    Eti zoezi la sensa linaweza chukua Muda gani Tangu kuanza rasmi hadi kumalizika? Natanguliza Shukrani Ahsante #IjumaaKareem
  12. K

    Wataalam, tafadhali naomba kujuzwa jambo lifuatalo:

    Nakumbuka nilipokuwa na umri wa miaka 6 hivi, niliwahi kuugua sana sana. Baada ya muda, kuona kwangu kukawa kwa ajabu. Nilikuwa naona vitu viwiliviwili quite exactly! Kama mapacha waliozaliwa kutokana na yai lililogawanyika, kiasi kwamba mlangoni nilikuwa najigonga kwa kukosea mlango. Kila...
  13. Naomba siku nikifa nizikwe kino badala ya Bukoba

    When I die , I wish to be buried at Kinondoni and not Bukoba Thank you Why Kinondoni ? Is place where my Best friend And sibling buried Dr Ndibalema Alphonce , This man was the lecture of Udsm so he taught me various issue about Life and how I can deal with this thug life done by our leaders...
  14. Naomba kujuzwa, hizi ni amplifier za nini?, kwa anayezihitaji nimuuzie

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kuna hivi vifaa: Naomba kujuzwa ni amplifier za nini, japo nimekuwa nikihisi ni za mitambo ya broadcasting japo sina hakika. Lakini pia kwa mwenye uhitaji nimuuzie kwani sina kazi nazo.
  15. Inachukua muda gani kwa NECTA kutoa certificate za O-level

    Kama mada inavyojieleza hapo naomba kujua wastani wa muda ambao NECTA wanachukua KUTOA certificate kwa mwanafunzi ambaye anastahili kupata?
  16. D

    Kamati ya ulinzi na usalama DSM naomba ipitishe huu utaratibu kwa dharula kuondoa panya road

    Juzi nilihoji humu juu ya sintofahamu kuhusu Sera ya ulinzi shirikishi! Nilisema ulinzi shirikishi mijini kinadhalia inawezekana lakini kivitendo haiwezekani! (Niliainisha sababu ikiwemo upigaji wa michango ya ulinzi na ukubwa wa maeneo) Panya road ni vikundi vinavyoratibiwa na watu kwa...
  17. Naomba Msaada jinsi ya kuwa mjanja ushamba umenizidia.

    Mimi BabaMorgan ni mshamba licha ya kuwa nimezaliwa jijini(Amana Hospital-Ilala) huko Dar es salaam ila kwa sasa naishi huku kaskazini magharibi ushamba wangu unaanzia kwenye lafudhi licha ya kuzaliwa Dar es salaam kitu cha kustaajabisha nina lafudhi ya kisukuma na ulimi mzito kiasi kwamba...
  18. Msaada: Mwenye Filamu ya Zawadi Iliyochezwa na TASUBA Tafadhali Naomba Kiunganishi

    Wandugu wapendwa; Naikumbuka hiyo filamu yenye mafunzo mengi na yenye kuburudisha ilichezwa mwanzoni mwa mwaka 2000, waigizaji ni wabobezi, wacheshi na wabunifu sana kutoka Chuo cha Sanaa Bagamoyo wakati huo, ilikuwa inaonyeshwa na Mlimani TV, mwenye nayo tafadhali tuburudike pamoja naomba...
  19. Naomba kujua dawa mbadala ya vidonge vya once a day Kwa ajili ya vitamini vya macho

    Nimekuwa na shida ya macho yenye uoni hafifu kwa miaka kama mitatu sasa siwezi kuona maandishi madogo hata nikitumia lenzi yeyote ya miwani nilienda CCBRT waliniandikia dawa nyingi lakini nilipokuwa nameza sikupata nafuu nikaamua kwenda Muhimili kwa bima niliyokatiwa na mzazi baada ya vipimo...
  20. Mi acha niseme tu. Serikali naomba iingilie kati suala hili

    Kwanza ni kuhusu manyanyaso tunayopata sisi tunaojivutia bhangi. Ni kero katika nchi yetu wenyewe. Polisi wanatunyanyasa sana tumekuwa tunaishi maisha ya wasiwasi, nusunusu,kigugumizi na kudua dua. Wakikukuta mtu unavuta jani wanakutia jamba jamba na kukutishia ili wapate nafasi wakupore...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…