naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naomba code za kuitest simu kama ni original au fake

    Habari za usiku wakuu... Naomba niende kwenye maada moja kwa moja.. Nimekuwa na changamoto ya kufahamu kama simu ni original au ni fake.. hususan kwenye makampuni ya samsung,oppo, iphone na baadhi ya simu.. Maana nasikiaga kuna code za kutest kujua ni org or copy.. naomba nizifahamu kwa...
  2. Kwa kuliokoa Taifa letu la sasa lenye Vijana 'Nyoro Nyoro' wengi naomba Mafunzo ya JKT yawe ni ya Lazima

    Utakuwaje na Taifa lenye Watu Shupavu ( tena kwa Vijana ) kama unakutana na Kijana wa Kiume kapanda DalaDala kutoka Makonde Mbezi Beach na anashukia Kituo kinachofuata cha Goigi huku akijiona ni Mjanja? Nilikuwa najiuliza sana tu ni kwanini Vijana wengi wa Kiume Siku hizi ni Wavivu, hawapendi...
  3. B

    Natafuta chumba cha kupanga Mwenge - Makumbusho

    Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Mwenge au Makumbusho. Bei 40 to 60k kwa dalali naomba tuwasiliane tafadhali.
  4. Naomba kujua tofauti ya Kimantiki (Logically) kati ya Mwizi Mzoefu wa Pesa na Mla Rushwa Maarufu

    Je, Kosa lao ni moja ( linafanana ) au ni Makosa Mawili tofauti? Je, mbele ya Macho na Hukumu ya Mungu kuna mwenye Afadhali Kiadhabu? Je, Wawili hawa wakikutana kuna ambaye atamshangaa Mwenzake? Na mkisema Makosa yao (Dhambi zao) ni sawa kwanini Waswahili wengi hukimbilia Kuwaadhibu kwa...
  5. Naomba msaada wa kumpata huyu mwizi

    Juzi kuna rafiki yangu kutoka Urusi alifikia Chelsea Hotel iliyopo Lumumba street,Dar salaam. Alikutana na watu nje ya hoteli wakamshawishi kuwa watampa huduma ya usafiri wa kwenda airport siku inayofiata, siku ya juzi baada ya kuingia kwenye gari yao wakiwa wawili walivyoenda umbali kidogo...
  6. Naomba kujuzwa adhabu ya wale wanao anzisha vita na kusababisha vita na mateso kwa watu wengine

    Habari wana JF Nilikua natafakari tu mienendo ya viongozi wa dunia hii wa sasa na awali, nikagundua kwamba vita nyingi zinaanzishwa na viongozi wa kisiasa wasio na mapenzi ya dhati na raia wao. Vita nyingi zimeanzishwa kwa sababu za kipumbavu ambazo hazina mantiki yoyote kwa mustakabali wa...
  7. Mtoto wangu amemeza shilingi 200

    Kama ilivyo kwa title mtoto huyo ni miaka Saba ameimeza shilingi 200 tangia saa 12 jioni. Naomba msaada wa mawazo yenu Wana JF
  8. Countdown: Naomba niwe napewa updates za deni la taifa hadi litakapofika Trillion 100

    Kwa heshima zote naomba kila itakapopatikana taarifa ya deni jioya lataifa, tuwe tunapeana taarifa on a step by step basis hadi deni litakapofika Trillion 100. Pia napendekeza ile siku deni letu linagonga Trillion 100 tuweze kuangalia miradi mbali mbali iliyokamilishwa kwa mikopo iliyosababisha...
  9. H

    Naomba kujua madhara yanasabishwa na kufeli kwa diode kwenye alternator ya gari

    Msaada kwa yoyote anaeweza kunipa dalili zinazoashiria kuwa diode ina fault kwenye alternator ya gari. Gari yangu ikiwa kweny silensa taa za dashboard zina blink bila kutulia, hazitulii zikiashiria kuna shida. Mshale unaosoma speed pia unazunguka mara kwa mara wakat gari ipo silensa. Hii...
  10. M

    Naomba kujulishwa kuhusu Mikopo ya nyumba

    Salamu, Naomba kuelimishwa kuhusu biashara ya mortgage hapa kwetu Tanzania! Ipoje,je sisi wa kipato Cha chini tunaimudu!? Ipi inalipa kujenga pole pole au kuingia kwenye hii Mikopo? Ni Benk gani inatia huduma hii? Vipi kuhusu Bank kudhamini kununua nyumba? Nawasilisha!
  11. Q

    Naomba kuelewa nikiwa na Masters nikaomba kazi yenye Qualification ya Bachelor

    Mfano kwenye tangazo la ajira linataka Data Analyst ila kwenye qualification wameandika Bachelor degree ila mimi nina Masters Je, nitakuwa disqualified kwa ku orodhesha kuwa ngazi yangu kubwa ya elimu ni Masters au katika kufanya maombi nisiseme kuwa nina Masters nionyeshe tu nina Bachelor...
  12. Naomba kujuzwa kuhusu aina za channel za YouTube zinazotakiwa kusajiliwa TCRA

    Natoa salam kwa wana jamvi wa Jf kwa ujumla, specifically nazitoa salam kwa wana jukwaa wa Tech. Tukiachana na salam, naomba niende moja kwa moja kwenye mada tajwa. Naomba kuuliza je, ni aina gani za channel za YouTube zinahitajika kusajiliwa na TCRA?. Je, ni kila aina ya channel inahitaji...
  13. Naomba kujuzwa jinsi ya kuanzisha kampuni ya tours!

    Habarini wana JF, Naomba kujua jinsi ya kuanzisha kampuni ya tours. Nitakuwa tu na ofisi ila magari sina Nategemea kukodisha magari na kutia nembo ya hiyo kampuni tarajiwa. Ninaomba ABCD tafadhali kwa wenye idea. Natanguliza shukurani za dhati.
  14. C

    Naomba kujua kuhusu course za biashara kwa mihitimu wa Kidato cha Nne aliye somea science

    Nahitaji kusomea diploma business managing and marketing je, inawezekani?
  15. Naomba kuelekezwa zilipo Ofisi za Posta Manispaa ya Ubungo

    Wakuu natumaini mko salama, Naomba kuelekezwa Ofisi za Posta Manispaa ya Ubungo zinapatikana wapi, au ofisi zozote za Posta zilizo karibu na Goba. Ahsante.
  16. S

    Natafuta mwenza

    Ni mara ya kwanza nakuja jukwaani hapa kutafuta mwenza. Litakuwa jambo jema kama nitampata mwenye kunififkiria na kuruhusu tuishi pamoja. Kabla ya kuweka vigezo, naomba nieleze machache hapa chini: Sijafanikiwa kuwa na kazi maalum ya kuniingizia kipato, kwa hiyo sina kazi kwa sasa japo...
  17. M

    TCU inatambua degree na diploma za mtandaoni?

    Naomba kujua kama hizi degree na diploma zinazotolewa mtandaoni na vyuo vya nje kama TCU inazitambua.
  18. Mwenye Hati ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibari naomba aiweke hapa

    Muungwana yeyote mwenye hati ya muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar ya mwaka 1964 naomba a-share nasi
  19. Naomba ufafanuzi kuhusu private candidate

    Habari wana JF ninaomba kuuliza kwa kujua je nitaruhusika kufanya mtihani wa Advance kama ikiwa kwenye matokeo yangu ya O level nina PHYSICS-D HISABATI-C ENGLISH L-C HISTORY-D CHEMISTRY-C CIVICS-D GEOGRAPHY-D KISW -C BIOS- D Comb nnayotaka kuisoma itakuwa CCD , Je naweza kuruhusiwa kufanya pepa...
  20. N

    Naomba kufahamishwa website zinazotoa full funded masters scholarship in Water resource Engineering

    Habari wandugu naomba kufahamishwa website zinazotoa full funded masters scholarship in water resource Engineering
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…