naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi Mwalimu Nyerere, mchanga au udongo wa Tanganyika aliushika kwa mkono gani wakati wa kuchanganya udongo wa Tanganyika na Zanzibar?

    Wakati mwl Nyerere anachanganya mchanga au udongo wa Tanganyika na Zanzibar kama inavyoonekana kwenye picha👇inaonekana mikono yake yote miwili ilishiliki kwa pamoja katika kuchanganya udongo huo. Sasa naomba kujuzwa udongo wa Tanganyika ulishikwa kwa mkono gani hapo, wa kulia au kushoto?
  2. Msaada: Mwanamke niliyezaa naye alienda kwao baada tu ya kujifungua, hataki nimuone mtoto

    Wakuu Salaam, Moja kwa moja kwenye mada. Mwaka juzi nilipata mtoto na mwanamke mmoja nilikuwa nikiishi naye wakati huo. Kipindi chote cha ujauzito alikuwa akiishi kwangu mara baada ya kujifungua akaenda nyumbani kwao kupata msaada wa karibu. Alijifungua vizuri mtoto wa kike na baada ya miezi 2...
  3. Naomba mie Leo nipate wakuchepuka naye

    Ni mume Nina Mke na Watoto. Natafuta MTU wa kuchepuka naye weekend tu. Na siku Moja ya kazi. Awe dini yoyote, taifa lolote, rangi na Umri usizidi miaka 30. Asiwe mlevi wa kupindukia, awe anakunywa bia kias (chupa 2) tatu ndio mwisho na kweli akipiga 3 awe amelewa kwel, sio anakunywa bia 10...
  4. Wanaume tuache umarioo unakubalije kuishi kwa mwanamke?

    Kuna rafiki yangu kipenzi sana tupo kama ndugu, ni msomi mzuri sema amekosa connection ya kupata kazi ya maana. Ni muda sasa amekuwa akiishi kwa mama mmoja ana watoto wawili kila mmoja na baba yake. Katika hawa watoto wawili kuna mmoja baba yake yupo vizuri kiuchumi hivyo anasoma shule nzuri tu...
  5. Nawezaje kuanzisha dini mpya? Naomba maoni

    Habari wakuu. Nafikiria kuanzisha dini. Sababu kubwa ni iwe kama kitega uchumi. Naombeni maoni yenu iwe ya namna gani iendane na nyakati za sasa. Najua matakwa mawili matatu. Kitabu pathetic fallacy kinasema kuwa dini ni zao la binadamu kuogopa kufa na kujiona bora(egoism of specie). Sasa hii...
  6. Ni mkoa gani mzuri kwa kuanzia maisha from Zero?

    Wakuu habari za muda huu! Baada ya kukaa nyumbani muda mrefu nikifanya kilimo cha kutegemea mvua, mwaka huu kilimo kimeniangusha sana na hata miaka iliyopita mara zote mavuno yalikuwa tofauti na matarajio hivyo nimeamua kuachana na kilimo kwani sioni hatima ya maisha yangu ikiwa tofauti na ya...
  7. Naomba dada wa kazi

    Mwanza kisasa Mshahara 40 Mtoto 1 0717601531
  8. N

    Naomba ushauri simu ya kununua kwa bajeti isiyozidi 750k

    Habari wakuu. Kama heading inavyojieleza, naomba ushauri kuhusu simu ninayoweza kuipata kwa bajeti isiyozidi laki saba na nusu (750k) Binafsi ninapendelea brand ya samsung na xiaomi
  9. R

    Hawa recrutamento ni kina nani?

    Habari wakuu. Kuna hii sms imekuja asubuhi whatsapp kama mnavyoona kwenye screenshot 👇 Nimejaribu kufungua link ikakataa... Yani wanatoa ajira za muda mfupi na za kudumu kwa mshahara wa Tsh 50,000 hadi 500,000. Niliposhangaa wanalipa kwa siku
  10. Naomba kuuliza upatikanaji wa ajira za mortually attendant

    Wakuu habari Leo nimeona Tangazo chuo cha Bugando wanatarajia kutoa mafunzo ya mortually attendant Nauliza vipi upatikanaji wake wa ajira kwa anayefahamu atujuze
  11. Naomba kuuziwa mbwa kwa bei ya kawaida

    Salaam wanabodi, Ndugu zangu hasa kwa wale wapenda mbwa wenzangu watanielewa uchungu wakupoteza mbwa. Leo ni siku ngumu sana kwangu kwani nimefiwa na mbwa watatu kwa mpigo ndani ya siku mbili nikahisi kuchanganyikiwa. Mbwa walionesha mwenendo usioridhisha kiafya kwa takribani kama wiki moja...
  12. N

    Naomba kumfahamu Reccep Tayyip Erdogan na Uturuki kwa ujumla

    Nilikuwa namchukulia mwepesi kwa wakubwa wa ulaya kama Romania au Estonia tu. Ila naona kama inabidi nimtafakari mara mbili mbili; Alipinduliwa na ghafla mapinduzi yakazimwa, walioshiriki wote wamesakwa jeshini na wameshakamatwa. Alifika mpaka tz huyu mtu, sijui alimwambia nn jpm lakini...
  13. Naomba kujua tofauti ya English Gold & pure gold

    Wadau, hasa wale wa mambo ya urembo hv vitu viwili nimekuwa nikivisikia sana na mpaka leo sijajua utofauti mkubwa ni upi maana Kuna mama mmoja aliwahi kunionesha Pete zake 2 akanambia moja ni English Gold na nyingine na gold Ila nilizicheck yaaan zinafanana sana ung'aaji wake na vitu kibao...
  14. Wakuu samahani nilikuwa sipo mjini hivyo naomba kufahamu Kama banda la kujifukiza Bado lipo?

    Wakuu lile banda pale Muhimbili Bado lipo la kujifukiza naomba kujua maana naskia mzee wa Chapa ilale mara ya mwisho aliingizwa kwenye banda na ndo ikawa Mwisho wake. Nipo huku nje ya mji nipeni Update wakuu.
  15. Naomba tushiriki kuwatakia heri Makomandoo wetu Adamoo na wenzake Mungu awape afya njema na nuru uraiani

    Jamani sina mengi nimewiwa kushiriki kuwatakia heri hawa makomandoo walimu na wazalendo, wawe na heri ya afya na nuru njema ya Maisha uraiani. Karibuni Sana Mungu awabariki note.
  16. Naomba kufahamu jinsi ya kuagiza bidhaa Amazon

    Msaada ndugu zangu naomba mnipe procedure za kuagiza bidhaa kwa kutumia Amazon. Wana free delivery au?
  17. Nimechaguliwa kwenda Chuo cha Ufundi Arusha, naomba muongozo

    Habari zenu wakuu, Nimechaguliwa kwenda chuo Cha ufundi Arusha (ATC), sasa nilikuwa naomba muongozo nini cha kufanya kwasababu nimeingia kwenye website yao siielewi. Napiga simu haipokelewi. Nilikuwa naomba msaada wenu
  18. A

    Member mpya naomba mnikaribishe

    Habar wakubwa humu jf naomba mnikaribishe member mpya hapa the War machine
  19. Mimi naomba Ushauri Bibi Yangu yupo na watoto 09 wote are Mutured hila wanashindwa kumlipia bill zake zote.

    Wakuu hiko hivi I have a Grandmother Called Bibi Haya Kufupisha story siku ya Eaid Nilipewa taarifa kutoka Bukoba kwamba Bibi Hana Mboga ya Eid so niliombwa kutuma pesa kias Flani hivi kukamilisha Mlo mujarabu wa Eid. Kiufupi nilimtafta Jamaa yangu mmoja yupo kijijini mahali anapokaa my Bibi...
  20. Natafuta rafiki wa kike wa awe mstaarabu n.k

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…