naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naomba niulize kuhusu makato ya akaunti za biashara NMB

    Nina akaunti ya biashara NMB. Jana nimedownload statement yangu imesoma kama unavyo ona hapa chini: Ni kipi kinasababisha Monthly Fee ya kila mwezi itofautiane? Kilichofanya nilete mada hii hapa ni baada ya kuona nimekatwa Monthly fees Jumla ≈ TZS 227,780.85 na hiyo imefanyika ndani ya siku...
  2. Anayejua wimbo huu jina lake naomba please

    ni kawimbo kazuri naomba jina na mtuunzi A
  3. A

    KERO Kutolipwa Pesa za Kujikimu kwa Watumishi wa Ajira Mpya (Idara ya Afya) Manispaa ya Kigoma/Ujiji

    Sisi watumishi wa Idara ya Afya tulioajiriwa tarehe 23 Juni 2025 katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji, tunatoa malalamiko yetu rasmi kuhusiana na kutolipwa kwa pesa zetu za kujikimu ambazo kisheria na kiutaratibu zilipaswa kulipwa mara baada ya kuajiriwa. Hadi kufikia sasa, tumetumikia kwa kipindi...
  4. Naomba ushauri

    Mimi ni mwanamke lakini nina mchumba anaitwa X tulikua tunafanya kazi mkoa wa Ruvuma Songea kwa sasa yeye anahamia mkoa wa Njombe kikazi pia na itakua permanent place yake Hofu yangu ni mahusiano kuvunjika Ushauri wenu japo anasema ananipenda umbali Sio shida, nawaza atanisahau akienda huko...
  5. S

    Naomba mnisaidie app za mikopo zinanzowezesha kukopa

    Niaje? Mtaani Hali kugumu deile kila kukicha unasema afdhali ya Jana wapambanaji tusichoke kupambana life ni gumu balaa, wana ndo tunasota nao tukipeana mahope siku Moja tukatoka tu🙏😔naamini Hilo deile wadau wangu Nimekuja na mishe yangu hii naomba mnielekezs app ya kupata mkopo mtandao
  6. Naomba nisaidie mawazo mimi nna miaka 35 nimeolewa miaka 7 iliyopita mume wangu ana uwezo mkubwa sana

    Hebu njoen Dr dogoli kinyamkela ☠️ 💀 naomba nisaidie mawazo mm nna miaka 35 nimeolewa miaka 7 iliyopita mume wangu ana uwezo mkubwa sana Ananipa kila kitu nnachotaka Nakatazwa kutoka nje hata nikienda kwetu napelekwa na kurudi nna mama na pia baba yangu alikufa nna baba wa kambo nakatazwa...
  7. Naomba mnifundishe kubeti

    Watu wa Mungu happy ney year naombeni mnifundishe kubetti nipate hela . SItaki uchawi nimeokoka naenda chuch . Please msaada
  8. Naomba mnisaidie niweze kuhama

    Wakuu salaam, Naomba mnipe connection ili niweze kuhama kutoka halmashauri ili nihamie halmashauri x maana naona mfumo wa Ess sina hakika kama itaweza kunisaidia mimi kuhama kama kuna mjuzi wa kunisaidia ili nihame namuona inbox tafadhali
  9. M

    Kwa mlioko ndani mtusaidie. Kwanini viongozi wakubwa wanajificha ficha?

    Sijui kama ni mawazo na macho yangu, naona hii Serikali haramu kama imeshakata moto mapema kabisa, hakuna cha Rais, Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu ni kama Serikali imekata pumzi Sioni cha Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa na Wilaya yaani kama vile wanafanya vitu kwa kujifichaficha Rais...
  10. Ofisi na karakana za SIDO Dar naomba kuelekezwa zilipo

    Wakuu, Naomba kuelekezwa mahali zilipo karakana na ofisi za SIDO Dar es Salaam. Natokea Kimara, kwa usafiri wetu wa daladala nipande za kwensa wapi hadi nifike. Msaada tafadhali
  11. Naomba kuelimishwa kwa hili

    Hiki kinachoendelea kwenye taasisi zetu ni nani anafanya na anafanya kwa ajili ya nani ? Mbona mwanzo ajira zilikuwa zinatolewa nyingi sana hatukuona haya yakifanyika au kuna mabadiliko mimi ndio nimepitwa na wakati? Nina ushahidi shemeji yangu mmoja alifuatwa hadi kwao akahojiwa na kurekodiwa...
  12. Hodi JF , Naomba Mtupokee Sisi Morning Joy Motors!

    Tunawasalimu wote kwa pamoja Ndugu Wana Jf , ni matumaini yetu kwamba nyote mko salama na kwa wale ambao wapo kwenye changamoto ni maombi yetu kwa MUNGU kwamba awafanyie wepesi kabisa. Naam mara baada ya salaam hizi naomba tujitambulishe kwenu Kuhusu Sisi ‎ ‎Sisi ni Morning Joy Co., Ltd...
  13. Naomba Kufahamishwa Kuhusu Nyaraka Tano Za NSSF

    Naomba kufahamu je, zile nyaraka tano( barua ya kuachishwa, certificate of service na copy ya NSSF ID card)za kuambatanisha kwenye maombi ya mafao ni lazima ziwe na muhuri wa mwanasheria(kuwa certified)!?
  14. D

    Naomba ushauri; nimerudi safari nimekuta mke sehemu za Siri zinamuuma na anazichua kwa maji ya moto.

    Baada ya kujichua siku tatu amepona. Hii imekaaje wadau?!!! Maana sielewi elewi tu.
  15. Naomba Nafasi ya internship.

    Habari viongozi, nimesoma Accounting with IT nimemaliza mwaka jana, nlikua natafuta sehemu nayoweza kufanya internship kusharpen skills. Kama kuna nafasi sehemu tupeane Deals
  16. H

    Naweza kuanzisha biashara gani kwa mtaji wa Milioni 5 kwa mwaka 2026?

    Naweza kuanzisha biashara gani kwa mtaji wa M5 na ikawa na mwanzo na muendelezo mzuri kati ya hizi 1. Soft drinks 2. Nafaka Pia kwa mwenye ushauri wa biashara nyingine tofauti na hizo kwa mtaji wa M5 Mkoa ni MWANZA Natanguliza shukrani
  17. Nina ADO naomba kazi ya kuuza pharmacy au NURSE kwa Dispensary

    Heri ya mwaka mpya wana JF, kwa mwenye uhitaji wa mtu wa kuuza pharmacy au NURSE anicheki, nina cheti cha ADO na nimesoma Medical Attendant, nina uzoefu mkubwa wa hizo kazi zote zilizomention hapo juu, mawasiliano yangu 0672498183, KITUO CHA KAZI KIWE DAR ES SALAAM, asanteni
  18. Wakuu Naomba mchango wa mawazo yenu kwenye hii research title hapa

    Ni matumaini yangu mko salamaa! Mimi niko salamaa sijui ninyi huko, Mnaoumwa poleni, na wenye changamoto za hapa na pale poleni pia. Niende kwenye lengo, nataka niandae research proposal kwa kutumia hii title “A Critical Analysis of Abortion Laws in Tanzania and Their Impact on Women’s...
  19. Wakuu Naomba Naomba mchango wa mawazo yenu kwenye hii research title hapa.

    Ni matumaini yangu mko salamaa! Mimi niko salamaa sijui ninyi huko, Mnaoumwa poleni, na wenye changamoto za hapa na pale poleni pia. Niende kwenye lengo, nataka niandae research proposal kwa kutumia hii title “A Critical Analysis of Abortion Laws in Tanzania and Their Impact on Women’s...
  20. KERO Responded Miundombinu ya Vyoo na majitaka Majengo ya UDOM kitivo cha Elimu (COED) ni hatarishi kwa wanafunzi

    Nimeona mdau mmoja kachangia kuhusu udom Binafsi nimefika pale hasa hayo majengo ya COED ambayo ndio wanaishi wanafunzi wa TIBA na EDUCATION watoto sio wanateseka na uchache wa sehemu za kulala pekee ambapo kuna vyumba watoto wanalala chini chumba kimoja watoto 10 vitandata vipo vinne Pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…