naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KERO Responded Miundombinu ya Vyoo na majitaka Majengo ya UDOM kitivo cha Elimu (COED) ni hatarishi kwa wanafunzi

    Nimeona mdau mmoja kachangia kuhusu udom Binafsi nimefika pale hasa hayo majengo ya COED ambayo ndio wanaishi wanafunzi wa TIBA na EDUCATION watoto sio wanateseka na uchache wa sehemu za kulala pekee ambapo kuna vyumba watoto wanalala chini chumba kimoja watoto 10 vitandata vipo vinne Pia...
  2. Ndugu zangu, naomba msaada wenu – tegemeo langu la kipato limesimama

    Natumaini mpo salama. Nimeamua kuleta changamoto yangu hapa kwenu kwa sababu jamii forum ni kama familia, na mara nyingi tumekuwa tukishirikiana na kusaidiana katika nyakati tofauti. Mimi ni mjasiriamali ninayejiendesha kwa kazi ya bajaj, ambayo ndiyo tegemeo langu kuu la kipato kwa ajili yangu...
  3. M

    Bajaj za umeme kwa mikopo na cash

    BAJAJI ZA UMEME KWA MIKOPO NA CASH weka oda Yako sasa Habari Pasipo kupoteza muda naomba niende kwenye mada. Nikiwa kama wakala wa mauzo Toka kampuni ya JAHA ELECTRIC VEHICLE INTERNATIONAL COMPANY LTD. Nspenda kuwatangazia kuwa kuna promotion ya bajaji au pikipiki za miguu mitatu zinazotumia...
  4. Vazi la Taifa naomba liwe kanga kwa mtindo wa uvaaji kama wenzetu Hindu

    Habari Tanzania ! Nimeweka mfano wa picha kwa msaada wa tehama. Mnaonaje tukiwa tunavaa hivi wanaume kwa wanawake kama vazi rasmi la utambulisho kitaifa. Asante.
  5. MAMA NAIBU WAZIRI MKUU NAOMBA APEWE HUYU

    mtu pekee anae aminiwa na vijana KWA Sasa ni MIKA CHAVALA basi kama haiwezekani maana si mwanachama wa chama Fulani basi APEWE hata unaibu wa wizara ya vijana.
  6. Naomba mwenye ujuzi na utumishi. Nimepata kazi kwa kigezo cha diploma lakini nina degree

    Habari wakuu nimekuja kwenu kuomba uelewa nimeajiriwa na diploma lakn nina cheti changu cha degree bado sijakichukua chuoni naomba kujua je itachukua muda gan kazini hadi niweze kukitumia cheti cha degree na kisheria ya utumishi pia inasemaje ni kosa au, Kwa anaejua naomba maelezo niweze...
  7. Naomba nchi yangu usije ikaingia kwenye hii orodha

    Pamoja na yaliyotokea Mungu atuepushie. Ingawa hawa walio kwenye orodha waliingia baada ya damu za binadam kumwagikanhuko zamani Wanasiasa wasitupeleke huku
  8. Wakuu naomba msaada. Benzoin kwa kiswahili inaitwaje?

    Wakuu, naomba kwa anayejua anisaidie. Benzoin kwa kiswahili inaitwaje? Inapatikana wapi au mazingira au maduka gani kwa hapa Tanzania? asanteni sana.
  9. Wakuu , naomba ulizia ni basi Gani linatoka mwanza hadi moshi stendi pasipo kuishia njiani Arusha ?

    Kuna mzigo unasafirishwa kutokea mwanza hadi Moshi mjini stendi Msaada wa. Hili !?
  10. D

    Kwa Mmakonde yeyote aliyopo humu naomba msaada wa kunitafsiria wimbo huu, chilambo Cha vene!

    Ni wimbo unaoitwa 'Chilambo Cha vene' uliopigwa na mwamba Halila Tongolanga "Field Marshal". Aisee wimbo umenishika vibaya huo miaka na miaka lakini si mjuzi wa kutosha wa kimakonde hivyo naomba msaada wako wa tafsiri ewe Mmakonde usiye na majivuno..... Natanguliza shukrani, Nawatakia Christmas...
  11. Naomba kujua shule ya kata/ kutwa jijini dsm ambayo Ina hostel

    Kama ilivyo kwenye heading naomba msaada huu. Nahitaji kujua iwe shule ya serikali ya kwenda na kurudi ila iwe na hostel jijini Dar es salaam
  12. Naomba msaada. Ni shule gani Dar es salaam ya kata yenye hostel

    Naomba anayejua shule jijini Dar ambayo ni kutwa ila inazo hostel ndani ya eneo la shule iwe hostel ya wasichana. Asante
  13. Naomba tupeane mbinu za kukabiliana na kuwateka watekaji

    Hali ilivyo sasa, utekaji ni sera ya serikali. Kama siyo, basi serikali imeshindwa na watekaji. Kama siyo, basi kuna namna inavyofaidika nao. Kama siyo, basi tunaowaita watekaji si watekaji bali watendaji wa yeyote au wowote wanaonufaika na utekaji. Kama watu wenye akili na busara, naomba...
  14. Naomba kujuzwa zaidi kuhusu fidia ya vita

    Nani anayeamua kwamba upande fulani ndo umlipe upande mwingine wakati wote wameumizana ma kutiana hasara.. Kwa mfano sasa hivi kwenye vita ya Ukraine na Urusi je wanajua kabisa kwamba mwishoni kuna mmoja inatakiwa amlipe mwenzake fidia. Na je nchi moja ikigoma kumlipa fidia mwenzake hatua gani...
  15. JamiiForums naomba kueleza ni kweli chuki ya utawala inaenezwa na mtawala mwenyewe

    Sio utani wala kupindisha Moderator kuna mda unataka kupindisha ila mtakumbuka haya maneno. Mtawala ndio analeta chuki ambayo sasa kaingiza kwenye udini kabisa akijua kitamuokoa. Mimi sipendi kuweka wazi ila wanayofanya kwenye ku promote huko kuna kitu sio kizuri. Sisi wa tanganyika wanataka...
  16. Watanzania sio wabunifu, kwanini ukiwa nchi za watu kuna utofauti kabisa. Naomba niwape haya

    Ukifika muda wa jioni China Guangzhou ndio unakuwa muda wa wamachinga ili kuondoa msongamano na wenye maduka ila pale Kariakoo hakuna ilo. Kizuri pale Guangzhou ndio muda ambao wajasiliamali wadogo hususani wauza vyakula unawakuta wengi wakiwa na mabanda yao. Kinachonifurahisha kila mtu ana...
  17. PostGE2025 Majizzo: Naomba sana tusapoti wasanii wetu, ni vijana wa kimaskini

    Mkurugenzi Mkuu wa EFM na TVE ambaye pia ni mdau mkubwa wa Muziki haswa wa Singeli, Majizzo amewaomba Watanzania kufuta kauli na Msimamo wa kugomea kusapoti Wasanii wa Tanzania kwa sababu eti walijihusisha na Siasa kwani wale ni watoto wa kimasikini ambao wanapambania ndoto zao hivyo kuacha...
  18. Naomba kuuliza wajuvi: Hivi kwa nini wapandisha majini hawapendi kuwepo misabani au sehemu za shughuli nyingi

    Kuna dada mmoja ni bingwa wa kupandisha wale wanaodai walisilimishwa huku imani yangu naita mapepo maana sijui elimu yake. Sehemu yenye misiba,masoko yenye watu wengi hataki kwenda anasema yana mfanya kupandisha. Na sehemu ambayo anaogopa sana kariakoo
  19. Mimi Kama Gen- Z naona aibu kwa kilichotokea jana Tulikurupuka sanaa naomba Samia na Watanzania wote mtusamehe

    Jana katika harakati zingine za kuharibu taswira ya Tanzania tulishindwa kwa sababu tulikua disorganised sana. Nakupenda na kusababisha aibu tuliyoipata naweza kukiri kuwa tulikurupuka sana kwa sababu viongozi wetu waligawanyika kwa kiasi kikubwa kwa sababu ya maslahi yaliyotoka kwa mabeberu. We...
  20. Naomba kuuliza: Ina maana Ubalozi wa Marekani nao unatudanganya ?

    Juzi ubalozi wa Marekani ulisema umekutana na Rais. Kwenye page ya ITV ubalozi ulikutana naye Oktoba 8. Nani anaficha ukweli. Hii picha waliotoa angalia
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…