naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ndoa miaka 11 naomba ushauri

    Ndugu zangu ambao mpo kwenye ndoa naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi yangu mwenyewe. Nipo kwenye hii ndoa kwa miaka 11 ila mwanamke ambaye nilikutana nae alikuwa na mtoto tayari ila naomba niseme alikuwa mwenyewe na mtoto wa miaka 2 mwanaume wake alimkimbia, sasa baada ya hapo mwanaume...
  2. M

    Wana JF naomba tusireply wala kujiengage na threads zozote za machawa

    Ndugu zangu wazalendo wa nchi hii, poleni na msiba mzito kwa kuondokewa na ndugu zetu waliouawa kinyama wakiwa wanapigania taifa lao. Baada ya huo utangulizi naomba tuzipuuzie nyuzi zote za machawa wanaokejeli na kudhihaki damu za ndugu zetu zilizomwagwa kwa kupambania rasilimali zetu. Hawa...
  3. N

    Kwako Rais Samia: Tafadhali naomba utathmini mpango wa kupeleka vijana wa form six jeshini (JKT) na uufute

    Mheshimiwa Rais, ninatambua mpango huu ULIKUWA na nia nzuri, nia thabiti na njema ya kuwapeleka vijana wetu jkt kwa mujibu wa SHERIA na huko wamefunzwa ukakamavu na uzalendo kwa nchi yao. Mheshimiwa Rais natambua pia serikali inawapeleka vijana kule ikiwa ni njia mojawapo ya kujilinda na kuwa...
  4. Watanganyika wote wazalendo, naomba tuishitaki Serikali ya CCM katika mahakama ya ICC tumia link hii

    Kulingana na mauwaji ya watanganyika yalio fanywa na serikali ya ccm ninaomba watanzania wazalendo wote tufungue mashitaka katika mahaka ya ICC link yao ni https://otplink.icc-cpi.int/ Tuma email ya kushitaki uuwaji wa watanganyika uliofanyika unao fanyika mpaka sasa tuma email yako weka na...
  5. Je, uchawi upo au ni uzushi tu?

    Wadau naombeni mnijuze maana siamini kama hiki kitu kipo nasikia tu stori kwa watu sijawahi kuthibitisha he ni kweli au ni stori tu?
  6. Naomba mnifundishe kutumia mtandao wa X'

    Yaani nikitaka kuposti maneno au ukurasa mzima nafanyaje . Maana hata kwa kuandika naona kama kuna mwisho wa tarakim fulani hata nifanyeje haiendelea hata kupost labda maneno nimekopi kama ni ukurasa fulani haikubali je !hua mnafanyaje msaada hapa
  7. S

    Wakuu naomba mnisaidie app za mikopo mtandaoni

    App Gani ya mikopo ipo play store naweza kupata hela ya kula Leo nikanunulia familia yangu mama pamoja na wadogo zangu chakula Sina shughuri yoyote ya kuniingizia kipato, nategemea kibarua, Mara ya mwisho kupata kazi nilitwa sehemu kuchinja kuku walikuwa wanaumwa nikapata angalau na mboga...
  8. Naomba kuuliza swali. Je? Raia wa mitandaoni wanaishi wapi?

    Nauliza hivii kwa sababu serikali imewapuuza kabisa je? Mitandao kwenye nchi yetu inatumiwa na raia wasioipenda serikali Yao? Kwenye hii habari comment asilimia 99% ni hawajaunga mkono kilichoongelewa Je? raia wa mitandaoni ni wanaishi ndani ya simu au?
  9. Naomba tuwaite members wa JF ambao sasa hivi wanatamba kule TikTok

    Ni dhahiri kwamba baada ya JF kupigwa ban members wengi wamekimbilia kwenye mitandao mingine. Natumai kuwa membaz wengine wako Facebook, X (Twitter), na Instagram hiyo siyo shida sana. Shida ni kwamba members wengine sasa hivi wako TikTok wakifanya challenge ya Ngoma za akina Zuchu na Nandi...
  10. Naomba mtu anaejua tofauti ya google na chrome

    Binafsi sijajua tofauti yake maana naonaga zote kama ni sawa maana ukiingia goole unapata na ukiingia crome unapata. Je, kuna tofauti nyingine?
  11. T

    Naomba kufahamishwa utaratibu wa kufungua duka la dawa muhimu za binadamu

    Habari, za wakati huu wana Jf, Mimi kijana mwenzenu mpambanaji nimekuja hapa kuomba kufahamishwa utaratibu wa kufungua duka la dawa muhimu za binadamu (DLDM). Kitaalamu mimi ni afisa muuguzi II, mahali nilipo nimeona fursa ya kufungua duka la dawa muhimu ila tatizo sielewi utaratibu ukoje...
  12. Watanzania naomba kwa sasa tumpuuze Polepole, ni mhuni tu

    Kuna maswali mengi kuhusu Polepole na nafasi yake katika siasa za Tanzania, hususan baada ya taarifa kuhusu Captain Tesha kuibuka na kupata umaarufu mkubwa. Polepole ameonekana kuzingatia siasa za kivuli, na hatua zake zimekuwa zikichochea mashaka kuhusu nia yake halisi na ajenda anazozitetea...
  13. Naomba kujua Mobile Wallet ni nini na inafanya kazi namna gani?

    Mabosi wangu wanataka kunilipa pesa ila nimeambiwa wataniwekea kwenye mobile wallet kwa mjuzi hii imekaaje?
  14. Nataka Niwashitaki CRDB - Nimetoa fedha ATM hazijatoka naomba ushauri

    Juzi 1/10/2025 nilitoa fedha kwenye ATM, hata hivyo pamoja na fedha kutoka kwenye AC yangu fedha hiyo haijatoka kwenye mashine. Fedha hiyo nilitakiwa kulimlipa mdeni amabaye ananida, pamoja na jitihada za kuwasiliana na Branchi husika na kupiga simu kitengo hiduma kwa wateja bado fedha hiyo...
  15. Naomba kujua zaidi

    Hell Natarajia kwenda shule nikaongeze elimu sasa nataka ni change course hii ndio naona kwangu Ipo vizuri embu naombeni mnipe dondo kidogo hii ipo vipi BACHELOR’S DEGREE IN SHIPPING AND PORT LOGISTICS MANAGEMENT
  16. Naomba msaada

    Habari zenu wana jf. Mimi ni kijana wa kitanzania ndugu yenu wa damu. Mzaliwa wa mkoa kigoma kwa sasa naishi dar. Nimemkimbia mke na watoto wangu wawili nilio wazaa mwenyewe, kutokana na ugumu wa maisha ya nyumbani. Kwa sasa wanaishi nyumbani kwa kaka yangu mkubwa, najua wanakula lakini ni...
  17. Naomba kujuzwa kama kuna mtu anataarifa za yuke jamaa alikuwa anasambaza vipeperushi vya maandamano kama kakamatwa au la

    Siku ya leo kuna jamaa alikuwa na vipeperushi vingi mno pale kituo kikuu cha train ya SGR. Na alipostukiwa alianza kukimbizwa na kikosi cha Muliro. Yeye alikuwa na Pipi piki amekimbizwa na kila chombo cha usafiri kilicho kuwa karibu. Naomba kujuzwa kwa wenye taarifa yeyote. Naona ile roho ya...
  18. Baada ya kudumu miaka 9 kwenye ndoa, mimi na aliyekuwa mke wangu tumeachana rasmi

    Baada ya kudumu miaka 9 kwenye ndoa, mimi na aliyekuwa mke wangu tumeachana rasmi Leo Mbele ya ofisi ya serikali ya kijiji cha Malangari Tumegawana mashamba pamoja na ng'ombe tuliokua nao lakini watoto amebaki nao Hakika
  19. Naomba kujuzwa kazi ya hili gari la polisi lenye kama radar hapa Morocco

    Barabarani hapa karibu kabisa na kituo cha osterbay polisi kuna gari NI la polisi ila linafanana na Yale ya jeshi la IDF kwa juu kina kama radar inazunguka Ile kazi yake ni Ku detect kitu gani naomba mwenye uelewa
  20. Watu wa sheria naomba mnisaidie kwenye hili: Muuaji na mwizi akikimbia Bara akakimbilia Kisiwani, mnaweza kumrudisha, au hakuna huo utaratibu?

    Nilikuwa nauliza hivyo tujue utaratibu uko vipi. Kuna mtu tumekuwa tukimuhusisha na muuaji ya ndugu zetu pamoja na utopeaji wa hela tunazichanga kila siku. Ila kuna tetesi anataka kukimbia nchi, sasa nawaza akikimbiilia hapo visiwani anaweza kurudishwa huku bara au hilo haliwezekani
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…