naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JF Marubani, naomba yeyote anayefahamu kuhusu Ndege inavyoruka na kutua tuelimishane haya

    Habari ndugu wadau! Naomba mwenye ABC Kuhusu masuala ya urubani atusaidie kujibu kwa ufafanuzi machache kuhusu ndege inavyoruka na kutua. Pamoja na mengine; Naomba ufafanuzi 1. Kazi ya kifeni kule mbele kulikochongoka ni nini? 2. Je ndege inayoruka ndani ya Tanzania inatakiwa kutembea umbali...
  2. Wadau naomba kujua sehemu za starehe zenye pisi kali Tanga mjini

    Wasalaam, Habarini wajameni, kwa wiki mbili ntakuwa safarini tanga got some friends from Ethiopia, Europe and Uganda a crew of 15 Baharia tunafanya regionwise city beak travels, and our exploring trip bogins with tanga, naombeni kujua maeneo recent yenye vyombo vikali. Hawa wageni nataka...
  3. Mwenye katiba ya CWT na Sheria ya vyama vya Wafanyakazi Naomba tafadhali

    Habari za mda huu ndugu zangu. Ombi langu ni moja. Nahitaji vitu viwili 1.KATIBA YA CWT 2.SHERIA YA VYAMA VYA WAFANYAKAZI Nitumie hapa hapa au PM
  4. Naomba mwenye wimbo wa "Mwaka wa Tabu" anitusaidie

    Habari za muda huu waungwana? Naomba mwenye wimbo huo hapo juu anisaidie. Nadhani uliimbwa na Mchinga Sound kama sijakosea. Nitashukuru sana.
  5. Msaada: Kwa kijana ambaye hakuwahi kwenda JKT kwa mujibu akitaka kwenda sasa utaratibu ukoje?

    Habari za wakati ndugu zangu waungwana, Naitwa Mbota Matari, nilihitimu kidato cha sita miaka michache nyuma, kwasababu kadhaa kwa wakati huo sikuweza kwenda JKT- kwa mujibu wa Sheria. Kwasasa ninatamani kwenda kupata mafunzo hayo kwani ni muhimu ili niweze kuweka mazingira mazuri ya kozi...
  6. T

    Naomba Msaada Kutoka kwa wakazi wa Kifanya kuhusu kilimo cha Ndizi

    Mimi ni ngeni ktk kata ya Kifanya, nilibahatika kupata mashamba ya miti na baadae kuongeza ya parachichi. Eneo nililoongeza lipo kijiji cha mikongo njia ya kuelekea songea. Altitude yake ni m800 mpaka m1200. Je eneo hilo ndizi zitafanya vizuri? nimeona mashamba ya ndizi za moro zile fupi...
  7. Naomba kujua utaratibu wa Kumtoa Mtu kwenye Orodha ya wanufaika wa Bima ya Afya

    Ukiwa mwanachama wa bima ya afya umewaunganisha baba, mama na watoto ikatokea mume au mke mmeachana ukataka kumtoa kwenye mfumo wa bima mbona wanakata mpaka uende mahakamani uape. Hapo vipi?
  8. Aliyekuwa na huu wimbo (Audio ) naomba auweke hapa, naukubali sana

    Golden tz - Lonely. Kama inavyoonekana hapo juu, Msanii anaitwa Golden tz na wimbo unaitwa Lonely. Frankly kwangu ni wimbo mkali sana Ila nimejaribu kuutafuta kwenye platforms mbalimbali sijafanikiwa kuupata. Kwa mara ya kwanza niliusikia Clouds FM siku kama mbili zilizopita kwenye kipindi...
  9. D

    Msaada nahitaji kusoma programming language short course

    Hello habari ya saizi wana jamii wenzangu naomba msaada nahitaji kusoma programming short course je kama kuna chuo chochote kinacho fundisha au nipeni namna nayoweza kusoma ila isiwe online
  10. C

    Natafuta kazi ya kufundisha Kifaransa kwa shule za msingi na za sekondari

    Natafuta kazi ya kufundisha Kifaransa kwa shule za msingi na za sekondari. Naishi mjini Kigali, Rwanda na ni mwalimu. Nilisoma lugha katika shule za sekondari (Kiswahili,Kifaransa, Kingereza na Kinyarwanda) , na nikasoma Kiswahili, Kingeleza na Elimu katika chuo kikuu. Asante.
  11. Sheria mpya ya TISS tusijifanye vipofu wakati kumbe tunatawaliwa ama tunaenda kutawaliwa kijeshi

    Nimeweka hii snapshot inayoonesha muswada wa mabadiliko ya sheria ya chombo chetu cha Intelejensia. Kwenye mapendekezo hususan kifungu cha 19 wanasema hapo kuwa, jinai inaweza kufanywa na TISS personels wakiwa wanatekeleza majukumu yao kwa uaminifu.... Jambo linalonistua ni kwamba, wengi...
  12. DC aingilia kati mgogoro wa Wananchi na Luhaga Mpina mkoani Morogoro

    MKUU wa Wilaya ya Morogoro,Rebeca Nsemwa,amejikuta akipokelewa na Mabango pamoja na vilio kutoka kwa wananchi wa Vijiji vya Dalla tarafa ya Bwakira na Mbwade tarafa ya Mvuha katika Halmashauri ya wilaya ya Morogoro wakishinikiza kurudishiwa ardhi yao ekari zaidi ya 1000 zinazodaiwa kuchukuliwa...
  13. M

    Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

    Habari za jioni. Mimi ni mama mtu mzima nina watoto 4 kwa mume wangu wa ndoa kabisa. Niende kwenye mada. Miaka 10 iliyopita nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume (my first born). Sikuamini kilichotokea nilishituka sana kwa hile tukio lilotokea. Mimi nafanya kazi kwenye wizara moja hivi nipo...
  14. K

    Gharama ya LATRA kupata kadi ya taksi za mtandaoni

    Habari wanazengo, Nilikuwa naomba msaada kuhusu kupata kadi ya Latra kwa ajili ya kufungua akaunt za Uber na bolt gharama yake ni sh ngapi kufanikiwa
  15. Mwenye ramani ya Mkoa wa Dar es salaam naomba PDF/picha yake

    Habari ndugu zangu leo sina mengi naomba mwenye ramani ya mkoa wa dar es salaam inayoonesha mipaka ya wilaya na mitaa yake aniwekee hapa kwa mfumo wa PDF au picha kwa mfumo wa JPGE/PNG nina uhitaji nayo muhimu sana, nitashukuru sana kwa msaada huo. Mungu awabariki, karibuni sana canada.
  16. Wanasimba wenzangu naomba niwapongeze kwa shughuli kubwa tuliyoifanya hapo jana

    Sisi ndiyo Simba, ile kauli ya nguvu moja huwa ina balaaa usiombe ukutane nayo. Makelele yalikuwa mengi sana hapa mjini, oohhhh kombe kombe, kibaya zaidi wakatutukania kocha wetu. 😡 Nyie Yanga mkae mkijua shughuli haijaisha tunapanda ndege na nyie tunaenda kuwazika huko ngeledeki.🤫
  17. Natafuta kazi yeyote ya kiume

    Natafuta kazi, nipo Dar es Salaam. Kazi yeyote nafanya Kwa mawasiliano: 0672780428
  18. Wanaume naomba tuwapumzishe wanawake hapa Jukwaani, imekuwa kero na aibu sasa haya malalamiko yetu kila saa

    Kichwa cha uzi kinajieleza. Guys, nafikiri hawa wanawake sasa tuwapumzishe, this is too much maana halipiti lisaa limoja uzi kuhusu mwanamke uko posted. Na kibaya zaidi ni wanaume ndio wanalia lia kuhusu hawa wanawake, mara wanawake hivi, mara wanawake vile, jamani ndio kusema wametushinda...
  19. Nigeria: Mwanaume aomba ushauri kufuatia mke wake kufariki baada ya majibu ya DNA

    Imetokea nigeria mwanaume mmoja aliamua kupima watoto wake wawili DNA. Majibu yakatoka watoto wote si wake. Mkewe akafa ghafla baada ya kupata majibu. Ungekuwa weae ungechukua uamuzi gani kwa watoto au unampa ushauri gani huyo jamaa.
  20. Mliobahatika kusoma kitabu cha Devil on the Cross by Ngugi wa Thiong'o naomba mnipatie utangulizi tu wa hiki kitabu

    Naomba mliosoma kitabu cha Devil on the Cross naomba mnipatie utangulizi wa hiki kitabu au general overview ya hiki kitabu nahitaji kujifunza yaliyojili humo ndani ya kitabu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…